Search results

  1. M

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    Ndugu wadau, Nawaomba mchangie hoja. Je ni ruhusa mke au mme kuangalia msg au kupokea simu ya mwenza wake. maana wakichunguza inaweza leta hisia hata ambazo hazipo, lakini pia kuto angalia mmoja anaweza kukosa imani na mwenzie. tujadili
  2. M

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Naomba kufahamishwa namna ya kuanza huduma ya mpesa na tigo pesa ktk yafuatayo. 1. je lazima nisajili kampuni kwanza? 2. kiasi gani cha mtaji unahitajika 3.je commission kiasi gani inatolewa kwa wakala. Natanguliza shukrani.
  3. M

    Uwanja unauzwa- madale mil 9

    karibu na TEGETA
  4. M

    Uwanja unauzwa- madale mil 9

    Uwanja unauzwa Madale kwa Karibu na kwa Kandolo. Hatua 70 X 70. Hauna Hati, ila serikali ya mtaa ni mashahidi. Kwa mawasiliano piga 0763 894508.
  5. M

    Natafuta nadia

    Natafuta Nadia, isiwe ya Engine D4. Mwenye nayo,aweke picha hapa, na anipe bei yake ya mwisho. mimi ni dalali, niwe muwazi. au tuma ujumbe au kupiga simu 0763 894508.
  6. M

    Mkopo wa haraka

    . ndugu habari za kazi, vipi nawezaje kuwasiliana nawe. natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
  7. M

    Pole sana Mh.ZITTO kumbe na wewe hutumii chandarau!

    unaweza kuumwa na mbu mahali na wakati wowote. Chandarua kinawekwa kitandani tu. vyandarua kwa hiyo vinapunguza uwezekano wa kupata mbu si kwamba vinaondoa
  8. M

    Mkopo wa haraka

    Asante sana feis buku, ni kweli dunia yetu leo huna kabisa, kesho waweza kuwa na nafuu. ndio changamoto za maisha yetu. Pongezi zako kwa kutumia jina hilo.
  9. M

    Mkopo wa haraka

    . ndugu yangu asante sana kwa mwitikio wangu. kwa kweli mimi nashukuru sana kwa msaada wako. ninachoweza kusema nimekuja hapa jamvini kuomba msaada kweli kwa sasa nimetingwa, ndo maana nimeomba msaada hapa. waweza kuja ofisini na ukathibitishiwa na Finance and Administration officer wetu. kwa...
  10. M

    Mkopo wa haraka

    Wana JF, naombeni msaaada wenu wa mkopo wa Tshs Mil 4, ambapo kila mwezi nitalipa riba na kurudisha mkopo baada ya miezi minne. malipo ya riba kila mwisho wa mwezi. nina shida sana na kiasi hicho. ninaweza kutoa kadi ya gari nissan skyline lakini pia nina nyumba japo haina hati. natanguliza...
  11. M

    Nssf -msaada wa haraka tafadhali

    Jamani huu mjadala ni mkubwa. Pengine, mimi niseme tu kwamba, serikali yetu inafahamu kuna mambo ni haki yetu, lakini kwa kuwa haitoi kwa wakati, kuna wadau alzima wasaisie. kama nilivyosema, mimi nimeacha kazi na nia shida, lakini zile pesa za NSSF ni zangu, nazihitaji sasa kuliko wakati...
  12. M

    Nssf -msaada wa haraka tafadhali

    mimi nipo dar es salaaam, naishi tabata kimanga, naweza kukuona hata w'end hii tukaongea vizuri. michango yako ilikuwa ikipelekwa NSSF ubungo
  13. M

    Nssf -msaada wa haraka tafadhali

    Wadau naomba msaada wenu, mimi kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi niliacha sasa ni mwezi mmoja. japo nimepata kazi ya kujishikiza, nina shida sana ya kuchungua MICHANGO ya NSSF ambayo nimechangia. Naomba msaada wa namna ya kupata pesa zangu ndani ya wiki 2 ikiwezekana. Kwa msaada huu, nitatoa...
  14. M

    Mkopo wa 5 mil

    M Pesa asante kwa msaada wako, bhati mbaya taaluma ya ku PM sina , naomba nitumie ujumbe kwenye simu O763 8945O8. Nashukuru sana, asante Pia kwa ushauri wa wengine, tatizo huko mliko nielekeza inaweza kuchukua muda mrefu na kunaweza kuwa na comlications nyingi sana.
  15. M

    Mkopo wa 5 mil

    Wana JF, Nakuja kwenu nikomba mnisaidie Mtanzania na mwanaJF mwenzenu mkopo WA Mil 5, hata kwa riba ambapo nitaanza kulipa baada ya mwezi mmoja. Nina gari na ia nyumba. Gari naweza kuacha kadi, ila nyumba haina hati, lakini tunaweza kuandikishana kwa mjumbe. Naombeni msaada wenu, nio wakati...
Back
Top Bottom