Search results

  1. pitbull

    Nichukue ipi kati ya IST na Corolla Runn X?

    Habari za jioni wadau, Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi? Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote.
  2. pitbull

    Naomba kujuzwa bei ya Bamper ya Premio x 2003

    Naomba kujua bei ya bamper ya mbele ya gari tajwa hapo juu.
  3. pitbull

    Wapi nitapata tray ya kuweka line ya iphone 11

    Msaada tafadhali, natafuta tray ya kuwekea line ya iphone 11 nimepoteza ya kwangu
  4. pitbull

    Msaada juu ya digital sim

    Habari za saa hizi, Wadau ninaomba msaada kwenu kwa wenye uzoefu juu ya hii kitu inayoitwa digital sim nimenunua simu Iphone 11 dual sim baada ya simu kunifikia nikagundua kwenye tray ya kuweka simu hamna sehem ya kuweka line ya pili lakini ina emai mbili na kwenye settings inaonesha kuna sehem...
  5. pitbull

    Benki za TPB na TIB zaungana rasmi

    Sasa ni rasmi serikali imeziunganisha benki ya TIB investment na TPB Bank zamani Benki ya Posta na sasa ni benki moja. Nadhani serikali ya Rais Magufuli sasa hivi inataka kuwa na benki moja tu ya serikali hopefully itakuwa mkombozi kwa wananchi especially kwenye suala zima la mikopo sababu benki...
  6. pitbull

    Jinsi ya kusafirisha mbwa

    Habari za jioni wadau ninataka kusafiri kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam na mbwa wangu nilikua naomba kwa wanaofahamu namna gani naweza kusafiri na mbwa wangu kwa kutumia usafiri wa public Ka mwenye uzoefu msaada tafadhali
  7. pitbull

    Moshi

    http://www.mwananchi.co.tz/habari/Moshi-Mjini--ipo-tulivu-kisiasa/1597578-3818040-s5u6rf/index.html
  8. pitbull

    natafuta laini za mpesa na tigo pesa

    natafuta line za tigo pesa na mpesa anayeuza please ni PM
  9. pitbull

    Mitsubishi lancer evo

    mwenye uzoefu na izi gari naomba ushauri kuhusu perfomance fuel consumption na pia uwezekano wake wa kulimaitain nimetokea kuzikubali sana
  10. pitbull

    Sijamtongoza kanipa penzi, hali hii tutapata wanawake wa kuoa kweli?

    Habari za muda huu wadau, Nilikuwa nataka kushare na nyie jambo flani lilinikuta this week ili tujadili kidogo. Kuna mschana flani nilikuwa nampenda long time lakini sijawahi kumwambia ila tulikua tumezoeana kimtindo sasa juzi kati nimerudi kitaa nimemkuta na yeye ndio amemaliza form 6 yupo...
  11. pitbull

    Msaada kuhusu Post graduate diploma in education Open University

    Kwa wenye uzoefu nilikua naomba kujua gharama za kusoma postgraduate diploma ya education Open University na ningependa kujua inachukua muda gani.??
  12. pitbull

    Naomba msaada kwenye azam TV

    niko mkoa wa kilimanjaro marangu naomba msaada wa kufunga kingamuzi cha azam nataka nifanye mwenyewe bila fundi
  13. pitbull

    Nani alikuwa msanii wa kwanza wa Bongo fleva?

    Naomba kujunzwa tafadhali, msanii ambaye alikua wa kwanza kuimba mziki wa Bongo fleva.
  14. pitbull

    dstv premium package

    nilikua naomba kujua bei ya kifurushi kwa sasa ivi imefika shilingi ngap coz nlikua nataka nkalipie kwenye banda umiza langu MSAADA PLS
  15. pitbull

    Mimi nawatamani Wanafunzi, Nifanyeje ili niache?

    Wanajamvi, Mi naombeni tujadili hili ni tatizo au ni kitu gani manake kwa siku za karibuni nimetokea kuwatamani wanafunzi wa kike sana kiasi kwamba nikiona mwanafunzi ndani ya uniform nachanganyikiwa sana hasa wanafunzi wa sekondari.
  16. pitbull

    dell inspirion 5421

    kuna mtu ananiuzia dell inspirion 5421 touch screen kwa laki mbili na themanini ni used lakini sio sana je nichukie au manake na wasi wasi labda itanisumbua
  17. pitbull

    msaada juu ya nokia 206

    nimeupdate whatsApp Kwenye nokia 206 baada ya hapo application zote hazifunguki ikiwepo calckuleta etc naombeni msaada wadau cc CHIEF MKWAWA
  18. pitbull

    Gharama za kununua muda kwenye televisheni ni bei gani?

    Wakuu, Nilikua napenda kuuliza kuhusu gharama za kununua vipindi vya televisheni. Kwa mfano hawa wagombea wa CCM wanaotangaza nia wanalipa bei gani vipindi vyao kurushwa?
  19. pitbull

    Sijawahi kuwa na msichana mzuri nina tatizo gani?

    Katika maisha yangu sijawahi kupata msichana mzuri yani wasichana wote ninaowapata wabaya alafu wote wanakua wamenizidi umri. Inanidisapoint sana coz wasichana wazuri wote wanaishia kuwa friends tu. Nilikua naomba msaada katika hili
  20. pitbull

    Mwenye CV ya Mrisho Mpoto

    naomba mwenye kujua cv ya huyu jamaa au kiwango chake cha elimu maana chuoni kwetu kesho kuna philosophical forum na yeye ndio mzungumzaji mkuu so nlitaka kujua uwezo wake intellectually.!
Back
Top Bottom