Search results

  1. M

    Msaa wa haraka hapa wakuu wangu!

    Nashindwa kuona list ya databases nilizotengeneza kwenye (ubuntu 12.0.1). lakini nikifungua kwa phpmyadmin naziona hizo databases zangu apokuwa nalog in kama root. I am getting the following error ERROR 1044 (42000): Access denied for users ''@'localhost' to database 'cim' Any help...
  2. M

    Mwakilishi BBA Nando amekuwa Disgualified!

    Yule mwakilishi wa Tz Nando ametolewa kwa kosa la kutaka kumchoma kisu mshiriki toka Ghana! hii ilitokea juzi baada yakutofautiana! Dogo alisema mtu kama huyu hasitahili kuishi! na kuamua kuenda kulala na mkasi! mpaka alipotakiwa kuotoa huo mkasi na biggie!
  3. M

    Ujumbe kwa wana MMU wote!

    Mungu akikuacha katika Hali fulani, Basi mshukuru Wala Usilalamike!Kwani Yeye ndie Akujuae zaidi. Pia Usidhani kama Maisha Yamekamilika kwa mtu Yeyote; kuna Mwenye Nyumba hana Gari, kuna Mwenye Gari Hana Watoto, kuna mwenye watoto hana pesa, kuna Mwenye pesa Hana Afya, kuna Mwenye Afya Hana...
  4. M

    Msaada hii modem inasumbua!

    niko na modem ya vodafone hapa wakuu kila nikiunganisha inakubalikuunga ile inadai no internet access! nimejaribu kutrableshoot naamimbiwa "windows cannot access the resourse" nimekwama mwenye kujua anisadie wakuu!
  5. M

    Msaada hii hesabu!

    3 2 wakuu msaada tafadhali jaza jedwali hili kila column jumla iwe 9,na kila row jumla iwe 9,usirudie namba! pia diagonally jumla iwe 9.
  6. M

    Dr slaa 2015 utaapishiwa wapi?

    WAKUU! DR W.P.SLAA. sherehe za ushindi wako tutafanyia wapi? make kwahali niliyoiona leo pale LEGANGA! wakati wa sherehe za ushindi wa JOSHUA NASSARI! watu walikuwa wengi sana pamoja na ile mvua! sasa wewe RAISI tutafanyia wapi? UWANJA WA TAIFA HAUTOSHI! come 2015!
  7. M

    Msaada shule ya kidato cha tano na sita!

    Heshima mbele wanabodi! naomba kwayetote anaeweza kunisaidia/kunijulisha kupata shule ya kidato chatano kwa ajili ya mchepuo wa sayansi ninadogo anataka shule ya private! ana three ya 23, anataka PCM au PCB! PCM ana C ,B,D na PCB ana C,B,C. NOTE shule iwe ARUSHA au KILIMANJARO! nawasilisha!
  8. M

    Window media player haionekani!

    nimejaribu kuitafuta window media player kwenye machine haipatikani!sasa kama imefutwa,ntaipataje wakuu!
  9. M

    Software crack imegoma!

    :alien:wakuu wa hili jukwaa ,heshima yenu! nimekadownload haka kasoftware ile kanamaliza kakaliwa na antivirus,natumia ms security esseciantials. so hii inamaanisha kana matatizo au nini? msaada wakuu!:alien:
  10. M

    Wakuu msaa keys za sony vegas movie studio platinum 10.0

    Samahani wakuu naweza kupata mtu mwenye key/serial number za hii kitu nimeidownload kama trial ila inaniomber serial number nimejaribu kuzigoogle nimeambiwa nizinunue! ntashukuru kama mtanipa msaada hata ushauri wa kunielimisha utanifaa! asanteni!
  11. M

    Wakuu msaada windows orginal!

    Wakuu samahani naombeni msaada waharaka computer yangu naambiwa window nayotumia siyo orginal! sasa nifanyeje? ninayotumia sasa ni windows 7 proffessional! ila wakati nanunua machine CD yake ilikuwa windows7 starter! napenda windows7 proffessional wapi naweza pata orginal?
Back
Top Bottom