Search results

  1. FK21

    Mbinu gani ya kudai pesa bila kuonekana msumbufu kwa boss?

    Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
  2. FK21

    Utachukua hatua gani kuepuka urafiki wa aina hii?

    Habari za mda huu wakuu Utachukuliaje pale rafiki yako anapokuwa na tabia hizi. Unarafiki ambaye pale anapopatashida anakuitaji umshauri atakusumbua ata usiku wa manane umuweka katika mood ila wewe unapokuwa haupo sawa ulihitaji ukaribu wake hakupi ushirikiano utachukua hatua gani? Nb...
  3. FK21

    Inakuawaje unaachwa na mtu ambae hujui kama mlikuwa kwenye mahusiano?

    Kuna kitu kimenishangaza kidogo jana nimetumiwa message ya kuachwa na mdada ambae hata sikufahamu kama tulikuwa katika mahusiano, tulikuwa na mazoea tu mwezi wa 12 akasafiri kwenda kwao amerudi majuzi tukawa tunaongea vizuri tu. Jana usiku saa moja anasema bora tuachane anashukuru kwa upendo...
  4. FK21

    Je, ni kweli kama uliachana na ex-wako na hajawahi kukutafuta wewe ni mtu wa hovyo?

    Wakuu nimekutana nayo twitter mimi bado mgeni wa mapenzi na sina ex- je kuna ukweli gani katika kuhusu hili suala wakubwa? Njooni mdadavue
  5. FK21

    Mwanza kuna tajiri kumzidi Zongii?

    Sio tu Mwanza tuseme Kanda ya Ziwa hii kuna tajiri kumzidi huyu jamaa anaemiliki kampuni ya utengenezaji mabomba? Kununua Sahara mjini kati sio mchezo na kujenga ukiamka tu unaona ziwa Victoria kwako sio mchezo, kuendesha gari kali za kimarekani sio mchezo kabisa Huyu kijana anatoa inspiration...
  6. FK21

    NAWASHAURI WATU TUSIENDE KWA WAGANGA KUPIGIWA RAMLI CHONGANISHI

    Speaking from my experience kiukweli leo nilitembelewa na ndugu yangu wa kike ambae huwa ana mambo za KIGANGA ni mtu mzima sana tuseme bibi Amefika tumeongea akasema kuna kitu anataka kunifanyia kaangalia viganja vya mikono na kuanza kuniambia vitu Vingine ni ukweli asilimia 100 kabisa vya...
  7. FK21

    Kikosi changu cha kufungia mwaka 2023 Ligi Kuu ya NBC hiki hapa

    1.Diarra 2.Lusajo mwaikenda 3.Lomalisa 4.innonga 5.Job 6.Sospeter banana 7.Paccome 8.Feitoto 9.Dube 10.Aziz k 11.kipre jnr Njoo na wewe utaje kikosi chako
  8. FK21

    Confession about love njoo utuambie chochote kitacho tufacha tu fear women &men

    Njooni mfunguke funga mwaka hii kipi kilichokupata katika tasnia hii kikakufanya kuogopa wanaume au wanawake at njooni mfunguke wadau na wakulungwa
  9. FK21

    First colombian to play nbc primier league

    Azam ni mamelody Mpya usijiri umekamilika
  10. FK21

    Simba imeajiri Afisa Habari na Msemaji ambae hajitambui

    Kwa nilivyoona speech yake kwenye press ya jana ni asilimia 100 kuwa Ahmed Ally ni mwehu kabisa maana anaongea vitu vya kipumbavu kabisa. Nina mashaka na elimu yake huenda hana elimu, ni chawa mmoja mzuri, ni type ya watu wanaoweza kuwa potential kwa CCM. Aina ya watu walaghai, nimemshusha...
  11. FK21

    Je, ni risk ipi utaipata ukitoka kwenda kusikojulikana kujitafuta ili kutafuta mafanikio?

    Wanandugu mliowahi kwenda KUSIKOJULIKANA kuanza moja tunaombeni mtujuze changamoto ILI tujue jinsi ya kuzikabili UKITOKA KWENDA sehemu kujitafuta
  12. FK21

    Azam naona imejipata Kipre Junior on fire

    Msijifanye hamjaona walichokifanya AZAM uko chamanzi aisee Mimi nmeshangaa mbona alikuwa anaanzia bechi Kwakweli Azam wamejipata team ambazo hazijacheza na AZAM mjipange sana KIPRE JUNIOR aisee uyo mtoto anajua adi anajua tena keshapiga hatrick na goal Bora la msimu SIMBA MJIANDAE KUKUNWA KUNAKO
  13. FK21

    Arusha kumejaa waimba taarabu wenye lafudhi isiyo ya mwambao wa Pwani

    Hakika baada ya mji wote kuteswa na kunyanyaswa na DANGOTE Kijana aliyezaliwa mwaka 2005 Nachelea kusema Wanawake na Wanaume wa ARUSHA wote ni ma ZUCHU tu Yule mtoto alikuwa sio wa kusumbua popote yule alitakiwa kupigwa na vijana wawili tu Nimesikia na kuona VIDEO clip ya FIDOVATO akitamba...
  14. FK21

    Sospeter Bajana ni our future captain wa Taifa Stars

    Huyu kiungo nondo wa Taifa stars na Azam. Hakika anakosa watu wa kucheza Nao tu pale Taifa stars ila ni kiungo mmoja mzuri na mkatili sana. Sifa zitazomfanya awe CAPTAIN national team ni uwezo wake wa kuongea lugha ya kingereza Kwa ufasaha kiasi tofauti na wachezaji wa SIMBA mfano ZIMBWE...
  15. FK21

    Bacca jifunze Kingereza kuondoa fedheha kama ya leo

    Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake cha halali akiwa hana HIRIZI pia suala la kumshauri. Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA.
  16. FK21

    Chloe Kelly Stay wa Man City team ya wanawake anaeweza kupata namba Man United na Simba ya Wanaume

    Kwa mliangalia uwezo wa uyu mdada walahamuwezi kubisha kabisa anaujua mpira haswa tena haswa kipaji chake kinaweza kulingana na Cha AZIZ K Ni fundi haswa wa Mali huwezi mkinai kumuangalia.
  17. FK21

    Huyu Aubrein Modiba anacheza namba gani pale Mamelody?

    Uyu mchezaji wa Mamelody amekuwa akinichanganya sana ni mtu wa ku shape CHARACTER SANA Anaitwa AUBREIN MODIBA Mwenye anajua number anayocheza ananiambia maana kuna Mda namuona kama beki kuna Mda kama kiungo kuna Mda kama winger na Kila nafasi anayo shift anacheza kama mchezaji wa nafasi iyo...
  18. FK21

    Hakuna mchezaji duniani mwenye mke mzuri kuzidi Bongani Zungu

    Aisee uyu bishoo wa YELLOW NATION [emoji169] BONGANI ZUNGU anakojoa pazuri sana kama kuna mchezaji unaemjua ana mke MZURI kumzidi jamaa mpost tuone ila zungu ni [emoji119]
  19. FK21

    Wachezaji wenye akili na hatari zaidi Mamelodi

    Najua wengi Jana tuliuangalia mpira wa Mamelody vs Al AHLY lakini ni wachache tulioangali Kwa jicho la tatu na kung'amua vipaji haswa katika kikosi kile. 1. Kuna beki mmoja wa kati kitasa haswa sura ya mama anaitwa GRANT KEKANA Uyu bwana mdogo matumizi ya akili ni makubwa mno sawa na umchukue...
  20. FK21

    Kuandikiwa 'your not allowed to use this app baada ya kupakua GB WhatsApp' na kuitumia kidogo

    Wataalamu wa computer naombeni ushauri kuhusu Hilo suala Nmefungiwa ghafla na WhatsApp
Back
Top Bottom