Search results

  1. C

    Ngoja nikupe facts why Toyota Crown ni bora kuliko Toyota Mark X

    Hii hii GRS200 ama ni zile za kuanzia 2017? Mimi Nina GRS204 full option lakini Cruise control ni ya kawaida sio dynamic (nilikuwa na lexus is200 ya 1999 ilikuwemo). Haina collision avoidance system zaidi ya parking sensors. Sijawahi ona driver monitoring system ama labda kwa sababu sijawahi...
  2. C

    Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

    Sishangai kwanini unaamini mtu kuwa ndio mungu. Hizi ni aya kutoka katika Quran?
  3. C

    Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

    Ukiileta aya kwenye Quran ilotaja umri wa huyo unaemkusudia nakuwa mkristo na kuanza kuamini huyo mungu unaemuabudu alomtia mimba katoto ili azaliwe yeye :D
  4. C

    Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

    mungu wenu si kamtia mimba bikra maria akiwa na miaka 12 iv ili azaliwe? :D
  5. C

    Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    Ni huyu Musa ambae aliandika habari zake na alivokufa au musa mwengine?
  6. C

    Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

    Unashangaa hilo, urusi inatumia drones, missiles, tanks n.k kumpigania mungu wa kikristo, na wale mapdre sijui mnawaitaje wanaiombea dua urusi kutwa
  7. C

    Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

    Jamaa angu anasema Russia inakula kichapo ilhali Ukraine analilia misaada kila kukicha na kurushiwa mvua za mabomu [emoji23] shida kweli kweli. Sikujua kama ukishindwa vita unakuwa unachukua territories za adui yako. Pole msee
  8. C

    Vita kuu ijayo ya Dunia itakuwa ni ya kugombea maji

    Waseme tu kama wanataka kutengeza vita makusudi na hivo kutumia maji kama kianzilishi. Utaskia, kuna rising sea levels, kwanini kusifanywe desalination of ocean water yakatumiwa? Yaani uku Zenji kuna kisiwa kina hotel Mnemba, wana desalination plant, Serikali inayokusanya mabilioni inashindwa?
  9. C

    Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

    Toa link ya hii kitu, watu hawatakoma :D Saivi washaambizana kuwa wawahi kujiunga, wataingia kwa mkupuo mapema sana kisha watalizwa mapema vile vile
  10. C

    Rais Biden aagiza kuachiwa mapipa milioni 10 ya mafuta baada OPEC kutangaza kupunguza uzalishaji

    Huu mchuzi wa Dinasours utaendelea kuwa na demand kwa miaka mingi sana ijao, yawezekana sisi sote humu tukafa na huu mchuzi bado ukaendelea kutumika. Wakitaka usiwe na demand, wakubali kutumia nuclear power, ndio nishati pekee inayoweza kumeet demands. Ule mbadala wao wa kutumia betri kwenye...
  11. C

    Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

    Usiseme "Sasa sisi waislam..." Sema "Sasa nyie waislam..."
  12. C

    Wanachama wa Kalynda presha zinawapanda na kushuka, tunasema kila siku hakuna hela ya "Ku-download" hamsikii

    Hawa si wanavyeti vyote vya usajili? Na zile namba za mawakala ili upate sharti si uwe umesajiliwa? All border entry/exit point zilikuwa zijuikishwe wahusika wasitoke nje ya nchi, na picha zao ziwekwe mitandaoni ili yoyote atakae waona atoe taarifa. Anyways, ukiitwa kwenye fursa basi jua wewe...
  13. C

    Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

    Usinunue kiwanja kama hajahusika sheha na kwa kuongezea unatembelea wizara ya ardhi ukiwa na documents zote halali za kiwanja husika
  14. C

    Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

    Archielogical records zinaonesha wa persia ndio watu wa mwanzo kuja visiwani zanzibar. Ni baada ya kuonekana vitu vyao pale ngome kongwe.
  15. C

    Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

    Hasa kwanini ununue kiwanja kina mgogoro?
  16. C

    Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

    Burudani kweli kweli kuwaona wabara wakitiana ujinga kuhusu zenjy [emoji28]
  17. C

    Uingereza yakiri kuwa USA, NATO, EU na Ukraine hazina ubavu wa kumzuia Putin kujimilikisha rasmi 15% ya Ukraine kupitia referendums!

    Kama Afrika ingekuwa na viongozi mahiri, hichi kipindi ni fursa kubwa Afrika
Back
Top Bottom