Search results

  1. jjs2017

    Wanawake wakiamu hakika wanaume tutakufa kama konokono ni vile tuu mtetezi wetu yu hai

    Habari ya siku nyingi. Kweli kama vile mkate mgumu ukiwekwa kwenye chai unavyokuwa ndivyo hivyo na wanaume tunavyokuwa mbele ya wanawake kunako 6*6, na ndiyo maana katika moja ya njia ya mwanamke kukudhibiti na kukupa maumivu ya moyo ni kukunyanyasi tamu yake hakika maana kukupiga mwanaume...
  2. jjs2017

    Natarajia kuanza kununua dada poa rasmi kupooza nafsi yanguq

    Nimegundua wanaume waoaji na wenye nia ya dhati kuoa na kuishi na mke maisha ya kumpendeza Mwenyezi Mungu tupo tukianza na mimi ila kuna ugumu mkubwa na upinzani mkali sana katika kutafuta mke mwema, na usipo kua mwangalifu unaweza ukajipatia mental disioder hivi hivi. Sasa ili kujilinda...
  3. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Heri ya mwaka mpya na habari za siku nyingi. Mwaka jana nilikutana na huyu binti wa kirangi katika mazingira yangu ya kazi, sikujua kama ni mke wa mtu tukawa kama marafiki huku nikimsaidia mambo ya hapa na pale ila katika utani utani baina ya mwanaume na mwanamke nikajikuta na mtongoza alikaza...
  4. jjs2017

    Wanawake tukataeni kistaarabu tunapowatongoza ipo siku utatamani hata upigiwe mruzi ila utaukosa

    Wanawake tunawatongoza kwasababu tuliambiwa tuwapende, hatupendi kuishi wenyewe wapweke ndiyo maana tunawafata. Inasikitisha sana mwanamke unamtokea alafu anakujibu tuu direct 1: "SIKUTAKI" 2: HUNA HADHI YA KUA NA MIMI 3: ANAKUPANDISHA NA KUKUSHUSHA ALAFU ANATEMA MATE CHINI ANAONDOKA ZAKE...
  5. jjs2017

    Kumpa hela / matunzo mwanamke ambaye hujamuoa ni sawa au sio sawa?

    Salaam sana. 1: Je, ni sahihi kumpa hela pamoja na matunzo mwanamke ambaye hujamuoa kabisa kwa kisingizio cha uchumba kuwa wanadai matunzo na vihela vidogo vidogo? 2: Je , ni halali kumpa 50,000/= kila mwezi mwanamke kama hela za kumtunza ilihali wazazi wake wote wapo na pia ukizingatia kwa...
  6. jjs2017

    Natafuta mke mwema

    Habari, Naomba niwatake wale wote wanaidhani mimi siyo muoaji au nipo hapa kupiga watu na kitu kizito kwa kulinganisha technical and fundamental analysisi ya trend za nyuzi zangu humu JF watoefikra hizo na watambue mimi nipo serious kutafuta mke mwema wa kuoa na pia naombeni mniombee...
  7. jjs2017

    Nahitaji matumaini ndani ya nafsi yangu, semeni chochote kinisaidie

    Najua mtaona na wasumbua sana na kunichoka ila nahitaji matumaini ndani ya nafsi yangu . Sipo sawa kabisa nikiri mbele yenu. Nisaidieni mawazo nilikua na meza hadi amitrilia nimebadilishiwa na meza phenobabitoni ila nazo zimegoma wakuu nafsi yangu imegoma kutulia kabisa.
  8. jjs2017

    Nina msongo mkali wa mawazo uliosababishwa na wanawake nimekata tamaa kabisa

    Kila nikijaribu kukataa wanawake siwezi. Napata msongo mkali sana wa mawazo wanawake wame nitibua hata ladha ya mapenzi siijui tena . Nahitaji matibabu ya kiakili,kifikra, dawa au sindano kama zipo ili nafsi yangu na moyo wangu utulie. Mimi nimejitahidi sana kunywa pombe kali, kushinda bar ila...
  9. jjs2017

    Ni kero gani hupendi mwanamke aifanye afikapo gheto

    katika hali isiyo ya kawaida , hawa wanawake sijui kichwani mwao wanawaza nini wanapofika maghetoni Yani mimi kweli kabisa sipendi haya mapicha picha yao 1: Kuanza kujibebisha, kusimama mlangoni na kujikalisha kweye makochi hovyo hovyo badala ya kukaa kwa kitanda. 2: sitaki mwanamke aje gheto...
  10. jjs2017

    Mmejifunza nini kwenye mahusiano na hao wanawake zenu kupitia kisa cha samsoni na delila demu wake

    Habari. Kupitia kisa cha samasoni na delila je nyie mmejifunza nini kuhusu hawa wanawake muwapo nao kwenye mahusiano.? Mimi naona 1: KATAA NDOA , NDOA NI JEHANAMU YA MOTO KWA MWANAUME 2: MWANAMKE NI KIFO KWA MWANAUME 3: MWANAMKE SIYO MTU WA KUMUAMINI NA KUMWELEZA MAMBO YAKO 4: ISHI NA...
  11. jjs2017

    Nina mashaka sana, mwanamke wangu nahisi kabisa ni dada poa

    Wakuu kumekucha, Katika haya mahusiano yangu naona kabisa huyu mwanamke atakuwa ni dada poa wakuu , napata mashaka nae sana , tena nahisi kabisa ni dada poa wa weekend ni vile bado sijamfumania kwa macho waziwazi ila kila nikiunganisha dot naona kabisa huyu ni dadapoa. Nahisi hivi maana kila...
  12. jjs2017

    Napenda sana wanawake hii dunia wanawake wasinge kuwepo ningeteseka sana

    Habari. Napenda sana wanawake , yani na wapenda sana wanawake kwa kweli, siwezi kuishi bila wanawake kwenye hii dunia hata niwe na utajiri kiasi gani kweli si wezi kuishi bila mwanamke hakika Ukweli ni kwamba mimi napenda sana jinsia ya kike , naipenda tuu zaidi ya kingine na ndivyo nilivyo...
  13. jjs2017

    Ndugu zangu natafuta mke mwema naombeni maombi yenu

    Ndugu zangu mimi ni kijana miaka 32+, sina mtoto,mkristo na mpambanaji. Natafuta mwanamke wa kuoa *Asiwe na mtoto au kutoa mimba au kutumia dawa za uzazi wa mpango *Awe mke mwema kwangu *Mama bora kwa watoto Mungu atakao tujalia *Awe na umri wa miaka 18-25 *Awe mvumilivu maana maisha ni...
  14. jjs2017

    Nyie mnapata wapi wanawake wa kuwaoa na utajuaje sasa huyu ni wa kumuoa?

    Kama kichwa cha habari kinavyo sema, Hapa nilipo nina wapenzi wengi sana na hata sioni mke kabisa, yani kila mpenzi wangu ninaye muangalia naona hafai kua mke, nashindwa kuelewa nyie mnapata wapi hao wanawake mnao waoa , napia ukiwa na mwanamke utajuaje huyu sasa ni wa kumuoa na awe mke wako...
  15. jjs2017

    Nimepata mpenzi mpya, Ex wangu kwa heri

    Ndugu wana jf, baby wangu mpya ananipa changamoto sana ila anafanya na tumia akili kubwa sana, Sihitaji hasira wala kuchukia chukia japo wakati mwingine akiwa anakonyeza konyeza najikuta moyo unawaka kama umewekewa pasi. Ndugu sasa maomivu ya mapenzi bye bye... Napendwa na ninapendeka...
  16. jjs2017

    Najuta kumkopesha huyu mwanamke, kweli anataka kunitapeli hela yangu

    Huyu mwanamke alikua na shida sana na hakukua na mtu wa kumsaidia kiwango cha hela alichokua anaomba, alijaribu kukopa kwa kila mtu ila hakuna aliye mpa na mwishowe nikaona acha ni mkopeshe maana kidogo uwezo ulikuwepo, nilimkopesha takribani shilingi laki tano taslimu (500k) na yote haya ni...
  17. jjs2017

    Uume wangu umekuwa wa baridi baada ya kutaka kumkimbia mpenzi wangu wa 16

    Ndugu zangu kwa masikitiko sana.. Nasikitika kuwaambia nilipanga kumtelekeza huyu mwanamke ila ghafla sana uume wangu nahisi umekuwa wa baridi na nyoro nyoro, ndugu hisia zimepotea hakika niwapo na mwanamke mwingine tofauti na yeye misuli haikamati kabisa. Wakuu network hazikamati, baridi kali...
  18. jjs2017

    Nimemchoka huyu mwanamke nataka ni mbwage kistaarabu kuepuka karma ila haelewi kabisa

    Habari zenu wana Jf. Katika maisha na mazingira ya kumfukuzia huyu binti alinisumbua sana wakati na mtongoza kiasi cha kujikatia tamaa sana na kumpuuza mno. Nakumbuka nilimfukuzia yapata miezi mitano mfululizo huku nikimsihi, kumbembeleza na hata kutafuta basi huruma zake japo kidogo bila...
  19. jjs2017

    Wanawake waliofungasha akili zao hazina akili kwanini

    Ndugu wana Jf sipo hapa kukashifu wanawake wenye mashepu yao na walio jaliwa vichuguu ila nipo hapa kujua ni kwanini wanawake waliofungasha akili zao hazina akili. Naya sema haya baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kirafiki na wanawake wa aina hii, wakuu wanawake wa hivi kabisa ukiwa nao...
  20. jjs2017

    Mnawezaje kuwa na mahusiano na wanawake wasioomba hela kabisa

    Salaam sana ndugu zangu. Najua mahusiano ya sasa hela imewekwa mbele na hawa dada zetu kausha damu kama siyo roho ya mtu basi hela ipo mbele kwa mbele nasiyo vinginevyo. Kwa mantiki hii ndugu zangu wana Jf mimi nakuja kwenu naombeni ushauri yapata na wanawake kadha wa kadha naombwa hela kubwa...
Back
Top Bottom