wale wa day school ndio wanapata tabu zaidi.. wa boarding naona hawana shida sn lbd kama eneo la shule lipo kwenye hatari ya kupatwa na mafuriko.
serikali hata hivyo ingesitisha kwa muda masomo ili kupisha hizi mvua na kuwapa nafuu kidogo wa day school mana ndio walio wengi zaidi.
partey role yake timber pia anaiweza.. arteta akituliza akili vizuri.. timber anaeza kuwa kiraka mzuri tu.
rice pia anaweza kufanya majukumu ya partey.. kuwa juu ya CBs na pia ata kwenye majukumu yake yeye ya rice kama jinsi sasaivi anavocheza pia timber
nae anaweza kufanya vizuri.
second half inahitajika fresh legs.. wachezaji wengi wa arsenal wanaonkana kuchoka sana na hii ni sababu ya wengi wao kucheza dakika nyingi zaidi msimu huu tofauti na wanaotokea benchi.
kuchukua ni lazima ujipange ndio na ndipo niliposema kwa msimu ujao kama huu hatpata chochote.. excuse yake itakuwa ni ubingwa wa EPL ama mashindano ya ulaya na si vinginevo.
ikishindikana itabidi afanye kama xavi.. unkaa pembeni.. mwingine anakuja kuendleza pale ulipoishia.
msimu huu imebaki EPL pekee ;arteta hata kama akiikosa tena auchukulie huu msimu kama somo na uzoefu kupata ila kashajitengenezea mazingira magumu ya kupewa tena muda zaidi kuendlea kubaki arsenal mana kitakachotizamwa ni ubingwa wa EPL ama mashindano ya ulaya na si kingine kwa msimu ujao.
second leg ikiwa bayern watacheza kama walivo cheza jana.. kutakuwa hakuna haja ya kuanza na mchezaji aina ya kai pale mbele ;panahitajika mchezaji aina ya jesus.. mana sikuona wakifanya pressing sana kwa arsenal.
upande wa defence ikiwa sane bado atatokea kulia kama jana.. inahitajika beki ya...
diaz mtu sana.. mule kuna mchanganyiko wa mane kwenye upande wa kujituma uwanjani pamoja na neymer jr upande wa samba soccer.
nunez yeye apunguze utoto tu ila ni forward ya hatari sn pia.
sidhani kama urefu ni ishu sana kwenye suala la acceleration.. usain bolt kamzidi kai urefu ila ni fastest athlete.
mchezaji kunyumbulika mara nyingi inakuja na kipaji.. kanu alikuwa mrefu ila wote tuliona uwezo wake.
jitahidi kuangalia mechi nzima na sio matukio peke yake.. palmer sikatai ni
mchezaji mzuri na mwenye kipaji ila tukizungumzia all-round play.. kwa kile kinachoonekana uwanjani na tukaacha ku base sana na stats ambazo wkt
mwingine hazina uhalisia kamili.. at present ,saka bado kamzidi palmer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.