Hivi hii bodi ya mikopo ambayo hudai imeishiwa fedha na inauwezo mdogo wa kifedha kuwakopesha wanavyuo pindi waanzapo vyuo, hivi huweza kuwalipia wanavyuo wa mwaka wa pili ambao walikosa mkopo mwaka wa kwanza au ndo huwatupia kisogo kwa kuto wasaidia mikopo miaka yote ? Nahitaji msaaada hapa...
King kilipa. . . . .
na mimi ni mwathirika , inauma sana a Haki ya nani tuko weng tuliofyekwa ka nyasi then kukwanyagwa pasipo na huruma hata kidogo kwa hii serikali yetu ya ccm kwa sisi maskini kusoma tusahau kabisaaa a a a a tutakaa sana nyumbani na kushika jembe na kulipa kodi na wengind...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.