Search results

  1. Spectophotometer

    Naomba kujuzwa biashara zinazokatiwa leseni Halmashauri

    Wakuu Habari za muda huu. Naomba kujuzwa je biashara mfano wa fundi pikipiki(wale wa mtaani),mamalishe,fundi kuchomolea na wengineo wanatakiwa kuwa na leseni? Na ni kiasi gani? Vipi kama mtu ana kitambilisho cha mjasiriamali? Biashara iko Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Dar Es Salaam...
  2. Spectophotometer

    Natafuta eneo la kufungua gereji ya magari

    Habari za jioni wanabodi. Natafuta eneo la kukodi kwa ajili ya biashara ya gereji jijini Dar Es Salaam. Maeneo pendekezwa Buguruni Tabata Kinyerezi Natanguliza Shukran zangu za dhati kwenu wanajukwaa.
  3. Spectophotometer

    Mtoto wa kiume akishaoa sio wako tena

    Wakuu niko hospitali kwenye foleni. Mara namsikia Mzee mmoja akimwambia Nesi maneno kuwa "Mtoto wa kiume akishaoa sio wako tena". Tunafeli wapi wanaume wenzangu na hawa wazee wetu??
  4. Spectophotometer

    Kununua guta (Toyo au Wanhoo)

    Wakuu habari ya leo. Nina wazo la kununua guta la pikipiki kati ya Wanhoo au Toyo. Nafikiria kumpa mkataba kijana kwa hesabu ya 20,000/= kwa siku kwa muda wa miezi 24. Eneo la kazi ni Tanga Mjini. Wadau wenye idea na biashara hii naomba muongozo wenu. Natanguliza shukrani.
  5. Spectophotometer

    Tende zinauzwa kwa bei nafuu

    Tende zinapatikana.Box moja 10kg. Bei 56,000/= Tunapatikana Dar es Salaam Tunafanya delivery/Tunafikisha mzigo Mawasiliano: 0767941735 Karibuni Sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Spectophotometer

    INAUZWA Viatu vizuri sana

    Jipatie viatu vizuri mno kwa bei nzuri Sebago 48,000/= Slippers 18,000/= Tunafanya delivery. Tuko Dar es Salaam Mawasiliano 0656838727 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Spectophotometer

    Nauza Unga wa Alkasusu

    Karibu ujipatie unga wa ALKASUSU Kwa bei ya 8000 Kwa pakiti ya gramu 250. Napatikana Dar es Salaam Mawasiliano 0767941735
Back
Top Bottom