Search results

  1. Endangered

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kama nimekupata vema itakuwa unazungumzia Mkiwa, ameimba dogo mmoja hivi akimshirikisha Ferouz. "Mkiwa mi najikongoja, dunia naiona chungu naona bora niwafate wazazi tuwe pamoja..." hiyo ni sehemu ya chorus yake.
  2. Endangered

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ahsante sana mkuu. Yaani daah. Ahsante chief. Nimekaa hapa nikawaza mb nilizopakua, nikaona kwa kweli mmeshughulika kuzi-upload si kitoto. *** Baada ya hayo sasa nina changamoto kuna wimbo sikumbuki jina vema, nitajieleza. Ameimba dogo mmoja hivi kupitia Motika records, nadhani huyo dogo...
  3. Endangered

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Niseme tu huu uzi unaishi na umenifaa sana Ahsante Secret Star kuuanzisha. Imenibidi kuanza nao tangu mwanzo na hakika nimepata madini yanayonikumbusha enzi hizo... Idimi gwankaja KIOO na wengineo wote... Niseme tu nashukuru kwa mara nyingine. Mwenye nyimbo zifuatazo tafadhali; 1. Univesity...
  4. Endangered

    On going Eviction and Gross Human Rights Violations in Loliondo Tanzania.

    I. Introduction In 1958 the British colonial Government of Tanganyika forcefully evicted Maasai pastoralists to give room for the establishment of Serengeti National Park. The victims were resettled outside the park including in the Loliondo Division which was later granted a legal...
  5. Endangered

    Nbc acheni usanii huu

    Mimi si mtu wa benki, ila nadhani inategemea na upatikanaji wa noti, ila hilo haliathiri kwa vyovyote kiwango unachotoa, kama max ni 1.2 basi na utaitoa kama kawaida. Na buku tanotano haziwezi zikatoka kwa laki 4 in a go maana ni rundo kubwa. Uwe na amani mkuu, imeshanitokea Stanbic na nikapata...
  6. Endangered

    Nbc acheni usanii huu

    mkuu, zilitoka buku tano tano ama?
  7. Endangered

    Baba mkwe kanisakizia mzigo!!!

    I recommend this film from Czech. Men in Hope. kwa stori hii - lile tangazo la tuko wangapi linahusika saaaana. Anayeweza aitafute hiyo film, ni nzuri sana. Hasahasa Baba mkwe anapomsakizia mkwewe mabinti - huku akimuelezea raha ya cheating. Ni ajabu.
  8. Endangered

    Need for speed world..!!!

    Back in time, sijaona kama Most Wanted, toping the Blacklist. Yaani zingine nacheza tu kuona ni kipi kipya. Ila hazijanihamasisha kama NFSMW. Usicheze na Sergeant Cross.
  9. Endangered

    Need for speed world..!!!

    Old enough to contest for presidency.
  10. Endangered

    Kama hujui lilipo kaburi la babu wako wa 7 we si raia wa Tz-Uhamiaji!

    Kufukuzwa ni jambo moja, WAPI utaenda ndio mtihani wa graduation.
  11. Endangered

    Msaada: Godoro gani zuri?

    Pole sana St. Duh, yaani sijui nianzie wapi, naona sasa tanfoam wanaanza kuwa associated na kucha. lol
  12. Endangered

    Risasi zarindima TABATA UWANJA WA TWIGA Majambazi yaua Mfanyabiashara...!!!!!

    HIvi ni nini kinaendelea nchini kwa sasa? Mbona kila kona hali ya hatari tu.
  13. Endangered

    Wamaasai Wafukuzwa Mkoani Tanga, Maboma Yao Yachomwa Moto

    Wewe ungependa mtu mmoja awe ng'ombe wangapi mkuu? Jitihada za kuchoma maboma yao, jitihada za kutofuata sheria? hongereni. That is very nice of you to say it mkuu, huwa unamwambia nani ukihama, ama ukitaka kuhamia mkoa mwingine tarataibu kwa mujibu wa katiba zikoje, naomba unitoe gizani...
  14. Endangered

    Mke wa rafiki yangu aninipa wakat mgumu

    May someone say AMEN!
  15. Endangered

    Mke wa rafiki yangu aninipa wakat mgumu

    Ushauri mwingi unaokuja humu ndio unaoreflect maisha ya vijana wa kisasa. Ukiamua kufanya dhambi, basi fanya na uendelee isiwe kidogo tu kwake huyo, nenda kwa wengine wote ambao waume zao hawana uwezo na uzalishe wake zao. Kama una imani hata chembe kwa Mungu, basi hutathubutu kufanya kitu kama...
  16. Endangered

    picha iliyonifurahisha !

    Kwa kweli nimetoa kicheko cha hali ya juu. nimeipenda research yao.
  17. Endangered

    Angalia hii picha:tunaweza kujitoa kiasi hiki kwa wengine?

    Amen Lil Johnny, AMEN!
  18. Endangered

    my blue gurds

    Huu mtaa ni salama, lakini pia sio salama.
  19. Endangered

    Opportunist: WATAKULA WAPI?

    Yaani mdomo ulivyo mzito kuataja Obama road, labda ni mazoea lakini nitaendelea na Ocean Road mpaka mwisho wa.. Ocean Road ofcourse.
  20. Endangered

    Watakula tu!

Back
Top Bottom