Search results

  1. Mr pianoman

    Nilikutana na askari Magereza wamebeba wafungwa wenye sare (nguo) za rangi ya bluu ndio wafungwa gani hawa?

    Nacho fahamu mimi wafungwa huvaa nguo za rangi ya orange au karoti. Lakini siku moja nipo sehemu nikaona askari Magereza wakiwa wamebeba wafungwa wenye sare za rangi ya bluu. Vipi zile za rangi ya karoti zimebadilishwa?
  2. Mr pianoman

    Adhabu ya viboko hutekelezwa wapi kati ya Mahakamani na Gerezani?

    Naomba kufahamu kuhusu hii adhabu na mahali inapotekelezwa mtu anapohukumiwa? Pia ni makosa yapi ambayo mtu akiyafanya hupelekea kupewa hii adhabu? Nani anatumika kuchapa viboko hivyo na hutumia kiboko gani; cha mti au ile ngozi? Nahitaji pia kufahamu na mengine mengi unayoyafahamu kuhusu...
  3. Mr pianoman

    Wanaume tu ndio tunaelewa

    [emoji41]
  4. Mr pianoman

    Pendekezo: Askari wa Jeshi la Magereza na Zimamoto wabadilishiwe SARE (UNIFORM)

    Wakuu hili ni pendekezo kama itawapendeza majeshi haya mawili ya Magereza na Zimamoto yabadilishiwe Uniform kutokana na sababu zifuatazo. Jeshi la Magereza. Hili jeshi mpaka saivi haieleweki rangi halisi ya SARE yao ni ipi kwa sababu wakisimama kikundi cha askari utaona kila askari anarangi...
  5. Mr pianoman

    Tunahifadhi hii taarifa ya Tanesco mpaka mwakani tarehe kama hizi

    Hii taarifa tanesco wameitoa leo. Ila mimi na ihifadhi humu ndani mpaka mwakani tarehe kama hizi. Asanteni sana [emoji120]
  6. Mr pianoman

    Walinzi wa Rais hapa walifeli pakubwa sana

    Najiuliza waliwaamini vipi hao Raia tena wakigeni kupiga picha na Rais kama hivi? Kwamba waliona yule Kanali angesimama hapo nyuma ya Mama kama ilivyo kawaida yake waliona atachafua hizo picha au?
  7. Mr pianoman

    Tangu nitumie hizi dawa VIGOMAX uume wangu hausimami asubuhi kama ilivyo kawaida kwa wanaume

    Madaktari na wataalamu wa afya naombeni msaada wenu tafadhali kabla sijatumia hizo dawa hapo nilikuwa vizuri tu nikiamka asubuhi nakuta mwamba kasimama dede. Lakini tangu nitumie hizo dawa japo sikuzimaliza zote nilibakiza kama tano hivi baada ya kuona hiyo hali uume ulikuwa hausimami na mpaka...
  8. Mr pianoman

    DOKEZO Vibaka na mateja wanatapeli watu karibu kabisa na kituo kikuu cha Polisi Central Arusha hii ni aibu sana

    Wakuu naongea kwa ushahidi kabisa kilipo kituo kikuu cha Polisi Arusha kuna kamsitu pembeni na ndani ya hako kamsitu kuna njia za waenda kwa miguu wanapita basi imegeuka fursa kwa vibaka na mateja kuwatapeli waenda kwa miguu wakijifanya ni polisi. Hao vibaka na mateja wanatapeli watu kwa njia...
  9. Mr pianoman

    Undercover polisi ndio suluhisho la panya rodi na vikundi vya kihalifu kwenye miji

    Huu ndio ushauri wangu kwa serikali na vyombo vya usalama kutumia aina hii ya polisi au ajenti mwenye uwezo wa kujichanganya kwa raia ndani kabisa bila kujulikana kwa lengo la kutambua vikundi viovu. Aina hii ya utendaji kazi inafaida ya kumtambua mhalifu pasipo shaka yoyote kuliko kuwasomba...
  10. Mr pianoman

    Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

    Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida. Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu. Wanaume hawa...
  11. Mr pianoman

    Hapa ni possible au impossible?

    Kwangu mimi ni possible 100%
  12. Mr pianoman

    Hili basi tangu asubuhi halijapata wasafiri.

    Since morning still empty [emoji24][emoji24][emoji24]
  13. Mr pianoman

    Hili basi tangu asubuhi halijapata wasafiri.

    Since morning still empty [emoji24][emoji24][emoji24]
  14. Mr pianoman

    Picha ikionyesha askari Magereza Tanzania wakiwa na sare (unifom) za rangi tofauti tofauti

    Ni ipi rangi halisi ya sare ya Jeshi la Magereza Tanzania kati ya hizi zinazo onekana kwenye hii picha? Mheshimiwa Rais na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia chonde chonde hili jeshi naomba ulibadilishie sare. Kamishina mzee ongea na Mama askari wa jeshi...
  15. Mr pianoman

    Wanawake Mungu anawaona...

    Wanawake kwanini mnajiumiza na kujitesa hivi? Hii yote ili mgundue nini kwa mfano? Wanawake mtafika mbinguni mmechoka sana.
  16. Mr pianoman

    Watanzania msikariri, si kila anayetokea mkoa wa Mara ni Mkurya

    Mkoa wa Mara ndio mkoa unao ongoza kuwa na makabila mengi hapa Tanzania kwani unakadiriwa kuwa na makabila zaidi ya kumi na sita (16). Kabila la wakurya ni dogo sana linalo patikana wilaya za Tarime na Serengeti na ni watu wapole na wastaarabu sana wenye mapenzi ya dhati wavumilivu na wakarimu...
  17. Mr pianoman

    Ajira mpya 1241 kutoka Jeshi la Magereza Tanzania

    Tangazo halina mbwembwe sana ni kwa yeyote yule mwenye elimu ya kidato cha nne na umri usiozidi miaka 33.
  18. Mr pianoman

    Sheria inasemaje kwa mtu aliyeamua kujitoa uhai wake na kuacha ujumbe kisa cha yeye kuamua kujitoa uhai wake ni fulani?

    Mara nyingi huwa tunasikia watu kuamua kujiua kwa njia mbalimbali kama kujinyonga n.k. Baadhi yao wakiacha ujumbe walio uandika kabla ya kuchukua hatua hiyo ya kujitoa uhai na ndani ya ujumbe au barua hii amemtaja fulani kuwa ndio chanzo cha yeye kuamua kujiua. Tuchukulie mfano wale wazee wa...
  19. Mr pianoman

    World's first things

    World first things......
Back
Top Bottom