Search results

  1. mutuyazamani

    Hii ni HATARI kwa CHADEMA!

    Hata tabibu hutibiwa.......
  2. mutuyazamani

    Mitihani ya kidato cha nne yavuja kwa school candidate

    Hebu tudesesheni na sisi hizo kitu angalau na watoto wetu waweze kubadilisha maisha hapo baadae, maana watoto wao tu ndo kila kitu......
  3. mutuyazamani

    Mukama akishangilia USHINDI WA IGUNGA

    Hivi ni kweli walioshindwa Igunga hawakutumia fedha? hebu tupunguze msukumo wa kiitikadi .... ile Midege isiyo na matairi haikuwa Gharama? kuwasafirisha wahamasisashaji katika kila chama haikuwa gharama?
  4. mutuyazamani

    Ooh maskini huyu babu!

    Hii story na wasiwasi sana itakuwa imetengenezwa..... bila shaka walitaka ujumbe "Marriage is about love, not faces" utufikie.... Kwani sijapata kusikia imani ya dini yoyote au mila na desturi ya kabila fulani linalo wakataza mume na mke kuonana hususani wakati wa faragha......
  5. mutuyazamani

    Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

    Bado wa cuf hatujamsikia....... Cuf Wapi? Sema kitu..... cuf wameshinda kwa ngapi? Aisee tuache porojo waungwana Tunahitaji matokeo ya kuaminika..... hatutaki tetesi sasa... maana mtatuua wengine kwa presha
  6. mutuyazamani

    Mke wa mtu

    Hebu tuambie upo nchi gani, maana wanawake pia wanajibiwa kulingana na mila na desturi zao........hebu funguka kidogo, alianza lini hako kamchezo cha kukutaka.... na alianzaje?
Back
Top Bottom