Search results

  1. B

    Hotuba ya Uhuru Shule kwa Viongozi wa Bongo

    Umeifanya cku yangu kuwa ya furaha sana.
  2. B

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Asante sana Zitto.
  3. B

    Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Unachoongea kinaweza kuwa kweli,lakini kaa chini ujiulize,ondoa uccm wako na ucdm wako,jiulize, -kwa nini Mwigulu aliposema nina ushahidi hakukamatwa? -kwa nini huu mkanda umetoka baada ya Kibanda kufanyiwa vile? Wakati fulani tuache siasa kwenye mambo ya msingi.
  4. B

    Jinsi ya kumjua msichana mwenye mapenzi ya dhati na ya kweli!

    Hakuna mwanamke wa kweli dunia hii!
  5. B

    Top ten wonderful names from Tanzania

    -Nunu sya nkikulu. -Ntwanga pa nyuma. -Nasekile Kakongobe.majina ya watu haya
  6. B

    Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

    "Wakati yuko kwetu,hatukuuona umuhimu wake,leo kaondoka hatuoni pengo lake" Hiyo ni kauli ya BAVICHA Mby.
  7. B

    Naombeni ushauri!

    Sasa nina miezi miwili,nafikiri ntafikisha hiyo miaka miwili na kuendelea!
  8. B

    Ambaye yupo tayari

    Mi nipo tayari lakini cna umri huo! Utanisaidiaje?
  9. B

    Mkuu wa wilaya ya Rungwe afanya madudu tena

    Kwa ninavyopafahamu Kiwira,huyo mwenyekiti atakuwa wa Ccm tu,maana pale pana vitongoji 11,na vyote viko chini ya Ccm,ila Mh diwani ndiyo anatoka chama kile cha Cdm.
  10. B

    Naombeni ushauri!

    Ndio mkuu!
  11. B

    Naombeni ushauri!

    Sina nia hiyo mkuu,ni kweli nimetendwa vibaya,mpaka nahisi kama nina mkosi.
  12. B

    Naombeni ushauri!

    Baada ya kutendwa zaidi ya mara 3,na hawa mabinti wa Mama Salma, Sasa nimeamua kuwa peke yangu mpaka kifo kinichukue.JE KUNA MADHARA NTAYAPATA?
  13. B

    Pendekezo: Hii ndiyo Timu ya CHADEMA itakayokivusha chama Salama!

    Hivi huku kwe2 iringa na Mbeya,hakuna watu wanaofaa?naona umependekeza watu wa juu tu,ni kwa nini?
  14. B

    Mwanza: Vurugu kubwa kati ya Polisi na wenye 'boda boda' zaendelea!

    Kwa sanduku la kura,CCM haiwezi kung'oka,labda tutafute njia nyingine.
  15. B

    Hivi kutangaza nia ni dhambi?

    hivi lini dr slaa katangaza kugombea urais 2015?
Back
Top Bottom