Search results

  1. mkiluvya

    Mkurugenzi wa LATRA anapata wapi nguvu ya kupingana na Rais? Serikali inakataza kufunga biashara, yeye anafungia mabasi 35 yasitoe huduma

    Kutoa ajira kwa watanzania kusipelekee uvunjifu wa Sheria nafikiri atimize Takwa la mamlaka… akili za asubuhi nikisubiri mwendokasi kimara bucha [emoji38][emoji38]
  2. mkiluvya

    Huyu ndiye Dkt. Tulia Ackson Mwansasu, Rais ajaye wa IPU na miujiza aliyotendewa na Mungu wake

    Mwashambwa Igawilo au Simambwe ….andiko zuri kuna watu watapinga kama kawaida yako[emoji23][emoji23][emoji23]
  3. mkiluvya

    Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Unaweza kuta KOLO moja limefanya ujinga huo …… Alisisika mlevi mmoja akiropoka mitaa ya keko magurumbasi
  4. mkiluvya

    Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Kosa lilianza pale walipolikataa jina la kwa Mchina[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. mkiluvya

    Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Mliwakataa wazee wa 27,500/= mkaja na mapendekezo kibao tuendelee kuvuta kasia tunakaribia ng’ambo[emoji23][emoji23][emoji23] Nasaa za Mwajuma Mcheka Hovyo
  6. mkiluvya

    Maeneo mengi ujenzi wa SGR umesimama

    Unaweza kutupa mifano japo ya picha kuona hali halisi ilivyo! maana sisi huku kwetu mbwinde tunaona Yapi Merkezi waliendelea na shughuli za hapa na pale
  7. mkiluvya

    Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

    Mzigo wa bi mdashi huo tuondoleeni nongwa zenu. Alisikika mlevi mmoja akikatiza mitaa ya Tandale kwa Mtogole[emoji23][emoji23][emoji23]
  8. mkiluvya

    Basilla Mwanukuzi: Wakweli hawatakiwi nchini. Uongozi wangu ni kuweka maslahi ya wananchi mbele hata ikibidi kukosa cheo

    Huu ni Mwansile wa dada Basila au kaandikiwa na swahiba wake Siriel MCHEMBE nimekaa paleeee[emoji1314][emoji1314][emoji1314]
  9. mkiluvya

    Tuwaombee Wakenya mimi nimeshaombea

    Usituchafulie miji yetu sisi tunasubiri tu ahadi yako ya kutembea uchi siku tatu mfululizo
  10. mkiluvya

    TUCTA yapendekeza wenye mishahara mikubwa waongezwe 15% na wale wa Kima Cha Chini waongezwe 23.3%. Yawasilisha Mapendekezo kwa maandishi

    Mitaji changamoto Mkuu …..Shukuru ww umekuta biashara ya baba unaendeleza ….
  11. mkiluvya

    Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

    Nusu Muislamu nusu Mkristo atatufaa huyu Alisikika mlevi mmoja akiropoka AKIWA pande za Asante Bibi Club Kimara Bonyokwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji481]
  12. mkiluvya

    Tabora: Profesa Lipumba anahutubia kwenye Ziara ya Rais Samia kama nani?

    Kama mzawa wa Mbokamanyema na Mwinyikiti wa CUF
  13. mkiluvya

    Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    [emoji23][emoji23][emoji23]alafu panya road na watoto wa ibilisi ni kurwa na doto
  14. mkiluvya

    TANZIA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamukama afariki dunia

    Atakuwa ametumia jina la mumewe lakini yeye ni Mhaya wa Kagera Katerero
  15. mkiluvya

    CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

    Tunakwenda kuwa Mkoa wa Chaatooo weka akiba ya maneno yatakusaidia mbeleni
Back
Top Bottom