Search results

  1. Savimbi Jr

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Na ndiyo wanakuwa promoted na wazungu ,mtu akimuona lokole ana push range na yeye atatamani atoe mtaro.
  2. Savimbi Jr

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Elimu ELimu ELimu ,hiyo ni bailoji ya form One C mkuu. Ebu Soma kitabu cha ujasusi cha yericko uone jinsi hizo chemical zinavyotumika na majasusi kuumiza adui.....Perfumes/Mafuta ukitumia baadhi ya content zinaingia mwilini ,kuna baadhi ya content unaweza ukafanya ziboost hormones ya aina...
  3. Savimbi Jr

    Eti wanaume wengi wataozea jela Kama Hili zoezi likifanyika

    Ukielewa maana ya refractory period hauwezi kusema mtu ana matatizo ya nguvu ya kiume. Upungufu wa nguvu za kiume na uwezo wa kupiga bao tatu ni vitu viwili tafauti. Ukishapiga bao kuna kitu kinaitwa refractory period ,ni muda ambao "Dudu la Yuyu" linaamka na kuanza tena shughuli ,RP...
  4. Savimbi Jr

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Huawezi Kuelewa kama haujafika hata form One......Tatizo hamna bando hamsikilizi report ya muandishi ,mnadandio hoja za kwenye meme tu,kaeleza jinsi gani hizo bidhaa alizoleta huyo mzungu(Mme wa Noel) na kuwapa bodaboda zinavyoathiri hormones mpaka mtu anakuja kuwa shoga.
  5. Savimbi Jr

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Tafuteni kazi nyingine hiyo misaada mnayopata kutoka kwa wazungu muenenze ushoga mtapa laani vizazi vyenu hadi vinne.
  6. Savimbi Jr

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Umeelewa mada au una attack watu? Tatizo lako mtu akipinga Ushoga una muattack!! Rudia kuisoma mada kwanza kisha ndiyo utoe maoni kulingana na mada iliyopo na si personal attack. Muandishi amekuja na report yake iliyoshiba kama zile za Mohamed Ali(KTN) kama unampinga inabidi wewe uje na zako na...
  7. Savimbi Jr

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Najielewa sana wew mtetea mashoga LBGT ,mimi nazungumzia Mashoga Mabaunsa nimekuwa specific siwazungumzii nyie mashoga wakoboaji.
  8. Savimbi Jr

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Sasa kama wewe hautaki kushauriwa mbona na wewe unalazimisha watu waamini unachoongea? Itoshe kusema kila mtu abaki na misimamo yake...Kama wewe unaamini katika ushoga endelea kuamini Ushoga na usillazimishe watu wazibuliwe mitaro ila sisi tunaoamini kwamba ushoga siyo sawa unapawa kukemewa...
  9. Savimbi Jr

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Siwezi kufanya utafiti wakati Mkemia Mkuu alishafanya huo utafiti kwenye hizo biadhaa alizoleta huyo Mzungu aliyewaoa kina Noel....Muandishi alikuwa na gut ya kumtaja Mmkemia kwasababu alienda kwanza na ndipo akapewa hayo majibu na mkemia ,wewe kama unapinga mtafute muandishi akube hizo bidhaa...
  10. Savimbi Jr

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Hivi Dr hauwezi kuongea au kushauri bila kuleta maneno ya kejeli kwa mtoa hoja au mada? Watu wengi wanao-attach mtu kwenye hoja mara nyingin wanajenga defense mechanism ,hivi kulikuwa na ulazima wa kusema muone huyu masikini? Kwani wewe tajiri na mimi masikini tunavuta hewa tofauti? Ukifa wewe...
  11. Savimbi Jr

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Dr sorry ulimsikiliza yule muandishi vizuri? Alisema ili kuthibitisha alienda kwa Mkemia mkuu kwa ajili ya kuvipima vile vitu walivyokuwa wanagawa ,na mkemia mkuu alithibitisha vinachochea sana mwanamme kuongezeka hormones za kike. Nikupe mfano ,kuna hormone inaitwa adrenaline hiyo...
  12. Savimbi Jr

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Wazungu hawatupendi sana wa-africa ,lengo lao tuishe wote ili waje kukaa bara hili liliobarikiwa kila aina ya resources. Kwahiyo wanainduce ushoga barani ,wazungu wana plan za muda mrefu sana wanaweza hata kuwa na plan ya miaka hata 50 huko mbele ,kwa mujibu wa hiyo report ya huyo dada ,hadi...
  13. Savimbi Jr

    Uzembe wa TANESCO, Nguzo iliyo anguka yaua Mwanafunzi Kyela

    Majibu ya uongo uongo hayotaosaidia kitu ,TANESCO mnawajibika kwa kifo cha mtoto Albert ,ningekuwa mwanasheria ningewashikisha adabu nyie.
  14. Savimbi Jr

    Corona: Misiba mitaani imekuwa mingi mno. Hii siyo kawaida

    Kinga ndio muhimu mkuu. Ingekuwa ni hivyo basi wazee,mabonge,wenye group A wangekuwa wameshakwisha. Kuna jamaa alipata corona alikuwa Bonge zaidi ya Big Punisher lakini alipona corona ,pia kuna jamaa yangu mwembamba na yeye alipata corona ilimpelekesha zaidi ya wiki mbili ndio akapona ila...
  15. Savimbi Jr

    Hii Coming 2 America sijaielewa...

    Lishatoka kumbe? Shemeji kapafomu au katoa boko?
  16. Savimbi Jr

    Je, mtu anapokaribia kufa huhisi chochote?

    Waliokufa ndio watoe ushahidi kuhus kifo.
  17. Savimbi Jr

    Rais Hussein Mwinyi: Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa Corona

    Mwinyi anajielewa...kashaona life is too short.
  18. Savimbi Jr

    Kazi uuzaji wa Duka la Dawa Kilosa

    Natumia Free Wifi mkuu.
Back
Top Bottom