Search results

  1. gimmy's

    Msaada: Nimeomba 'Control Number' NACTE ya kulipia 10,000 badala ya 30,000. Sifahamu namna ya ku-cancel nianze upya

    Hayo ni mawazo yako, Inawezekana nikalipa na mfumo usiniruhusu kuanza upya,ninachohitaji ni maelekezo kwa anaefahamu, Watoto mnaokaa kwa shemeji zenu huwa mnadharau sana. Hata hivyo pesa haipaswi kudharauliwa. Yoyo kwa yote nashukuru kwa mchango wako pia kwani umeifanya thread kuwepo
  2. gimmy's

    Msaada: Nimeomba 'Control Number' NACTE ya kulipia 10,000 badala ya 30,000. Sifahamu namna ya ku-cancel nianze upya

    Salaam, Wanabord ninaomba kufahamishwa kwa yeyote inaefahamu anisaidie kunifshamisha. Nacte wamefungua dirisha la udahili kwa vyuo vya afya ambapo deadline ni mwisho wa mwezi huu. Kwa kosa nililofanya la kupata control number ya 10,000 nitalazimika kuomba chuo kimoja tu hivyo nitakua na risk...
  3. gimmy's

    Mdudu wa kidole, natamani kukata kidole

    Hili tatizo dogo sana,watu wengi pamoja na wewe muhanga huwa mnateseka kwasababu yakuhangaika na dawa zisizofaa. Siku nyingine ukiona tu hii hali inakuanza meza ampiclox tatizo litakua limeishia hapo,ukiwahi mapema hutapata hata kidonda. Japo umechelewa meza ampiclox utapona haraka. Pole, Thnx.
  4. gimmy's

    Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Ndugu usi conclude jambo kirahisi hivyo. Sio kweli kwamba kuku wa kienyeji ukiwafungia ndani hawakui vizuri.Hao vifaranga wako walipata maradhi na hii ni kawaida hata kama wangekuwa kroila ama wakisasa. Nakushauri endelea kujifunza ufugaji,jitahidi unapopata changamoto uliza kwa ma dr ama...
  5. gimmy's

    DOKEZO Kuna kifo cha kizembe kimetokea juzi Msoga Hospitali, Chalinze. Tafadhali Mbunge Ridhiwani acheni siasa

    Wandugu Salaam, Juzi pale hospitali Msoga Madaktari wamepokea mgonjwa aliekuwa anatapika na kuharisha Damu sana na haraka walipomchukua maelezo wakabaini jambo. Huyu mgonjwa alipata tatizo wakati anatafuna mfupa wa kuku na bahati mbaya kipande cha mfupa chanye ncha kali kilimkwama kooni...
  6. gimmy's

    NMB Chalinze branch kuna usumbufu usio na sababu idara ya mikopo

    Natamani CRDB wafungue branch ili kuleta ushindani kwa hawa wababaishaji,nikija mlandizi kapu ndio lile lile nitakuwa sijawatia adabu
  7. gimmy's

    NMB Chalinze branch kuna usumbufu usio na sababu idara ya mikopo

    Wapendwa Salaam, NMB Chalinze branch kumejawa na wafanyakazi wenye kiburi na majivuno hasa kwenye idara ya mikopo jambo ambalo linasababisha kero kubwa kwa wateja, Hii branch unapoanza ku process mkopo utacheleweshwa kiasi ambacho utaona kabisa ni kama wanakuomba rushwa kiaina.Hizo nenda rudi...
  8. gimmy's

    Waziri Mwingulu: Miongoni mwa Watanzania milioni 62, ni Watanzania milioni tatu tu ndio wanalipa kodi

    hivi hizi tozo wanazotupiga hawa jamaa kwenye miamala unazizungumziaje?Nafikiri hapa kuna tatizo la tafsiri,na nafikiri watumie neno makusanyo ya serikali,kwangu mimi naona watanzania zaidi ya 90% wanalipa kodi, Mkitaka watufananishe na USA hawa jamaa watatuua,sidhani kama US VAT wanayotoza...
  9. gimmy's

    DOKEZO Aweso nakujulisha kuwa rushwa imetamalaki sana DAWASA pindi wananchi tunapohitaji kuunganishiwa huduma ya maji

    Salaam, Kwanza nianze kwa kumpongeza Aweso kwa namna anavyopambana kuhakikisha maji yanafika kwa wananchi ili kuyafikia malengo ambayo chama na serikali wamejiwekea. Licha ya haya mapambano ambayo wazari anapambana kuhakikisha maji yanasambaa kwa wananchi, yanayoendelea huku kwa watendaji wako...
  10. gimmy's

    Makamu wa Rais Mpango, mvua zinazonyesha zisije kuwasahaulisha utekelezaji wa makubaliano na Wahariri ili kusalimisha uharibifu kwenye Mto Ruaha Mkuu

    Saalamu, Siku chache zilizopita tulishuhudia mjadala makini ulioitishwa na wanahabari huku mgeni rasmi alikiwa makamo wa raisi huko mkoani Iringa. Dhina ya mkutano ule ilikuwa ni kumpatia mh mpango taarifa za kiuchunguzi juu ya chanzo cha mto ruaha mkuu kukauka kwani mpaka siku wanafanya kile...
  11. gimmy's

    Biashara ya vitenge ni black Diamond!?

    Hapo nyuma nikiwa bado kijana nilikuwa mzalendo sana,lakini leo kuwa mzelendo nimeona ni upumavu kwasababu wanaotuasa raia tuwe wazalendo wao sio wazalendo wanafuja kodi zetu. Ukifuatilia vijana wa TRA wanaokamata watu kariakoo kwa kutodai risiti vijana wadogo wana utajiri usiolingana na vipato...
  12. gimmy's

    Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

    Wachunga ng'ombe ni washamba sana,ni wendawazimu kufikiri eti Kalemani ni very special kuliko mtu yoyote. Tatizo kubwa la wachungang'ombe ni ushamba.
  13. gimmy's

    Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

    Hii kauli yenu yakujitetea huwa inakera sana,kwanini wahuni hawa wakijitoa muhanga kwenye dini zingine hawapo?
  14. gimmy's

    Mama wa Miaka 46 ashtakiwa na TRA kwa kosa la kununua bidhaa bila kudai Risiti

    Ninaposhuhudia kodi zetu zinavyopigwa na hawa watu wa maofini huwa nakereka Sana, Nikifanya biashara sitoi risiti na nikinunua sidai risiti.Hakuna watu wapigaji kama waajiriwa wa serikali na taasisi zake. Nchi hii kuna wafanyakazi wanautajiri usioelezeka,huwa nilishaweka nadhiri nitaangalia...
  15. gimmy's

    Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

    Mashimba anakipi ambacho amekifanya kinachoweza kuonesha ubunifu unaoweza saidia wafugaji kwenye wizara ya mifugo? Kama mashimba anaona kwamba mifumo iliomuweka ofisini inamkwamisha kwanini hajiuzuru anaendelea kung'ang'ania ofisi?
  16. gimmy's

    Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

    Moja ya wiraza ambazo kwa miaka mingi huwa zinakosa watu makini basi ni wizara ya mifugo,kama wewe sio mfugaji haya huwezi yajua. Nchi hii ina maabara chache mno za mifugo kitu ambacho ni kituko.Tena huwenda maabara hizi zipo mikoani tu tena hazipo vizuri kivifaa. Madtari wetu wa mifugo...
  17. gimmy's

    Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

    Huyu Mashimba unahangaika bure kumtetea,ukweli ni kwamba Waziri wa mifugo ni mzigo,tuweke usukuma pembeni huyu waziri anapwaya kwenye hii wizara
  18. gimmy's

    Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

    Salaam wanajamvi, Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais. Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa...
Back
Top Bottom