Search results

  1. B

    Kuna tofauti yoyote kati ya dawa hizi?

    Sawa mkuu na zinatibu ugonjwammoja au ni tofaut? Mi nimepimwa nkaambiwa nna uogonjwa unaitwa baridi ya bisi, Shingoilikua inauma sana nabega nkaambiwa nimelalavbaya lkn haliivyozidi nkaona nibadilishe hosptal ndo nkapewa majibu hayo Nkapigwa sindano 1ya crstapen,nkapewana dawa zerodo,na hizo...
  2. B

    Kuna tofauti yoyote kati ya dawa hizi?

    Kuna aina ya dawa nataka kujua tofauti yake kwa wale wahusika ktk afya zetu nijuze tafathali, PREDILONE nitofauti na PREDNISOLONE au nikitukimoja
  3. B

    Mwanafunzi ni nani?

    Tatizo kubwa ni umr kaka kwasasa ana 22, akija kutokachuo atakua na27 itakuaje hpo?
  4. B

    Mwanafunzi ni nani?

    Wapendwa habarini za saa hizi. Naombeni msaada wa ufahamu. Nataka kujua kuwa mwanafunzi anapokuwa nyumbani anasubiria matokeo ya fom 4 huwa hawi na kinga ya mwanafunzi tena? Mi binafsi sipendi wadogo zangu wa kike waje wapate tabu kama ninavyoona wanawake ambao wameolewa wakiwa hawana ajira...
  5. B

    Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

    Mwalimu kitali mpaka sasa nna alama zake na nnamiaka 14tangu ntoke shule,
  6. B

    JAMAN TUKUMBUKANE YAN ATA KUKUU??

    Nduguazangu waismu mi silagisana, Kama Idd ni leo,kesho na keshokutwa mbona sikuzotetatu mimi sijaalikwa?? Mcniogope jaman mi baathi ya vyakula vyangu ntakuja navyo mfa ndizi mbivu, limao namji kwaajili ya kunawamikono kwaiyo cna gharama kubwa sana, msiulize kuhusu uzoefu nnauwezo wakuhudhuria...
  7. B

    Koboko(black mamba) aua mtoto Songwe

    Poleni sana wafiwa,
  8. B

    HBARI ZA SAA HIZINDUGU?

    Huku kwetu bado bila bila na mda ndo dakika ya 87 hi VP huko kwenu mshafungana?
  9. B

    Pigo kwa tanzania:Soon dola 1 ya marekani itakua ni sawa na sh 2500 nini kifanyike??

    Tuache kununua vitu nje, af wao waje wanunue kwetu hivo dola itashuka thid ya shilingi la sivyo tutaisoma nambatu,
  10. B

    Naomba ushauri kuhusu hili linalonisumbua

    Polea sana, jitaid kua bz huta mkumbuka
  11. B

    Nataka kumsaliti mume wangu

    Pole sana
  12. B

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Kabwe huyooooo...kapotea njia,
  13. B

    Ajali mbaya: Bus la Super Feo laanguka na kuua

    Poleni sana ndugu zanguni,
  14. B

    Stendi kuu ya ubungo dar,

    Wakuu habari za jioni natumai mu wazima wote, sikuzote ambae hajui hua anauliza, na asipo uliza bac hataki kujua, Mi nataka kujua kama ni haki, Stendi ya ubungo ina hamishwa na je? ikihamishwa hapa ubungo patabaki na mradi gani? AU ndo Hawa mafisadi wa meshapaona panafaa biashara wanataka...
Back
Top Bottom