Search results

  1. M

    Lowassa, unakumbuka kauli hii ya Kikwete?

    https://docs.google.com/forms/d/1KU1YrYGPYakjsILGaVvx0nevfoy7jqdUWJjjEQG3NIQ/viewform?usp=send_form Chagua jina la Mtia nia wa Urais kupitia chama cha mapinduzi unaehisi atapitishwa na chama hicho jumapili hii kwa kufuata link hiyo hapo juu Mtia nia
  2. M

    Kusamehe au kuacha bora kipi

    Najuta kutosamehe. I moved on, miez kadhaa imepita nimepata mtu ndiyo but bado naona kuna kosa nilifanya kwa kuto kumsamahe. Ukizingatia kuwa mimi nilichepukaga na akagundua na tukaendelea japo alikuwa na kinyongo bt hakukionesha waziwazi had alipokuja kulipiza. Sometimes ni bora tu kusamehe
  3. M

    Nini athari ya kamari na betting kiuchumi?

    Waendeshaji wanalipa kod kama biashara nyingine zozote. Na pia wana lesen yao ambayo nayo wanailipia . Hapo tu tayar wameongeza mapato kwa TRA
  4. M

    The 20 best airlines in the World

    Hyo list ina walakin
  5. M

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    John Ezekiel Hii inakuwaga na madhara bt kama atafanya kwa muda mrefu , inamfanya apoteze kumbukumbu. Ni had aache na aanze kujitibu tatzo la kumbukumbu la sivyo usahaulifu utakuwa ugonjwa wake Faida yake moja ni kuwa atakapokuwa anapiga mech ya ukweli ukweli atakuwa anachelewa sana kumaliza...
  6. M

    Davido atambua mchango wa Tanzania

    Yaani movie na kwanza ndo inaanza, Ongeza na nyingine ntalipia.lets sit and watch
  7. M

    Picha: Mapokezi ya Diamond Platinumz jijini Mwanza leo tarehe 22-Mei-2015

    Aisee kama jamaa wana hela ya kununua Umati huo wote nayo pia ni mafanikio fulan yanayohitaji kusifiwa Wasifie basi hata kwa hilo
  8. M

    Rose Muhando na wasanii wengine 10 wa injili waungana kumuimbia Mwigulu

    Nimekuwa nikisikia hiz habari za Mwigulu Nchemba kutajwa tajwa kuwa miongoni mwa wale wanaojitokeza kuwania urais wa JMT. Sikuwa nazitilia maanan sana japo kuna watu walileta data za kuprove kuwa jamaa ana had baraka zote za Ikulu na kwamba anaandaliwa special kwa kaz hiyo. Leo ndo nimeamin...
  9. M

    Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

    Nielewe vzuri Sipondi juhud za Diamond na mafanikio yake, ila nachoona hakipo sawa ni watu kushikilia suala la english ya Diamond kama success story Am sure hata yeye hatapenda kuona et anasifiwa kwa kuongea koongereza vizur, yaan level hiz ni za kusifiana english, tena kwa coment zaid ya...
  10. M

    Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

    Yaan wabongo kweli nyuma yaani like serious tunajadili mtu alivyoongea kiingereza as if kuongeq tu english ni rocket science
  11. M

    Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

    Hv hawa BBC hawajui kuwa Alikiba ndiyo King ?? Mbona wanapenda kuingilia affairs za nchi nyingine ?
  12. M

    What was on Osama Bin Laden's bookshelf?

    Haha haha Atleast nimeona vitabu kadhaa nilovyosoma Hee "Confession of EHM" New pearl habour
  13. M

    Google Map: Nigga House = White House

    Ushawah ku add chochote ktk google map? Nina nyumba kadhaa na mitaa kadhaa ya Hapa Tz nimeiname kupitia google map maker So najua kuwa inawezekana
  14. M

    Google Map: Nigga House = White House

    Wameomba msamaha na siyo wao google bali ni contributers mbalimbali wanao fanya hayo makitu kupitia google map maker So wamei diss able hyo app maker for a while Na siyo tu hivyo last week ilikuwa ishu ya picha ya kirobot cha android kikikojolea apple, ilionekana huko indonesia kwenye google...
  15. M

    Ufisadi wa zaidi ya Sh. bilioni 600, Watanzania tupo kimya tu?

    Waganda ndo mamburula kuliko wote Africa Mashariki, hauwezi ukakibali M7 atawale miaka yote hii as if hakuna watu wengine. Honestly me nikimwonaga mganda hata kama ni Dr au professa naonaga pumba tu
  16. M

    Ufisadi wa zaidi ya Sh. bilioni 600, Watanzania tupo kimya tu?

    Na ndo hapo napoungana na mtoa mada kuwa pengine watanzania au tuseme public servants wa Tanzania ni wapuuz kuliko wote qa East Africa Sababu hauwez sema et mna mgomo mmbaya zaid mgomo ambao haulet mabadiliko yeyote kwa matatizo yenu ila unazidi tu kuharibu sekta ya elimu na afya Wenzenu...
  17. M

    Matangazo ya biashara ya Tanzania ni aibu

    Kenyans wamekuwa in this system for nearly 50 years. Wakti Tz ime adapt element za u capitalism hv majuz tu, so its just the matter of maturity Our Private sector ,ambayo ndo major player kwenye hii systen bado anakuwa. Tutakuwa pale soon, Na am telling you the once sleeping giant ameshaamka...
  18. M

    Matangazo ya biashara ya Tanzania ni aibu

    Even this ,jamaa bado hatakiwi kusema ni makampuni ya Tanzania,coz kuna a good number of Tanzanian business ambazo zinajali wateja na zinajitangaza vyema. Invisible change kindly modify this thread hasa kichwa cha habari
  19. M

    Matangazo ya biashara ya Tanzania ni aibu

    Mmmh umepick the worse then ukagenerelize for the whole population. Unasahau kuna matangazo mengi ya makampuni mfano airtel,ni mazuri kinoma na yana designiwa na kufanywa na wabongo hapa hapa.
Back
Top Bottom