Search results

  1. Kyoombe

    Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Maulid Dilunga - Mexico Hassan Goebos - wa Morocco
  2. Kyoombe

    Kuuliza si Ujinga, hivi familia ya Kinana ipo Tanzania?

    Mwingine alikuwa baharia kwenye meli za kampuni ya SINOTASHIP baadaye aliajiriwa TPA kama Marine Pilot kuingiza na kutoa meli bandarini
  3. Kyoombe

    Nyumba ya baba mkwe kuuzwa kisa deni la mahari

    Jukwaa la michezo na mahari !
  4. Kyoombe

    Tetesi: Dkt. Slaa na wenzake huenda watazuiliwa makwao ili wasifanye mkutano

    Wameshalipa kishika uchumba. Watadai mwali.
  5. Kyoombe

    Updates: Uzinduzi wa Kishujaa wa jezi ya Mnyama Simba Sc

    Mimi nilipanda nikiwa na umri wa miaka 15 wakati nikiwa shuleni. Huko ndipo nilipozaliwa.
  6. Kyoombe

    Updates: Uzinduzi wa Kishujaa wa jezi ya Mnyama Simba Sc

    Kupanda mlima Kilimanjaro siyo jambo la ajabu au la kishujaa. Hata walemavu wanapanda na kushuka
  7. Kyoombe

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua Mkurugenzi wa Wilaya ya Rorya

    Huyo kiongozi wa mbio za mwenge anakagua nyaraka kwani yeye ni CAG?. Yote hayo ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Akimaliza kukimbiza mwenge atasubiri uteuzi
  8. Kyoombe

    Uislam unaogopa Ukristo?

    Vatican kuna msikiti. Lakini Mecca huwezi kuruhusiwa kujenga kanisa au kuvaa Msalaba wa Yesu
  9. Kyoombe

    CCM ijifunze kutoka Urusi

    Huko kwa Putin tayari Wargner wameasi.
  10. Kyoombe

    January Makamba awavaa wanaosema Mwenge wa Uhuru umepitwa na wakati

    Huo ni mtazamo wake. Kwa wengine ni kichocheo cha magonjwa ya zinaa.
  11. Kyoombe

    Maswali na majibu ya nabii Elisha Mulili yanaweza kuleta maafa, Serikali imeshindwa kuwapa miongozo

    Wajinga ndio waliwao! Mtu ukiwa na matatizo Fanya toba, funga siku 9 umuombe MUNGU msaada utafanikiwa. Achaneni na matapeli.
  12. Kyoombe

    Kumbukumbu Ajali MV Bukoba Serikali imejifunza Umuhimu wa Ubora Vyombo vya Kusafiria? Inawajibika vya kutosha kupunguza ajali nchini?

    Tumuombe MUNGU ailinde Bukoba. 1. Ajali ya meli kuzama 2. Tetemeko la ardhi. 3. Ajali ya kuanguka ndege. Maombi ni muhimu. Mwenyezi MUNGU tunakuomba uepushe ajali mbaya mkoani Kagera. Amina
  13. Kyoombe

    TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Rest in Eternal peace Malecela
  14. Kyoombe

    Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Mama lishe pale Buguruni Malapa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kyoombe

    CCM yaihenyesha CHADEMA Mitaani

    Wewe ni mwana upinde. Mwanamme halisi hawezi kuandika uliyopost. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Kyoombe

    Utambilisho

    Karibu.
Back
Top Bottom