Search results

  1. C

    Programming language to learn for Web Applications

    Habari wakuu, Nataka nianze safari ya kujifunza kutengeza web applications. Mfano kuweza kutengeza inventory systems n.k Ni language zipi natakiwa kujifunza kutengeza hizo web applications, nataka nitenge muda nijifunze mwenyewe mdogo mdogo labda ntafika :D
  2. C

    Msaada wa wordpress na Besa theme

    Habari zenu ndugu! Nimedownload besa theme nulled. Hapa nafanya mazoezi ya kutengeza ecommerce website. Kwenye desktop kila kitu nimefanikisha nnavotaka, shida ipo kwenye mobile version. Yaani nikiweka kwenye mobile view, hio site ina display header nyengine kabisa ambayo hata haifanani na...
  3. C

    Msaada kwenye Referral Visa

    Habari wakuu, Kuna mteja wangu anataka kuja kutembea Tanzania. Sasa kwa utaifa wake anatakiwa awe na referral Visa. Nilikuwa naomba mwenye kujua anipe maelezo nini kinahitajika kuwekwa wazi kwenye invitation letter kutoka kwa mtembeaji na nini niweke wazi kutoka kwangu kama mwenye kampuni...
  4. C

    Sheria inasemaje kuhusu kumiliki leseni ya udereva?

    Habari zenu. Kwa dunia inavosonga mbele, siku izi tunashuhudia uwepo wa honda zinazotumia umeme zikiwepo nchini kwetu Tanzania. Na magari pia yapo yanayotumia umeme. Mimi ningependa kujua kuhusu leseni ya uendeshaji wa hivi vyombo vya umeme, sheria inasemaje? Je ime specify kuwa ni vyombo vya...
  5. C

    Msaada gari imegoma kuwaka ghafla

    Habari zenu, Nipo na project yangu kufanya engine conversion ila sasa nimekwama njiani. Nimeweka engine ya 2jzge non vvti kwenye gari, siku za mwanzo, mafundi walifanya wiring na wakajaribu kuiwasha ikakubali fresh. Kwa vile ilikuwa kuna vitu vyengine kama exhaust nlikuwa sijamaliza...
  6. C

    Msaada wa kubadilisha Engine katika Lexus IS200

    Habari wakuu, Nimebadilisha engine kutoka 1GFE na kuweka 2JZGE non VVTI. Hii nimeitoa kwenye lexus gs300. Sasa tatizo lilokuwepo ni kwanza, engine imekuja juu zaidi, yaani inakaribia kugusa bonnet, jengine, hii engine imesogea mbele kidoogo, radiator na feni haikai. Nimeweka gearbox ilotoka...
  7. C

    Natafuta Laptop HP Elitebook or Spectre

    Habari wakuu. Kama mada inavosema. Nipo interested na hizi models; HP ELITEBOOK 840 G2 (Touchscreen) HP ELITEBOOK 840 G3 (Touch Screen) HP ELITEBOOK 1030 G3 (Touchscreen) Hp Spectre X360 Kama unayo moja kati ya hizo models tuambizane kwenye huu uzi
  8. C

    Nauza gari Lexus is200

    habari Wakuu, Nauza Lexus is200 model year 2000 Km 170,000 (Engine nimeweka nyengine ina miezi 2 tu) Heated seats Semi leather Sunroof (nimeiziba kwa gundi ya vioo) Bei 4.5M
  9. C

    Nahitaji SNOW FOAM dawa ya kuoshea magari

    Habari wakuu, Natafuta duka au mtu amabe anaweza kuniuzia hii dawa ya Snow foam kwa ajili ya kuoshea magari. Nilikuwa nanunua pale karcher lakini hawana tena na kila nkiwapigia simu wananambia kontena iko banadarini, mwezi mzima kontena haitoki maana inasemekana siku ya jumatatu kwenye wiki...
  10. C

    Natafuta Snow Foam Gun/cannon for Car wash kwa alienayo

    Habari wakuu, Kama mada inavosema hapo juu. Natafuta snow foam cannon/gun nimefunguwa Car wash business lakini nimekwisha kuhangaika kutafuta hio kitu. Kwa anejua wapi inapatikana naomba anijuilishe au kama mtu anauza pia let me know. Vile vile natafuta Snow Foam product yenyewe. Asanteni
  11. C

    Mkuu wa kituo kuzuia amri ya mahakama

    Habari wadau, Ishu ipo ivi. Nina babu yangu ambae anamjengo wake alimkodisha mama mmoja. Huyu mama amefungua skuli na amefanya ni kama orphanage house. Sasa ikafika kipindi huyu mama akawa halipi kodi na hataki kutoka ndani ya nyumba. tukatumia busara ya kuwa basi aendeleze kulipa kodi ya...
  12. C

    Engine diagnosis tool na Fremu kwa ajili ya kuweka screen kwenye Altezza

    Habari wakuu, Nina Fremu nauza kama unataka kuweka screen kwenye gari yako Altezza/Lexus is200/300. Bei ni 70,000 tu Pia nauza OBD2 Bluetooth diagnostic scanner kwa bei ya 30,000 (Inakuja na installation CD kwa ajili ya windows, pia unaweza kutumia application kwenye simu yako ya android...
  13. C

    Windows 10 installation stuck after windows logo

    Habari wakuu, Nina desktop yangu aina ya Asus inasumbua. jana wakati namaliza shughuli zangu, niliacha wazi usiku kucha. Leo naiamsha naikuta screen imekwenda kwenye bios moja kwa moja. Sijaelewa nini kimetokea, nime click save and exit kwa bahati mbaya ikarudi tena. Kila nikifanya hio process...
  14. C

    Msaada: Jinsi ya kudesign website kwa wordpress

    Habari zenu wakuu. Napenda kutengeza website as a hobby sasa katika research zangu nimekutana na wordpress wakisema kuwa unaweza kutengeza website ata kama sio mtaalamu wa coding. Nimeinstall wordpress locally kwenye mac yangu tayari kila kitu kipi setup. Tatizo linakuja katika kutaka...
  15. C

    Msaada galaxy note 5

    Habari wadau, Nahitaji msaada kutoka kwenu wadau. Mimi nishazoea iphone na android si mambo yangu kabisa mana sijaipenda. Sasa juz kati nikaona wacha nijaribu kutumia android, na flagship katika android ni samsung. Nikaamua kuchukua note 5 mana nimeioenda the look. Ni 2 days tangu niinunue na...
  16. C

    Deni la VAT kulipa kidogo kidogo inakubalika kisheria?

    Habari zenu wadau. Naomba kuuliza, ivi km una deni la vat labda la mwezi january ambalo hukulipa, inawezekana kulilipa kidogo kidogo huku unaendelea na biashara? Sheria inazungumziaje kuhusu deni na ulipaji wake? Mana kuna kuna officer mmoja leo alinambia hakuna deni katika TAX... nikashangaa...
  17. C

    Angel eyes kwa ajili ya altezza/lexus

    Habari zenu wadau, Nina angel eyes kwa ajili ya lexus is200/300 ama Altezza. Napatikana hapa 0715423242 katika whatsapp. Bei 120,000 mazungumzo yapo
  18. C

    Zanzibar yaambiwa ikatafute mafuta ya ta Kwa mzee bakari sio Gesi

    Written by Abdul Zakinthos // 16/03/2017 // Habari // Maoni 8 Katika hali isio ya kawaidaa Serikali ya Muungano imezuia ndege ya kufanya utafiti wa kutafuta mafuta katikq visiwa vya zanzibar. Akizungumza na mwaandishi wa habari Pailot wa ndege hiyo alisena walishindwa kuaza kazi kutoka...
  19. C

    Uaminifu ni muhimu kama unataka kuwa web developer

    Habari wadau, Nimekuja hapa kupost my experience with a fraud web developer na kama kuwapa caution wengine. Kuna watu wanajifanya ma web developer lakini ukimpa kazi anaanza mizungusho. Kuna huyu anaitwa mathew kapela au humu JF anajiita matthew12345. Ukweli sikutaka kufikia hatua mpaka...
  20. C

    Nahitaji mashine ya 2jzge au 3sge

    Habari wakuu, nahitaji mashine moja kati ya hizo tajwa hapo juu, nani alokuwa nayo au anaemjua mtu anaeuza mashine za gari
Back
Top Bottom