Search results

  1. W

    Adui wa maslahi ya mfanyakazi ni mfanyakazi mwenyewe.

    Salam za mei mosi ndugu watanzania. Salam za idd el fitri ndugu wananchi. Nipo hapa natazama TBC maadhimisho ya mei mosi 2022 huku nikipitia baadhi ya nyuzi za wadau humu. Ukitazama kila changamoto inayowakumba wafanyakazi chanzo ni wao wenyewe. Mfano kuhusu kikokotoo, mafao ya kujitoa ni...
  2. W

    "Police loss report" isiwe jambo la lazima

    Salam ndugu, Kuna huu ukasumba kila unapopoteza kitu ama nyaraka basi ni lazima ulipoti polisi na upewe barua. Hapa nitazungumzia upande wa vitambulisho, mfano chuo, NHIF, kadi ya benki n.k Sasa mimi kama" id holder" naripoti kwako id issuer" kuwa nimepoteza kadi yangu ya utambulisho,hunipi...
  3. W

    Muundo wa ligi kuu ya Tanzania ubadilishwe

    Kwa kuutazama huu muondo wa sasa hauleti ushindani na una mianya mingi sana ya hizi timu kongwe kuendelea kutawala. Ingependeza baada ya mzunguko kuisha, ichezwe ligi ndogo walau ya timu sita tu ili kumpata bingwa wa ligi kuu ya Tanzania. Zile timu sita za juu ndizo ziingie kwenye ligi ndogo...
  4. W

    Barcelona ya Xavi tuanze kuiamini?

    Naona ile Barce ya kuanzia 2009 kama inarudi. Ile Barca ya moto iliyomfanya Fergie atetema. Naona leo Madrid anateseka mno. Utawala wao unaanza kurejea.
  5. W

    Usajili dirisha dogo 2022 NBC Premier League nani amezingua?

    Najua timu karibu zote zilifanya usajili. Hasa hawa wanakariakoo walivimbishiana sana. Simba ilijidai na chama. Yanga nao walijidai na Nkane, Chiko na yule nyanda waliyedhurumu Manungu. Je nani hadi sasa amefaidika na maingizo hayo mapya?
  6. W

    RC Chalamila aibukia kwa mtume Mwamposa "Rise and Shine"

    Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya na baadaye Mwanza, mh Chalamila leo ametinga kwa mwamposa. Mh Chalamila amewataka watanzania kuliombea taifa. Lakini pia amepata nafasi ya kuombewa na Mwamposa na kumpatia kibali cha ukuu. Kwa maombi haya tutarajie mbingu kufunguka tena? Kwa sasa mh...
  7. W

    TFF na matumizi mabaya ya fedha. Ni wakati sasa kumulikwa

    Kitendo cha kufanyia kikao cha kawaida cha kamati ya utendaji ya TFF huko zenji tena kwenye hotel Verde ni ufisadi tu. Hii tabia ya hawa viongozi wa TFF inabidi sasa ikemewe. Nchi ambayo bado inachangamoto nyingi za maendeleo ya mpira. Wao imekuwa ni tabia kutumia fedha isivyo faa bila tena...
  8. W

    Mo Dewji ameikacha Simba?

    Imekuwa ni muda sasa hazungumzii kabisa habari za Simba. Yupo amebanwa na majukumu yake ya uwekezaji wenye tija zaidi? Kutulia kwake kimya kama vile hana timu aliyowekeza inaleta mashaka. Tafadhari ndugu muwezaji mwenza usiiache timu. Hawa uto wanajidai sana. Sisi mashabiki tunaelewa umuhimu...
  9. W

    Mapinduzi cup 2022 imeanza. Namungo wameanza kwa ushindi

    Ufunguzi umeanza leo ambapo Namungo wameanza vizuri kwa ushindi wa kuusaka ubingwa. Simba, Yanga na Azam ndio timu zinazopigiwa chapuo kuibuka na ubingwa. Fainali ni tarehe 13 januari pale pale aman stadium. Karibuni kwa taarifa zaidi.
  10. W

    Fifa World Cup 2022 Qatar

    Zijue timu zilizotinga kushiriki fainali za kombe la dunia nchini Qatar. 1. Brazi 2.Argentina 3. Serbia....jamaa wamepambana sana kumzuia Portugal na Ronaldo wake. 4. 5. 6 7 8. 9 10. 11. 12. 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 Mambo yameanza kuwa moto,Sisi Tanzania ni...
  11. W

    Ujinga wa wachambuzi wa clouds kutetea makosa ya refa mechi za Yanga

    Nawasikiliza hawa jamaa, ni wapuuzi kweli. Yaan refa kushindwa kustahimili mchezo kisa presha na ujanja wa wachezaji na mashabiki Kwao wanaona ipo poa tu.
  12. W

    Hodi Arusha tupo pamoja na Rais wetu Samia Hassan

    Nawasalimu wakuu. Hatimaye tena ndani ya Chuga. Ukarimu wa mara ya mwisho haukuwa na kifani. Tukiendelea kuunga mkono juhuzi za kuwalatea wananchi mema ya nchi, nipo tena chuga kwa machaliii. Tupeane code tu wapi mupoooo. Mie saa 6 sharp naanzia bilz pale. Hii hali ya hewa sio kama lile...
  13. W

    Tunaoenda interview za TRA tukutane

    Salam.. Wale tuliochaguliwa kwenda kwa usaili wa nafasi za TRA dodoma tupeane updates. Kama unapossible tushtuane. Tukifika Dom pia tuambiane bata zinakuwa wapi. Dom inaenda kujazwa kwa muda kidogo kuanzia leo watoto wakali watakuwepo. Hadi sasa sijabahatika kupata nafasi ya sehemu ya kulala.
  14. W

    Serikali idhibiti mfumuko wa bei

    Hali ya bei za bidhaa inadhidi kuwa tete. Bei ya petrol, dizel imeongezeka kwa kiasi kikubwa. Zaidi ya sh 40 kwa lita. Bei ya mafuta ya kula lita 5 kwa 50,000. Yaa 10,000 kwa lita. Kama inawezekana hata jeshi la polisi litumike kama ambavyo imewezekana sehemu tofauti. Nakumbuka msako wa...
  15. W

    Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee. Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania. Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii. Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza. 1. Covid 19 imeutesa sana huu...
  16. W

    Barcelona, Juventus na Real Madrid zashukiwa na UEFA

    UEFA have opened 'disciplinary proceedings' against Real Madrid, Barcelona and Juventus for their part in leading the European Super League project. Hawa ndiyo machampion pekee waliobakia na msimamo wao. === Uefa has opened disciplinary proceedings against Barcelona, Juventus and Real Madrid...
  17. W

    Usiku wa manane, dua humfikia Mungu haraka. Nawatakia Simba ushindi

    Ni usiku wa manane... Usiku wa utulivu,ambao dua hufika haraka sana. Naitakia heri timu yangu ya simba ipate ushindi. Eid hii haiwezi enda bure kwetu. All the best mnyama...
  18. W

    Tumeharibu brand ya ligi yetu

    Kufuatia kadhia ya kufuta mechi ya simba vs yanga madhara yake ni makubwa. Tumeua ari ya wanamichezo Kuna mashabiki hawataenda tena viwanjani Kuna mashabiki wameamua kuachana kabisa na habari za mpira wa tanzania Hatuwezi tena kupata wadhamini wa maana kwa ubabaishaji huu wa TFF & Co. Kwa...
  19. W

    #COVID19 NIMRI na chanjo/tiba ya Covid-19 mbona kimya?

    Nimewakumbuka hawa watafiti wetu, Hivi kuna muendelezo wowote juu ya harakati zao za covidol/nimcaf katika kutibu corona. Vipi msimamo wao juu ya hizi tiba asilia na kupiga nyungu? Kuna yule mkuu wa mkoa wa Mtwara huko, naye ameshamaliza usajili wa waganga? Naona wamekuwa kimya kama hakuna...
  20. W

    Rais Mwinyi aka wa Mzee Ruksa ni muungwana sana. Kumbukumbu zaanza kumuacha

    Kongole kwake. Pamoja na kuwa amekiri kuwa sasa anapoteza kumbukumbu lakini bado mkewe anaonekana kuwa msaada mkubwa. Amsahau mwanae. Asahau mahali alipo ni Chato, mlinzi amkumbusha. Hotuba nzuri ya Kiswahili murua kabisa katika kumuaga Hayati Rais John Magufuli. Ila kufuatia hali...
Back
Top Bottom