Search results

  1. S

    Makonda ona aibu, wenzako hawafoki wala kutishia watu

    Hili ni funzo kwa Makonda afuatilie mikutano ya Kinana na Nchimbi atagundua yeye alikuwa ni mwenezi 1: Mropokaji kila jambo anaropoka kwa maslahi yake 2- Mwenezi wa kujikweza na maagizo yasiyo na kichwa wala miguu anamwagiza waziri mkuu; mawaziri; wakuu mikoa ; wilaya ; wakurugenzi na MA RPC 3-...
  2. S

    Chongolo na makundi ya urais, Rais Samia hatopata Katibu Mkuu

    Kundi la Katibu mkuu aliyejiuzulu kwa Kashfa Daniel CHONGOLO na makundi ya wasaka URAIS 2025 na 2030 yanafanya minyukano ya kuhakisha Samia hapati. Katibu Mkuu mzuri kila kundi linapambana liweke mtu wake DANIEL CHONGOLO anapambana asipatikane Katibu mkuu atakayefukua kashfa zake za ufisadi...
  3. S

    Dr Bashiru,Prof Manya na wabunge wa kuteuliwa kupewa ubalozi kupisha uteuzi wa baraza mawaziri

    Mjadala wa wabunge Dodoma ni mkali na hakuna jinsi Rais atafanya haya 1, kuvunja Baraza la mawaziri au 2: kufanya mabadiliko ya baraza wizara ya FEDHA kutokana na majibu ya kiburi ya waziri wa fedha kwa wabunge, WIZARA UCHUKUZI kashfa ya SGR na RIBA wakandarasi Tanroad
  4. S

    NEC kujadili hali ya kisiasa na utendaji kazi wa sekretarieti ya Chama

    Taarifa za ndani NEC ina agenda muhimu moja ya hali kisiasa inayojumuisha uboreshaji bandari na kuvuliwa uanachama Balozi Ali Karume Hoja ya Balozi Karume imeibua makundi ndani ya ccm Agenda ya utendaji kazi wa sekretarieti ni ya mwenyekiti inaelezwa sekretarieti hii Katibu mkuu chongolo na...
  5. S

    Dkt. Mwigulu, kulipa watu na kupiga selfie kwenye mkutano uliokukosoa ni dharau kwa mamlaka za uteuzi

    Jana ilikuwa siku ngumu kwa waziri wa Fedha Mhe Dr mwigulu nchemba kila mfanyabiashara wa Maduka kariakoo au kutoka mikoa mbalimbali tuhuma zilielekezwa kwa Dr mwigulu. Waziri mkuu alisimama Masaa 6 na alipotaka kumuinua Mwigulu Sauti zilisikika Ajuzuluuuuu ; Hatumtaki Waziri mkuu akamuokoa...
  6. S

    Uhamisho Wakuu wa Mikoa ni Rais Samia anajipanga na kujiimarisha kisiasa

    Uhamisho wa Wakuu wa Mikoa naona ni mkakati wa Samia kujipanga na kujiimarisha kisiasa mifano miwili ni Chalamila kuja Dar es Salaam hii kwamba Dar es Salaam ya wafanyabiashara wakinga wengi; Chalamila msemaji mzuri ila Kagera wajuaji asingeendana nako. Amos Makalla kwenda Mwanza ni dhahiri...
  7. S

    Safu mpya ya CCM kupatikana leo; Chongolo, Bulembo, Shigela hapatoshi nafasi Ukatibu Mkuu CCM

    Leo kikao maalum cha NEC Kimeitishwa kuchagua wajumbe wa Kamati kuu na uteuzi wa sekretarieti: majina ya Chongolo; Shigela Bulembo yanatajwa nafasi ya ukatibu mkuu CCM.
  8. S

    Ndugai huna jinsi Jiuzulu

    Nimefuatilia matamko ya wenyeviti wa ccm; hotuba ya Rais Samia Jana na michango ya wana siasa na wachambuzi hakuna namna Job Ndugai jiuzulu uspika ubaki na ubunge Matamshi ya Job Ndugai hayana afya kwa chama chake na ni dharau kwa Rais watu
  9. S

    Nakupongza RC Makalla kwa tamko la wamachinga kuiziba njia na kufanya biashara holela kwenye hifadhi za barabara

    Nakupongeza RC wa DSM kwa ujasiri wa kuliona hili la wamachinga kuziba njia za wapita kwa miguu, kujenga vibanda kwenye mitaro na road reserve. Serikali mlikuwa wapi hawa wamachinga ni watu waliokuwa wamekosa mtu wa kuwaambia na wakajiona wako juu ya sheria Athari za wamachinga ni kubwa sana kwa...
  10. S

    Wajue Wapinzani waliopewa nafasi Awamu ya Tano

    Awamu ya Tano imeonekana ni Awamu ya Maridhiano na Kauli mbiu ya maendeleo hayana chama, Au nasema uongo jamaniiiiii.. Hii ni orodha ndefu ya Makamanda wa Upinzani waliopewa nafasi 1- Albert Msando - Mjumbe Kamati ya uhakiki mali CCM 2. Kitila Mkumbo- Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na sasa...
  11. S

    TAKUKURU yamshikilia mpambe wa Suleman SADIQ MURAD kwa tuhuma za kugawa Rushwa Mvomero

    TAKUKURU leo amemkamata diwani wa Viti Maalum Tarafa ya mgeta Yusta Chuma akigawa fedha kwa wajumbe ili wamchague Suleman Murad katika uchaguzi utakaofanyika kesho. Bi Yusta Chuma amekamatwa na Takukuru akiwa na wajumbe 25 ; fedha na daftari la mgao wa fedha kwa kata 7 za Tarafa ya mgeta Jana...
  12. S

    Uchaguzi 2020 CCM wajipanga kumng'oa Halima Mdee Jimbo la Kawe

    Hali ya kisiasa jimbo la Kawe kwa sasa ni kama CCM inajipanga kupata mgombea safi kuweza kumng'oa mbunge wa sasa Halima Mdee. Wanaotajwa upande wa CCM ni Kipi warioba, Angela Kiziga, Benjamini Sita na vigogo wengine wawili waliokuwa wabunge 3 wa majimbo ya mikoa ya bara na sasa wanapanga...
  13. S

    Ukivuliwa nguo chutama ccm malizeni kimyakimya haya mambo ya Nape Kinana

    Yaliyotokea kuanzia waraka wa wastaafu, Kuvuja kwa mazungumzo ya Nape na kinana Ngeleja ni aibu yanakibomoa Chama na serikali
  14. S

    Bravo January Makamba hili la mifuko umeweza

    Nimepita mitaani kila kona naona wananchi wengi wameitikia wito wa marufuku mifuko ya plastiki
Back
Top Bottom