Search results

  1. Mayala B

    Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga. Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa. Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata...
  2. Mayala B

    Sasa ni wazi kwamba CHADEMA ni CCM B, wanaaibisha upinzani Afrika

    Huu ndo ukweli halisi waungwana. Kwa hali inayoendelea nchini kwa sasa ni wazi na ni ukweli usio na shaka kuwa Chadema ni CCM B. Na Chadema ndiyo chama chenye wanachama na viongozi wanaonunulika kwa kirahisi zaidi aidha kwa bei kubwa au bei ndogo. Yaani hakuna mwenye msimamo chadema yeyote...
  3. Mayala B

    Je, Mpanda Katavi panafaa kwa mtu kwenda kuanzia kutafuta maisha?

    Naomben wadau ambao mshawahi fika katavi tujuzane je panafaa kwenda kuparangana kutafuta maisha Kwa mtu wa hali chini mwenye mtaji chini ya milion? Je Morogoro na Katavi wako pako vizuri zaid ki utafutaji kwa mtu anaeanza maisha? Asanten naomba wadau mnaoishi Katavi tujuzane jamani NB siendi...
  4. Mayala B

    Nini maana ya ndoto hii niliyoiota naomba mnisaidie

    Ndugu zangu leo nimeota ndoto ambayo sijaielewa kabisa Nimeota namnunulia dada yangu wa mwisho Nguo za ndani 11 Nini maana ya ndoto hii wakuu Asanten Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mayala B

    Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

    Aman itamalaki kwenu Leo nimejitolea kutoa ushauri wa bure kabisa bila malipo. Toka Rais atangaze Dodoma kuwa makao makuu ya nchi watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa Dodoma mambo ni shwari sana. Ukweli ni kwamba Dodoma mambo ni magumu sana hakuna mzunguko wa pesa wala nini. Ni pakame sana na...
  6. Mayala B

    Chelsea kumsajili neymar ni chaguo sahihi au wamekurupuka tu

    Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu Chelsea bhana wana mpango wa kuwasajili neymar, sancho pamoja na chilwell Chelsea kwa sancho na chilwell mimi nawaunga mkono ila kwa huyo bitoz mimi siwaungi mkono kabisa hata kidogo Japo wenyewe wanadai kwamba wanataka wakuze brand ya team ambayo kwa sasa...
  7. Mayala B

    Tuacheni utani, Frank Lampard ni bonge la kocha

    Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu Tukiacha tu utan aliyekuwa nyota wa Chelsea na sasa kocha wao frank lampard ni bonge la kocha Kwanza hana mchezaji tegemeo wa kuweza amua matokeo kama team zingine Pili hajasajili kabisa Tatu hazard alisepa na kuicha team mkiwa Nne ana vitoto vya academy...
  8. Mayala B

    Kwanini wasukuma ni warefu na wanene? Wamewezaje kuwa warefu na wapana?

    Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu Huu uzi siyo wa ukabila ila tu ni swali ambalo nimejiuliza siku nyingi sana pasipo majibu Makabila mengi inchin kwetu ni ya watu wafupi hilo halina shaka kila mtu anajua lakin katika hayo makabila ya watu wafupi pia unaweza ukapata warefu lakin lazima...
  9. Mayala B

    Air tell mnachekesha sana hamuishiwi vituko nyie ni washenzi wa Lagos

    Aman itamalaki Hawa air tell kama siyo vichaa bas watakuwa ni wendawazimu, wanachekesha sana hawa jamaa aisee Jana nimeweka salio la elf moja si nikasahau kujiunga likaanza kutembea salio kwa salio Kumbe kila ukipiga unakatwa shilingi moja kwa kila sekunde yaan kwa elf moja unaongea sekunde...
  10. Mayala B

    Alikiba umeharibu ngoma ya Aslay

    Kuna ngoma imetoka huko ni ya aslay na kiba Lakin kusema ukweli aslay kaimba vizur ila huyu ali kiba kazingua sana Super star mkubwa kaimba kama under ground Bora tu hata angesimama mayunga au mario
  11. Mayala B

    Hivi ni kweli Kiranga kashindwa kututhibitishia kama kweli Mungu hayupo?

    Aisee huyu Kiranga na utata wake wote na ungosha wake wote na kuishi kwake America na kusoma kwake kote na ubishi wake wote ivi kweli kashindwa kabisa kutuzibitishia kama kweli Mungu hayupo Mimi nilitegemea kiranga atuletee uthibitisho kama kweli Mungu hayupo Ni ukweli usio acha shaka kwamba...
  12. Mayala B

    Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

    Kuna haja ya kuongeza saut kweli mabaharia wenzangu au volume iko sawa Bas kama dawa kama kawa Sisi ndo mabaharia na hili ndo genge letu Kitu cha kuzingia baharia popote uwapo, hakikisha hutwangushi mabaharia wenzio Ukipewa papuch ichakaze kweli kweli Ukipewa kazi ichape kweli kweli Demu...
  13. Mayala B

    Viongozi wa Msikiti barabara ya tisa Dodoma mnazingua sana

    Dodoma kuna msikiti uko mjini one way barabara ya tisa msikiti huu ni mkubwa sana maana una eneo kubwa, msikiti huu kilikuwa ni kiwanja cha mtu aliwapa watu wa bakwata bure ili wajenge msikiti mtu huyo alifariki dunia miaka ya nyuma Lakin cha kusikitisha baada ya viongozi wa msikiti kupewa...
  14. Mayala B

    Nauza kiwanja kina nyumba dodoma mjini mtaa wa michese

    Aman kwenu wakuu Kuna kiwanja nakiuza hapa dodoma kipo michese kutoka dodoma mjini kwenda pale naul mia tano tu Kina nyumba kabisa sema bado haijaisha Kiwanja kipo pazur sana karbu na bara bara Karbun sana ndugu zangu Bei ni milion tano tu ila nitapunguza kidogo
  15. Mayala B

    Ambao hatujawahi kulamba watoto wakali tukutane hapa

    Dah nasikitika sana wakuu kuwatarifu kuwa toka nizaliwe sijawahi kabisa kulamba mchuchu mkali mweupe mwenye shepu tata na anayejua kulembua kama beyonce Dah yaan kila nikiona demu mkali naogopa kumfuta najua tu atanitosa daah yaan nataman sana kulamba watoto wakali lakin daah Kipindi cha...
  16. Mayala B

    Duh ivi kumbe alikiba ana ngoma mpya?

    Jana nikiwa natizama EATV si ndo ikaja top ten ya ngoma Kufumba na kufumbua nikaona ngoma ya alikiba ikiwa namba tatu Nilibaki mdomo wazi kushangaa kwamba hadi ngoma iko top ten lakin mimi hata sijui Duh noma kweli Jamaa anatoa ngoma lakin mashabiki hata hatujui
  17. Mayala B

    Eden Hazard kwisha habari yake atajuta kwenda Spain

    Ndo hivyo huyu ninja ataikumbuka England Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki watatu Hana chochote kabisa yaan ni garasa Huyu jamaa pole yake aisee Nahis had mda huu moyo wake...
  18. Mayala B

    Nini chanzo cha USA kupoteza ushawishi

    Je ni kwanini kwa sasa marekani anaonekana kupoteza ushawishi Yaan kawa kama mbwa anayebekwa bweka tu lakin hana meno Je au ndo kwamba hakuna marefu yasiyo na mwisho Je utawala wa dunia wa America ndo umefika kikomo? Au anavuta mda aje alipue watu Kwanini saiv anachezewa sana why
  19. Mayala B

    Hakuna kitu kinauma kama kuona jeneza la mpendwa wako likishushwa kaburini

    Amani itamalaki Ni mara mia uumwe mbwa au ulaluliwe na simba lakin si kuona jeneza la ndugu, rafiki au mzazi likishushwa kaburini Akili huwaga inahama na kuona bora tu hata wewe udanje Hii ni hatua mbaya sana, ni hatua ambayo mtu huamini kabisa ni kweli huyu mpendwa sitamuona ndo hatua ambayo...
Back
Top Bottom