Search results

  1. waziri2020

    Rais Samia mgeni rasmi Mei Mosi mkoani Arusha, maandalizi yafana

    RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani ,Mei Mosi yanayotarajiwa kufanyika kitaifa Mkoani Arusha. Akiongea na vyombo vya habari Mkoani hapa, Rais wa Shirikisho la wafanyakazi Tanzania,TUCTA, Tumaini Nyamhokya alisema maadhimisho...
  2. waziri2020

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    Siku chache baada ya Mwenyekiti wa chama cha mawakala wa utalii Tanzania (TATO) Wilbard Chambulo kuituhumu Halmashauri ya jiji la Arusha kudai kuwa ameilipa Halmashauri hiyo milioni 24 kwenye kodi aliyokuwa akidaiwa lakini akashangazwa kuona taarifa za malipo alizopatiwa zinaonesha kuwa amelipa...
  3. waziri2020

    Afisa Habari Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru mkoani Arusha asema Waziri Ummy adaiwa atoa tamko la Watanzania kutosaidia saidia watoto njiti hospitali

    Afisa Habari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru, Sirila Kiyanda ameigomea KLABU ya KITAMBI NOMA kutokufanya matendo ya huruma kwa Watoto ambao wamezaliwa kabla ya wakati (NJITI ) ambao wanapewa matibabu katika Hospitali hiyo licha ya wahusika hao kuwa na ruhusa na kibali...
  4. waziri2020

    John Casian mikononi mwa polisi kisa Konyagi bandia

    Jeshi la polisi Mkoani Arusha, linamshikilia Mkurugenzi na mmiliki wa Bar Maarufu ya Kipong ,John Casian Shayo kwa kosa la kutengeneza na kuuza vinywaji feki aina ya Konyagi kinyume cha sheria. Casian alikamatwa juzi usiku na mamlaka za serikali zikishirikiana na jeshi la polisi na baada ya...
  5. waziri2020

    Jaji atishia kutoa hati ya kuwakamata vigogo wawili wa ardhi Dar walioidharau Mahakama

    Jaji Mahakama kuu divisheni ya Ardhi jaji Hemedi ametoa onyo kali na kutishia hati ya kuwakamata washtakiwa wawili ambao ni Joanita Kazinja pamoja na Hadija Kalulu kwa kosa la kudharau amri ya mahakama Hatua hiyo imekuja baada ya washtakiwa kutokufika mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi yao...
  6. waziri2020

    Kamishna wa ardhi Dar matatani, atuhumiwa kubadilisha hati ya mfanyabiashara Matunda

    Sakata la mgogoro wa eneo wa mfanyabiashara maarufu Mkoani Dar es salaam Valence matunda limeingia sura mpya baada ya kamishna wa ardhi Dar kutuhumiwa kuhusika kubadilisha hati kinyume na utaratibu Akiongea na vyombo vya habari mfanyabiashara huyo amesema Kamishna huyo anadaiwa kukaidi maagizo...
  7. waziri2020

    Kigogo wa Polisi Arusha adaiwa kukodi majambazi wamuue mumewe, wamkatakata kwa mapanga

    Siku moja baada ya taarifa za mkaguzi msaidizi wa polisi kituo cha USA River Mkoani Arusha ,Demetrida Sweethbert Thadeo kuanikwa kupitia mtandao wa Jamii Forum akidaiwa kukodi majambazi ili kumuua mumewe,hatimaye jeshi hilo limemkamata na yupo mahabusu imefahamika. Taarifa za uhakika zimedai...
  8. waziri2020

    Jerry silaa anatafuta kiki tu ukuona takukuru, kazi yao nini umefeli

    Kukataa rushwa kwa mwanachama wa ccm ni jambo jipya , ni maajabu na jambo lisiloaminika , Hata Dr Magufuli aliyejaribu kuwadanganya wanaccm wenzie kwamba hachukui rushwa , jambo hili lilimshinda . Baada ya mdogo wa Rostam Aziz kukamatwa na shehena ya Meno ya Tembo na mamia ya bunduki za kivita...
  9. waziri2020

    Mfanyabiashara wa Madini awatawanya wanakijiji kwa risasi kisa ardhi

    Monduli,Arusha Mfanyabiashara Maarufu wa Madini ya Tanzanite Mkoani Arusha,Sanare Mollel maarufu kwa jina la Muller mkazi wa Kijiji cha Moita Bwawani kata ya Moita Bwawani wilayani Monduli Mkoani Arusha anatuhumiwa kuwapiga na kuwajeruhi wananchi na wafanyakazi wa idara ya ardhi Halmashauri ya...
  10. waziri2020

    Arusha: Mgomo wa madereva Coaster kesho Desemba 7, Mkuu wa Wilaya atajwa

    Kikundi cha Madereva wa Coaster zaidi ya 80 wanaofanya usafiri katika Mikoa ya Arusha-Kilimanjro kesho wanatarajia kugoma kusafirisha abiria kwa madai kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha,Felician Mtehengerwa analazimisha kufanyika uchaguzi wa Kikundi hicho bila kufuata katiba yao. Viongozi wa Kikundi...
  11. waziri2020

    Mahakama yawatengua wasimamizi mirathi ya bilionea Mrema akiwemo Michelle Mrema

    Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Arusha imetengua wasimamizi wa mirathi ya bilioni 18.3 ya mali za Marehemu, Melau Mrema aliyefariki mwaka 2017 na kumteua mtoto wa marehemu Randle Mrema kuwa Msimamizi wa mali . Akisoma hukumu hiyo katika shauri dogo namba 170 la mwaka 2022 lililofunguliwa na...
  12. waziri2020

    Arusha: Shedrack Saitoti afungwa maisha kwa kosa la ulawiti

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha imemfunga kifungo cha maisha Shedrack Saitoti baada kukutwa na hatia ya kumlawiti mtoto wa miaka saba . Akisoma hukumu hiyo leo septemba 26 mwaka huu Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya Ngorongoro,Kohawa Magreth Mboya amesema kuwa...
  13. waziri2020

    Wafugaji na wakulima wapatao 120 wamwangukia Rais Samia kupata fidia, wateseka kwa miaka 20

    Wakulima na wafugaji zaidi ya 120 kutoka Kijiji cha Lolkisale Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wamemwomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassani kuwasaidia kulipwa fidia baada ya mashamba yao ekari 47,000 mwaka 2003 serikali kubadilisha matumizi ya kilimo na ufugaji Jeshini. Akizungumza na waandishi wa...
  14. waziri2020

    Nabii Mkuu Dkt. Geordavie akabidhiwa tuzo nzito ya heshima ya shilingi milion kumi kutoka china

    Kadinali wa pili wa kanisa la Ngurumo ya upako linaloongozwa na Nabii Mkuu Mh Dkt Geordavie jijini Arusha, Elizaberth Humphrey amemshukuru MUNGU kwa jambo kubwa lililofanyika tarehe 28 Mwezi May 2023 katika kanisa hilo kwa kumpa tuzo Nabii mkuu Dkt. GeorDavie. Amesema tangu walipofika Ngurumo...
  15. waziri2020

    Ukatili wa kutisha: Mume amng'oa meno kwa praizi Mke na kumtoboa jicho kwa bisibisi

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Jackline Mnkonyi{38} mkazi wa Sombetini Jijini Arusha amejeruhiwa vibaya kwa kipigo kikali kutoka kwa mume wake, Isaac Mnyagi ikiwa ni pamoja na kung’olewa jino la mbele na kutobolewa jicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi Akizungumza kwa tabu...
  16. waziri2020

    Baraza la Madiwani lapinga vikali rasimu ya mpango matumizi ardhi sio rafiki itaumiza wananchi

    Na Mwandishi wetu , Ngorongoro Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha,wameikataa rasimu ya mpango wa matumizi ya Ardhi ya wilaya hiyo, wakidai si shirikishi na inalenga kumega ardhi yao ya malisho na kuliingiza kwenye hifadhi kitendo ambacho kitaathiri ustawi wa...
  17. waziri2020

    Bomoa bomoa yamsababisha mfanyabiashara kuliburuza jiji la Arusha mahakamani

    WAFANYABIASHARA wa kampuni ya Serengeti Holdings LTD ya jiji la Arusha wametoa notisi ya siku 30 kwa halmashauri ya Jiji la Arusha kulipa kiasi cha sh milioni 365 kutokana na hatua ya jiji hilo kuvunja mghahawa wao kinyume na utaratibu. Aidha wafanyabiashara hao wanakusudia kuiburuza mahakamani...
  18. waziri2020

    Mbunge Gambo fikisha kilio cha ujenzi wa barabara ya kwenda kwa nabii Geordavie

    Arusha Mke wa Nabii Mkuu Mh GeorDavie, Mchungaji Anna Davie ameiomba Serikali kutengeneza barabara ya kuelekea nyumbani kwake iliyopo wilayani Arumeru mkoani Arusha kwani Mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu GeoDavie ambayo kwa muda mrefu imekuwa na changamoto ya kupitika hasa kipindi cha mvua...
  19. waziri2020

    DOKEZO Ufisadi wa kutisha jiji la Arusha. Shule, wanafunzi wakamuliwa mamilioni ya fedha za mitihani, wakuu wa shule wahoji ruzuku ya Serikali inafanya nini?

    Wakati serikali ikiingia mfukoni kugharamia elimu bure kwa shule zake za msingi na sekondari hapa nchini kwa kutoa mabilioni ya ruzuku, mambo ni tofauti kabisa kwa jiji la Arusha, ambapo afisa elimu wa jiji hilo, Bakari Hussein ameziagiza shule zote za msingi zipatazo 163 katika jiji hilo...
  20. waziri2020

    Arusha: Mfanyabiashara afariki kwenye ajali ya gari

    MFANYABIASHARA AFARIKI KWENYE AJALI ARUSHA, TAJIRI ALIYEMVUNJIA MWANDISHI KADI ALAZWA ICU KWA KUJERUHIWA VIBAYA Mfanyabiashara Cuthbert Temba anayemiliki CET GARDEN iliyopo kwa mrefu barabara kuu ya Moshi Arusha amefariki dunia yeye na dereva wake wakitoka kwenye maziko Old Moshi Mkoani...
Back
Top Bottom