Search results

  1. Mr pianoman

    TAKUKURU yakamilisha uchunguzi wa DED aliyedaiwa kwenda China kwa fedha za Halmashauri

    Picha yake tafadhali maana nasikia ni pisi kali 😋
  2. Mr pianoman

    Hali aliyokuwa nayo Bob Risky baada ya kuhukumiwa

    Ndio sheria ya jela hiyo lazima uvuliwe nguo zote tulio kaa jela hatushangai hilo ni kawaida na wala halinaga mjadala.
  3. Mr pianoman

    CAG: Askari Magereza Walipwe Posho ya Mazingira Magumu

    Askari Magereza wanadai kuna wengine wanalipwa hiyo hela ya mazingira magumu na wengine hawalipwi. Hii ikiwa na maana hilo fungu kuna wachache wanakula huko juu
  4. Mr pianoman

    Ukosefu wa hedhi tangu kipindi cha balehe

    Ameshawahi kuishi Arusha huyo mwanamke?
  5. Mr pianoman

    Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Atakuwa amesikia paaaaaaah! Kweli 🤔 ngoja tuone
  6. Mr pianoman

    Ndoo zimeng’ang’aniana, nazitenguaje?

    Bila shaka wewe ni [emoji117][emoji304]
  7. Mr pianoman

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Kuna mtu alikuwa ni mfungwa akatumikia kifungo jela kikaisha eti na yeye leo ni Askari kwenye moja ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama tena hivi vikubwa vikubwa . Aibu hii [emoji706]
  8. Mr pianoman

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Hivi mtu ambaye alishawahi kuwa MFUNGWA gerezani anaruhusiwa kuwa Askari kwenye hivi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama tena kwenye haya majeshi makubwa makubwa..?
  9. Mr pianoman

    Nilikutana na askari Magereza wamebeba wafungwa wenye sare (nguo) za rangi ya bluu ndio wafungwa gani hawa?

    Nacho fahamu mimi wafungwa huvaa nguo za rangi ya orange au karoti. Lakini siku moja nipo sehemu nikaona askari Magereza wakiwa wamebeba wafungwa wenye sare za rangi ya bluu. Vipi zile za rangi ya karoti zimebadilishwa?
  10. Mr pianoman

    Lugha zifuatazo hazifundishwi darasani na mwanadamu yeyote

    Umesahau LUGHA GONGANA mkuu Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  11. Mr pianoman

    Adhabu ya viboko hutekelezwa wapi kati ya Mahakamani na Gerezani?

    Naomba kufahamu kuhusu hii adhabu na mahali inapotekelezwa mtu anapohukumiwa? Pia ni makosa yapi ambayo mtu akiyafanya hupelekea kupewa hii adhabu? Nani anatumika kuchapa viboko hivyo na hutumia kiboko gani; cha mti au ile ngozi? Nahitaji pia kufahamu na mengine mengi unayoyafahamu kuhusu...
  12. Mr pianoman

    Ukatili dhidi ya watoto: Baba amchoma mikono mwanaye kisa kudokoa mboga aina ya dagaa

    Mwita ameyatimba. Wachonga vinyago original wanamsubiri wamshep hiyo tabia akitoka atakuwa amenyooka hivi....
Back
Top Bottom