Search results

  1. Umuzukuru

    Watalaamu wa masuala ya uwekazaji wa amana na mifuko ya serikali naomba mnijibu swali langu hili

    Chek8 na uwekezaji mwingine pia maana hata mambo ya stock na kama forex tu au cryptocurrency,muda wowote soko linashuka kulingana na idadi ya wawekezaji na demand Cheki pension trust zinazoaminika na zenye consistent nzuri juu ya masuala ya retirement funds(policy) Maana yake Nini,ni kuwa hizi...
  2. Umuzukuru

    Mara nyingi mwanamke unamuona mzuri kabla hujamtongoza, ukishamtongoza ndio unagundua lilikuwa ni wenge lako tuu

    🤣🤣🤣 Hii comment hapana,inaonesha kias Gani umechoka na hizi nyuzi mrembo
  3. Umuzukuru

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Mtoa madam hebu weka share profit halisi iliyowekwa na hao jamaa uone hicho kichekesho Hamna 25 Wala 30% hapo
  4. Umuzukuru

    Loving you Mahondaw

    Hebu ngoja tuone
  5. Umuzukuru

    Loving you Mahondaw

    Wacha na mimi niokotezeokoteze humuhumu aise
  6. Umuzukuru

    Tanesco siyo sawa kuzima umeme eneo linalo kaliwa na wanajeshi

    Kwamba unalisemea jeshi la nchi kwa Tanesco🤣🤣🤣
  7. Umuzukuru

    Jana nimekatwa shilingi 1500 nikinunua umeme baada ya shilingi 1ooo hii 500 imeongezeka lini?

    Let say idadi ya watu 67 millions(according to 2022 census increasd by 2.96%) Idadi ya makazi(taxable) 12millions Kiasi kilichoongezwa tzs 500 Kwahiyo Tzs 500 x 12 million= 6 billions
  8. Umuzukuru

    Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

    Lengo la mwalimu 7likuwa zanzibar itambulike kama mkoa mmojawapo wa Tanzania lakini mchakato ukawa na upinzani wa chini kwa chini kwa wazanzibar kukataa nchi kuwa mkoa au jimbo Lengo jingine ilikuwa ni kuimiliki sehemu kubwa ya bahari ya hindi iwe mali ya bara pia(hapa hadi sasa faida ipo nzuri tu)
  9. Umuzukuru

    Unajua athari ya tabasamu lako kwa mke wako?

    Watu hawajamwelewa mtoa mada hata kidogo Unasema mpe hela mpe hela, niulize je inamaana muda wote huo wa mwezi wa zoezi la tabasamu utakuwa hutoi matumizi? Jibu ni hapana Je unapotabasamu unafanya hivyo bila sababu ya msingi? Jibu ni hapana Wapo mnaosema kuishi na m2anamke kwa akili , lakini...
  10. Umuzukuru

    Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

    Mwambie atafute mdau mwenye mtaji wafungue laboratory
  11. Umuzukuru

    Spotify vs boomplay

    Spotify imekuwa mwiba kwa wasanii siku hizi yaani hamna maokoto ni ubepari tu mwenye nacho ndio anapewa kama hauna hata ulichodhani cha kwako kinachukuliwa
  12. Umuzukuru

    Upi umri sahihi wa kuzidiana kati ya mume na mke?

    Kama huyo mchumba an miaka 30 maana yake una 43 hapo unaweza kuoa Ila kama yuko chini ya 25 na unamzidi 13yrs pitia tena baraza la mashauri humo kichwani kwako
  13. Umuzukuru

    Ushuhuda: Nimedhulumiwa na kampuni ya Sunranch

    Watu ni wapumbavu huwezi amini
  14. Umuzukuru

    Maji huwa hayasahau asili yake, Dar ipo siku itazama!

    Hivi kule m5o mzimga watu waliacha kujenga au ndio kazi inaendelea ya ujenzi mabondeni?
  15. Umuzukuru

    HESLB: Batch One Out Now

    Wanaweka hela subiria
Back
Top Bottom