Search results

  1. venance7

    Ups and down miaka 8 ya kubet (addiction) bila ya mafanikio

    Betting nilianza 2014 ila kwasasa nimepunguza kwa asilimia 70 u 80 kabisa,kimahesabu pesa nilizopata kwa kushinda tangu nianze inafika milioni 4,ila nilizopoteza zinazidi hiyo.Kiufupi addiction kama pombe,kamari,punyeto, picha za ngono,na madawa zinahitaji nguvu za maombi na Dua kwa kumaanisha...
  2. venance7

    Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Mimi nilifuta social media kama Instagram huwa naboreka na habari za wasanii na entertainment, miaka ya nyuma nilikua naifuatilia sana miziki,movies nk
  3. venance7

    Mwili wa kijana aliejirusha baharini umeonekana

    Sio kulewa,boti ikiwa ktk spidi huwezi kutembea vizuri mule lazima utatembea kwa staili Ile
  4. venance7

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Hii kitu sijui kama makocha huwa wanafundisha hivyo yani wachezaji wao kila wakipokea mpira ni back pass au kubutua inakera sana
  5. venance7

    Nilinunua pagala Mbeya 2017 kwa shilingi 3.5M, haliuziki hadi leo

    Nimeishi huko miaka mitatu niliondoka 2017,kwa miaka hiyo niligundua haya; gharama za vyakula zipo chini ila mzunguko wa pesa ni mgumu,kule kwa mtu muajiriwa au yeyote mwenye uhakika wa kupata hata laki nane au saba kwa mwezi basi ataishi maisha ya unafuu, kiukweli nyumba nyingi zina standard...
  6. venance7

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Pamoja na kwamba tumezidiwa daraja na hawa Morocco lakini kiukweli timu ya taifa bado vingi sana vya kufanya ili kifika levo za wenzetu,timu hata kupiga pasi kumi ni mtihani,Yani pasi tatu mpira unapigwa juu unatoka au unapotea kwa wapinzani.
  7. venance7

    Mafundi rangi msaada wetu hapa

    Nahitaji kujua utofauti wa hizi rangi ambazo ni vinyl superlux matt emulsion, na silk ambazo sio matt, hizo za kwanza ni zile za kuchanganya na mashine au ni zipi, na matumizi,
  8. venance7

    Barabara ya Banana - Kitunda ni kero kubwa kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia

    Huku maeneo ya Ulongoni Gongo la Mboto, miaka michache nyuma ilikuwa kero kubwa sana kuishi, barabara mbovu za vumbi, madaraja yote ya mto msimbazi yalikuwa yamevunjika, hilo lote ni Jimbo lake, sijajua huko tatizo linalokwamisha ni nini?
  9. venance7

    Nahitaji kwenda Zanzibar kupiga mishe za vibarua

    Kulala camp huwa zipo ila kuhusu kula hakuna kampuni itakulisha hiyo ni gharama zako
  10. venance7

    Nahitaji kwenda Zanzibar kupiga mishe za vibarua

    Zanzibar kazi za ujenzi zipo nyingi sana kwasababu uwekezaji mkubwa ni hoteli za kitalii,ila ukibahatika kupata vibarua ktk kampuni za wazungu angalau huwa wanawalipa tsh 15000 na fundi tsh elfu 20 hadi 25,ila ukiangukia ktk kampuni za wahindi hao pesa zao ndogo vibarua wanawalipa elfu 12 kwa...
  11. venance7

    Nahitaji kwenda Zanzibar kupiga mishe za vibarua

    Sio 1400,mfano kutoka stone town mpaka kizimkazi shamba huko ni tsh 3000 kwa coaster au zile canter(mbavu za mbwa?,mjini mpaka paje na michamvi bei ni hiyohiyo.
  12. venance7

    Nifundisheni kuwa bahili wa kutupwa!

    Hii kitu inacost sana hata kwangu,tatizo utakuta ktk akaunt ya simu ipo laki tano au sita na sabini,alafu mtu hasa ndugu anaomba elfu 20 au 10,sio pesa nyingi sana lakini ikizidi zinakuwa nyingi,hapo bado hujapokea sms za wagonjwa za kifamilia/ukoo.Pia Ile tabia ya kupotezea chenchi ndogo ndogo...
  13. venance7

    Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

    Hii addiction ni mbaya sana
  14. venance7

    Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Wazo zuri. Mfano sasa hivi huko vikindu viwanja vingi vinauzwa kwa bei ndogo kabisa, lakini kwasababu haipo Dar watu hawataki au wanaonunua wanaacha mpaka pachangamke. Muhimu watu wenye mamlaka za mipango miji wawe wanagawanya na kupangilia vitu muhimu ili watu wasirundikane sehemu moja tu.
  15. venance7

    Samsung TV vs LG TV ipi ni bora?

    Inch 43 inakuwa bei ktk hilo duka kwa LG and Samsung?
  16. venance7

    Makanisa ya Wasabato kujengwa muda mrefu chanzo ni nini

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] leo mmewapiga sana spana ndugu zetu hawa
  17. venance7

    Jr. Farhan wa Clouds Tv huna uelewa wowote katika mahusiano ya mapenzi; huwezi kumhudumia Mwanamke uliyezaa naye baada ya kuachana naye ukabaki salama

    Yule bwanamdogo huwa ana ulimbukeni flani hivi,angalia asilimia 90 ya comment zinazomsapoti pale ni za wanawake as if yupo sahihi.
  18. venance7

    Bongo movie kukosa uwakilishi mpana unaidumuza tasnia, uswahili na u-Dar ni mwingi kupitiliza.

    Kuna chaneli moja nilikua naifuatilia YouTube kipindi cha nyuma siikumbuki jina lake,ila ilikua inaonesha movies za wasanii wa Morogoro,wanajitahidi sana kuanzia acting,stori, location nzuri, quality ya picha inaonekana ilikua na producers na directors wazuri,haya Kuna movies zingine tatu...
  19. venance7

    FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

    Ukiacha wachezaji wengi wa Simba walioanza hapo kuwa wanakaa sana benchi,ila quality yao ni ndogo sana,kuanzia ulinzi hadi kushambulia.
Back
Top Bottom