Search results

  1. Heater

    Seif foundation Lengo kuu ni kuenzi fikra za Hayati Maalim Seif... Vipi kuhusu kuenzi fikra za Magufuli?

    Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma) Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana.. Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr...
  2. Heater

    Msaada kimawazo: Nimezaa na mwanamke ambaye anaishi na mwanaume. Mtoto kazaliwa copyright na mimi

    Kibaya zaidi ni kwamba Mwenzangu huyo anaamini kwamba ni mtoto wake na anahudumia kama baba. Mtoto anamiezi kumi ivi sasa, Natamani sana niweze kumpata lkn nashindwa ni vipi nitaweza kumpata. Natamani hata Mwanaume huyo angeujua ukweli, lkn naogopa madhara yatakayoweza kutokea baada ya kuujua...
  3. Heater

    Uchaguzi 2020 Je, CCM ndiye Adui wa Haki na Maendeleo katika Nchi yetu? Nini tulichojifunza kupitia mchakato wa Ugombea 2020?

    Mchakato wa Ugombea CCM ulianzia ngazi za kata na Majimbo na kuishia NEC tofauti na ilivyozoeleka. Kwa mujibu wao sababu kubwa za kupeleka NEC majina yote ya Wagombea ni pamoja na. >Rushwa (asiwe mshindi kwa kutoa Rushwa) >Kukubalika (anayekubalika na wapiga kura) >Na zinginezo Naomba nijikite...
  4. Heater

    Uchaguzi 2020 Majina 13,000 ya wagombea yamejadiliwaje kwa siku mbili?

    Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48. Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja. Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa dakika 60, utapata majina takriban 5 yalijadiliwa kila baada ya dakika 1. Hii imenishangaza sana...
  5. Heater

    Natabiri Bunge litarudi live 2020 - 2025 kwa ajili ya kusifu na kuabudu

    Ninakila sababu ya kuamini katika ili ikiwemo... - Naamin Wabunge wote machachari wa Upinzani hawatorudi bungeni sababu Tume si huru, lakin wenzao Walishaahidi kutumia Dola kubaki madarakani. - Pia Mheshimiwa wetu nae anapenda sana kutukuzwa. Kwaio Wabunge watakaoingia mjengoni wengi watatoka...
  6. Heater

    Msaada aliyepata mafao baada ya miaka 7 ya kazi 2019

    Nimefanya kazi kwa miaka 7, hatimaye kibarua kimefika tamati. Mwezi uliopita nikaenda ofisi za Mafao - Ubungo Plaza nikaambiwa niwasilishe madai lakini hawajapewa muongozo toka juu kuhusu kulipa watu ambao ni Expert. Hivyo madai yangu yatapokelewa na kuwekwa pending mpaka pale muongozo...
  7. Heater

    Mwanya wa kukwepa kodi, kutokana na msamaha wa miezi sita baada ya kupata TIN no

    Wafanyabiashara wenzangu ningependa kushare na nyinyi hii fursa. Nikiamini kwamba kila mfanyabiashara anatafuta njia ya Kupunguza gharama... ili aweze kukuza faida yake wazungu wanasema Profit maximization. Kupitia Msamaha huu wa miezi sita ni bora tukawa tunabadilisha Tin number kila baada ya...
  8. Heater

    Idadi ya watakaojiandikisha kupiga kura kupungua kwa zaidi ya 50% uchaguzi wa 2020

    Haya ni mawazo yangu mimi nikiwa na sababu zifuatazo. 1) Waliokuwa wakijiandikisha ktk awamu zilizopita wengi wao Kipaombele kilikua ni kitambulisho, kura ni kama ziada. 2) Kitambulisho cha kura hakitakua na nguvu yoyote zaidi ya kufanyia uchaguzi. 3) Wananchi walio wengi wameshakata tamaa na...
Back
Top Bottom