Search results

  1. Bilionea Asigwa

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Uzi mzuri sana Hongera...
  2. Bilionea Asigwa

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Nina swali nje ya mada kidogo Hivi mfano nimewekeza mfuko wa UTT nina say miaka 25, nikawa nimeoa Baada kama ya miaka 20 ndoa ikavunjika Sasa kwenye zile sarakasi za mahakamani za kugawana mali kwenye talaka huwa zinagusa mpaka kwenye uwekezaji wako huko UTT??
  3. Bilionea Asigwa

    Ukiwa tajiri sana mali zako wanazifurahia wengine

    Mhubiri 5 :11-12 Mali yakiongezeka, hao walao nao waongezeka na mwenyewe hufaidiwa nini, ila kuyatazama kwa macho yake tu? Usingizi wake kibarua ni mtamu, kwamba amekula kidogo, au kwamba amekula kingi; lakini kushiba kwake tajiri hakumwachi kulala usingizi.
  4. Bilionea Asigwa

    Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

    Peleka hio ishu kwenye Mahakama ya Mashtaka Jifunze kufanya maombi ya Mahakama Hio ishu nyepesi sana Inaisha fasta
Back
Top Bottom