Search results

  1. A

    Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Haya mambo yapo kuna jamaa angu ni fundi alikabidhiwa nyumba ikakamilika ,mmiliki akamwambia aishi kwa muda Yaan mpaka naandika apa bado anaishi hapo na mwenye nyumba hajatokea inakaribia miaka 15 sasa, tujifunze kushirikisha watu wa karibu ona jamaa anakaribia kumiliki mjengo kiulaiiiiini😅
  2. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Zile za miguu mitatu? Kwa siku inaingiza sh ngap
  3. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Asanteee sana mkuu ntalifanyia kazi
  4. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Asanteee sana kwa ushauri🙏
  5. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Kiasi gani kinaweza tosha? Vipi faida yake
  6. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Shukran sana kuna vitu nmevutiwa ntafanyia kazi
  7. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Shida hela nayo kutunzika inakuwa ngumu hasa kwa familia zetu za hali ya kati Utakuta mjomba kameza shoka kamchango
  8. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Changamoto ni ipi Hailipi? Au kamtaji kadogo
  9. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Nashkuru sana tatizo niko maeneo yenye mvua chache kilimo ni kubahatisha mno. Nilijaribu lakini kilichonikuta😭
  10. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Napokea ushauri unaweza pia nishaur kilicho bora Ahsante sana ubarikiwr
  11. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Itakuwa rahisi kufuatilia nikimuweka mtu mana kama nilivyoeleza niko bush kikaz
Back
Top Bottom