Search results

  1. South-Asia voice

    Thamani ya shilingi yapaa Gavana adai Uchumi umepaa pia mimi nasema hapana wewe je ?

    huo ndo ukweli wenyewe $$$$$$ imeshuka, subirini $$ ipande sijui tutaambiwa nini??
  2. South-Asia voice

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Ivunjwe na kindwe chombo kingine kiwajibike moja kwa moja kwa Bunge
  3. South-Asia voice

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Naomba idadi ya Watanzania wakati wa hiyo operation.
  4. South-Asia voice

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Hizo enzi zako unazosema, tungelikuwa na viongozi hawa tulionao kwa wakati huo, leo hii tusingeonana hapo JF. Nakuachia utafakari au ni chuki binafsi au ni nini????
  5. South-Asia voice

    African Cup of Nations 2008

    Hapo tupo pamoja mimi naongezea hivi:- Nusu fainali Cameroon-Ghana-Ghana itasonga mbele Côte d'Ivoire-Egypt-Côte d'Ivoire itasonga mbele Fainali Côte d'Ivoire vs Ghana-Bingwa Côte d'Ivoire
  6. South-Asia voice

    JKT kurejeshwa, wazo zuri au limepitwa na wakati?

    Ngugu mwana JF JKT ilitukutanisha watu wa kutoka kila kona ya nchi yetu na fani mbali mbali, hii leo kwa aliyepitia JKT karibu kila ofisi atakayoingia atakutana na mtu walipitia pamoja jeshini. lilitujengea umoja ambao thamani yake ukiwa na mtizamo finyu utaona kama ilikuwa ni kupoteza mda...
  7. South-Asia voice

    News Alert: Mawaziri wote waitwa Dar

    Tukaze uzi Watanzania ni kuwabana hawa mafisadi mpaka kieleweki kitu hakuna kulala wenye vyanzo vya habari msilale
  8. South-Asia voice

    The Crisis In Congo..What Can Tanzania Do?

    Kule Angola bwana Jonas Savimbi alihangaisha sana maisha ya wanaangola lakini baada ya vita ya mda mrefu bila kuchoka aliuawa na ndo ukawa mwisho wa matatizo kule Angola. Hata DRC inabidi wafanye kweli kama walivyofanya Angola, watumie makomandoo wanaoweza kumfikia huyu nduli mwuuaji nkunda na...
  9. South-Asia voice

    The Crisis In Congo..What Can Tanzania Do?

    Kule Angola bwana Jonas Savimbi alihangaisha sana maisha wa wanaangola lakini baada ya vita ya mda mrefu bila kuchoka aliuawa na ndo ukawa mwisho wa matatizo kule Angola. Hata DRC inabidi wafanye kweli kama walivyofanya Angola, watumie makomandoo wanaoweza kumfikia huyu nduli mwuuaji nkunda na...
  10. South-Asia voice

    Kikwete aficha siri

    Kwa wana JF Katika uzoefu wangu kutabiri kuwa JK atabadili mawaziri hili linawezekana lakini kutabiri na watakao teuliwa kama bwana Charles Mullinda wa Tanzania Daima alivyoandika hilo haliwezi tokea kwani itakuwa ni sawa na kumwambia mteue mtu fulani wakati kazi ya kuteua ni yake na wataalamu...
Back
Top Bottom