Search results

  1. Bilionea Asigwa

    Marekani: Tanzania ni nchi inayoongoza katika masuala ya Usalama Afrika

    Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika. Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. General Townsend ndiye mkuu wa Jeshi la Marekani Command...
  2. Bilionea Asigwa

    Pastor Mashimo: Ndani ya jeneza la Kibonde hakukuwa na mwili wa mtu, kulikuwa na kitu kingine

    Mchungaji Daud Mashimo amesema amepokea maono kutoka kwa Mungu kuwa Mtangazaji wa Cloud Fm Ephraim Kibonde hakufariki, ila kuna mchezo wa kishirikina ulifanyika... Mchungaji Mashimo amesema katika jeneza la Kibonde hakuwemo Kibonde mwenyewe ila kulikuwa na kitu kingine ambacho huenda ni gogo au...
  3. Bilionea Asigwa

    Tajiri keshasema

    Tajiri akisema neno, we masikini itika tu. Sema ndio mzee.
  4. Bilionea Asigwa

    Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wasiosajiliwa kuchukuliwa hatua

    Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wametakiwa kujisajili kisheria ili waweze kutambulika na kufanya kazi ya ufugaji kwa ufuata sheria zilizowekwa. Imeelezwa kuwa wote ambao hawajasajiliwa lakini wanafanya kazi ya ufugaji kuku, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa takwimu...
  5. Bilionea Asigwa

    Mrembo wa Kichagga...

  6. Bilionea Asigwa

    Fastjet taabani, washindwa kulipa mishahara wafanyakazi wao.

    Kutokana na hali mbaya ya kiuchumi, Kampuni ya Fastjet imewatangazia wafanyakazi wake kuwa haitakuwa na uwezo wa kulipa mishahara ya mwezi February mwaka huu. Pamoja na hilo pia, haitakuwa na uwezo wa kulipa malimbikizo ya mwezi January kwa wafanyakazi ambao hawakulipwa mishahara iliyopita...
  7. Bilionea Asigwa

    Dah, Pole sana mbaba...

  8. Bilionea Asigwa

    Ukisikia uso wa mbuzi ndio hii sasa

    Unacnichekea mi nimekunja ndita tu. Kama kucheka cheka peke yako. teh teh teh
  9. Bilionea Asigwa

    Naona Sebene Limekolea mitaa ya Lumumba

    Namuona mheshimiwa "Ayubu" wa Mjengoni pale kaamua kuruka Sambasoti kabisa. teh teh teh
  10. Bilionea Asigwa

    Hili la Baraza la biashara la Simiyu limekaaje wadau??

    Mlishindwa nini kuandika kwa Kiswahili kama kiingereza ni tatizo?? Hakuna mtu wa kufanya "proofreading" kabla ya kutoa hivi vyeti?? Mkuu wa mkoa hakusoma hiki cheti kabla ya kuweka saini yake?? RAS wa mkoa hakusoma kabla hajaweka saini yake?? Ni mangapi huwa mnasaini tu bila kuyasoma??
  11. Bilionea Asigwa

    BASATA yawafungulia Nasib Abdul(Diamond Platnumz),Raymond Mwakyusa(RayVvan) na tamasha la Wasafi

    Baraza la Sanaa Tanzania hatimaye limewafungulia rasmi wasanii Diamond Platnums, Rayvvan na Wasafi Festival yao mara baada ya kuwafungia toka mwaka jana.
  12. Bilionea Asigwa

    Serikali: Tundu Lissu alishindwa kujibu maswali ya BBC, aliishia kubabaika tu

    Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abbas amemjibu mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu, akidai kuwa mwakilishi huyo wa wananchi anazungumza uongo kuhusu maendeleo ya Tanzania. Dk Abbas amesema kwamba licha ya kuulizwa mazuri ya Serikali lakini Lissu alishindwa kujibu na badala yake...
  13. Bilionea Asigwa

    Spika Ndugai: Zitto Kabwe ananipa tabu sana

    SPIKA wa Bunge Job Ndugai amesema Mbunge wa Kigoma mjini Mh. Zitto amekuwa akimpa tabu sana. “Niseme tu ukeli kutoka moyoni, huyu mbunge amekuwa akinipa tabu sana, Ananipa tabu kwa sababu ndiye mbunge mmoja tu wa chama chake. Pale Bungeni inakuwa rahisi kuwafukuza wabunge wengine wanapofanya...
  14. Bilionea Asigwa

    Benki ya CRDB yafanya mabadiliko ya ada kwenye huduma zake

    Benki ya CRDB imefanya mabadiliko kwenye baadhi ya ada za huduma zake yatakayoanza kufanya kazi kuanzia Februari 15, 2019. Taarifa iliyotolewa na uongozi wa CRDB imeeleza kuwa ada hizo pamoja na kodi zimefanyiwa marekebisho madogo kwa lengo la kuboresha zaidi huduma zake. Ada zilizobadilika...
  15. Bilionea Asigwa

    Julius Malema anauliza

Back
Top Bottom