Search results

  1. mesm2015

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Sasa si ipigwe ban hiyo energy drink??
  2. mesm2015

    Naomba msaada wa kunichagulia sofa zuri kati ya izi

    Kwenye miguu ningekushauri chukua ile mipana iliyojaa yaani kama mbao hivi vifupi. Alafu chukua kochi yenye spring utainjoi zaidi kuliko ya mbao au mipira.. Kimuonekano kwangu la pili .
  3. mesm2015

    Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

    Kwani dube nae aliwekwa nje na kambi? Scenario mbili tofauti..
  4. mesm2015

    Je, hili limekukuta kuachwa na bus kisha ukatumia bodaboda kulifukuza bus

    Hao wakiondoka wewe unaiangalia tu gari inavyozidi kuwa ndogo mpaka inapotea..
  5. mesm2015

    Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    Coming to america Heat Face off
  6. mesm2015

    Je, hili limekukuta kuachwa na bus kisha ukatumia bodaboda kulifukuza bus

    Usithubutu kuifuata na boda boda SAULI au Golden deer.. utagombana na dereva wa boda boda na hautasafiri maana hautazipata.
  7. mesm2015

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Kabisa yasipuuzwe.
  8. mesm2015

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Timu inafanya vizuri unaanza kuwa na mtazamo hasi nayo.
  9. mesm2015

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa nini mnasema arsenal tu ndo ingetake advantage? Liver na manutd vipi?
  10. mesm2015

    Kicheche au Bahati mbaya?

    hii ni stori ya kufikirika tu! itengenezewe movie ili ionekane ina "uhalisia"!
  11. mesm2015

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    He's collecting business ideas here!!
  12. mesm2015

    salaam!!

    Salam kwa wote!
  13. mesm2015

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Kwa kuandika tu eti wanaofanikiwa Tanzania ni mazuzu, WEWE NI ZUZU NA TAHIRA NAMBA MOJA!unaishi wapi na kimaisha uko wapi! Tuna wangapi waliofanikiwa Tanzania!Kwa hiyo wote ili tufanikiwe tuhame nchi au sababu kila Mtanzania anataka kufanikiwa? Ebu acha story za kuvunjana moyo!
  14. mesm2015

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    P53-are you the "interviewer" or just an ignorant! So you mean if you want a certain job you are not supposed to know some basic info about it!
Back
Top Bottom