Search results

  1. S

    Makonda ona aibu, wenzako hawafoki wala kutishia watu

    Hili ni funzo kwa Makonda afuatilie mikutano ya Kinana na Nchimbi atagundua yeye alikuwa ni mwenezi 1: Mropokaji kila jambo anaropoka kwa maslahi yake 2- Mwenezi wa kujikweza na maagizo yasiyo na kichwa wala miguu anamwagiza waziri mkuu; mawaziri; wakuu mikoa ; wilaya ; wakurugenzi na MA RPC 3-...
  2. S

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Wewe mfuate bwana wako anayekutuma yupo Arusha UENEZI ulimshinda akabadili UENEZI ikawa mahakama hawa akina nchimbi wamekuonyesha ukomavu masuala ya mahakamani hawaingilii UENEZI wa Makonda wa kutisha watu hawa akina nchimbi wanaunganisha watu UENEZI wa Makonda kukwapua hela kwa matajiri hawa...
  3. S

    Mungu ana makusudi na Makonda na kuna mahali anataka kumfikisha

    Wewe alikuhaidi cheo sasa mfuate arusha- mahali ambapo atafikishwa ni mahakamani mlla rushwa, zulumati
  4. S

    Makonda: Hakuna nilichojifunza, nitawanyoosha. Wasiopaka rangi nyumba zao katikati ya Mji TUTABOMOA

    Paulo Makonda juzi kasema hajajifunza jambo lolote- Swali hivi unatolewa Ukatibu UENEZI Taifa unapelekwa kuwa mkuu wa mkoa unasema hujajifunza lolote hii ni kauli mbaya kwa mamlaka ya Uteuzi. Wewe ulikuwa unaagiza waziri mkuu; mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wilaya, wakurugenzi, ma RPC unaenda...
  5. S

    Naomba kufahamu Wasifu wa Amos Makalla

    Nimeamka naona mkeka Amos Makalla atapangiwa kazi nyingine:Amewahi kuwa naibu Katibu mkuu uvccm; Katibu mkuu uvccm walipiga kazi na Dr Nchimbi Akateuliwa mweka hazina ccm akafanya kazi nzuri sana ccm ndiye aliyesimamia ununuzi magari yote ccm Akawa naibu waziri michezo baadaye maji Amepelekwa...
  6. S

    Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

    Kaka makala jembe ni mtu mstarabu, kazi maalum yule amepita majiji ya Mbeya dar na mwanza: mikoa katavi na Kilimanjaro huyu kakulia kwenye mfumo na anweza kurudishwa ccm kazi maalum
  7. S

    Amos Makalla anaweza kuchukua nafasi ya Makonda

    Makonda alizidiiii mdomo
  8. S

    Amos Makalla anaweza kuchukua nafasi ya Makonda

    Ccm inaenda kusukwa upyaaaa
  9. S

    Mwanza: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Wananchi mwanza wamesusia maandamano: Tunachokishuhudia ni magari toka TARIME SIMIYU SHINYANGA NA TABORA
  10. S

    Jeshi la Polisi laahidi kutoa ushirikiano Maandamano ya CHADEMA (MWANZA)

    Dsm mlienda umoja wa mataifa hizo sheria mbona zilipitishwa Mnahangaika bure
  11. S

    Jeshi la Polisi laahidi kutoa ushirikiano Maandamano ya CHADEMA (MWANZA)

    Maandamano upuuzi mtupu hamna hata hayana mvuto hapa dsm yalidorora
  12. S

    Mrisho Gambo ni Rais ajaye

    Huyu anaweza kuwa mbunge siyo URAIS Hafanani ht chembe
  13. S

    Kuelekea Maandamano ya CHADEMA, Januari 24, 2024

    Natoa ushauri kwa waandamanaji kabla hujaandamana omba vitu 3 1- BIMA YA AFYA Maaandamano yana athari kubwa ikiwemo kilema; kupoteza maisha jitahidini mpate Bima ya Afya 2: POSHO Chadema wamekusanya hela nyingi bajeti kila muandamanaji sh 850;000 3-Ahadi baada ya maandamano Je chadema...
  14. S

    Mzoefu wa Maandamano aelekeza Mambo 10 muhimu ya kuzingatia unapoandamana

    Hujasema mambo makubwa 3 1- Gari la kubebea wagonjwa; majeruhi na huduma ya kwanza halitakuwepo kwenye maandamano 2- posho za washiriki wa maandamano tunajua mmepokea hela nyingi kwa ajili ya kulipa posho - je mtakipia wapi posho kabla na baada ya maandamano 3- Bima ya afya kwa waandamanaji...
  15. S

    Jinsi Uteuzi wa Nchimbi ulivyofifishwa na Taarifa za Maandamano ya CHADEMA

    Uteuzi wa Dr Nchimbi ni pigo kwa wapinzani na ni ustawi wa ccm
  16. S

    Chongolo na makundi ya urais, Rais Samia hatopata Katibu Mkuu

    Kundi la Katibu mkuu aliyejiuzulu kwa Kashfa Daniel CHONGOLO na makundi ya wasaka URAIS 2025 na 2030 yanafanya minyukano ya kuhakisha Samia hapati. Katibu Mkuu mzuri kila kundi linapambana liweke mtu wake DANIEL CHONGOLO anapambana asipatikane Katibu mkuu atakayefukua kashfa zake za ufisadi...
  17. S

    Daniel Chongolo anaweza kurejeshwa kwenye ukatibu mkuu wa CCM

    Wewe unamchafua chongolo bila kujua: Au Yale mapicha ya uchi yalikufurahisha: story closed mwache apumzike mwenzako
  18. S

    Nani yupo nyuma ya kampeni ya kumchafua Chongolo?

    Aliye nyuma ya mchezo huu wa kwanza ni Wewe Kuendelea kuandika hapa ni kumchafua zaidi Ni mchafu hasafishiki
Back
Top Bottom