Search results

  1. C

    Gari kukosa balance tairi za mbele

    Gari yangu nikiwa road inaonesha kuchezacheza sana tairi za mbele na kupelekea gari kukosa balance kabisa tatizo ni nini?
  2. C

    Tulioshindwa kula tunda tukutane hapa

    Inatokea unaingiaa na demu gheto kwa madhumuni ya kula tunda lakini unashangaaa demu anakukazia mwanzo mwisho na tunda hatoiii. Je, hiii mabahariaa mnaichukuliaje?
  3. C

    Natafuta mtu wa kuniondolea stress

    Mm ni kijana mwenye umri wa 31 years old nipo kwenye ndoa huu ni mwaka wa pili nauanza but nimegunduaa Ndoa inachangamoto nyingi sana. Inshort nimekua ni mtu wa stress muda mwingi sana maana mm sio muongeaji sana so nahisi naumiaaa kimoyomoyo.(kero ndogondogo kutoka kwa wife). Hivyo basi...
  4. C

    Car4Sale Nauza gari yangu (Raum)

    Nauza Gari yangu 5 M Raum CC 1450 Rim sport 0743929787 Njombe
  5. C

    Hamu ya kufanya mapenzi kila mara

    Moja kwa moja kwenye mada. Mm ni mwanaume mwenye umri wa 30 yrs (jina kapuni na mkoa kapuni) Nimeoa 2019, yanayonikuta ni kwamba napenda sana kusex yani tukitoka tu job kabla hata hatujaoga Mzee nishadandiaa kwa wife then show ya kibabe kwa bao 2 then ndio ustaarabu meingine unafuata, hapo...
  6. C

    Nahitaji laini yangu iunganishwe katika vifurushi vya chuo

    Wakuu shida yangu kubwa ni kuunganishwa line yangu iwe ya chuo.
  7. C

    Nacte verification awards imechelewa sana

    Wakuuu habarini! Naomba msaada wenu juzi niliomba Verification awards Nacte wakanitumia Email kuwa itatumwa but up to this moment sijaona kitu. Naimbeni msaaada nifanye nini?
  8. C

    Msaada flash tool na flash file ya tecno S1

    Msaaada kwenye tutaaa Flash file na flash tool ya tecno S1
  9. C

    Msaada Jinsi ya kupata MTK ya kuflash simu aina zote

    Nahitaji kuaanza kutoa Lock za Simu haswa Tecno,Vodafone na Sumsung. Wakali wa hizi kazi msaada please. CHIEF MKWAWA
Back
Top Bottom