Search results

  1. G

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Haya....!!! suluhisho ni Serikali Moja mabunge mawili....!!!
  2. G

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Jamani vipi...Hivi ukiwa jikoni si lazima Uonje!! wapishi wapo jikoni..ndio hao!! wameonja..nyie walaji kutwa nzima mnaulizia shingo iko wapi? wamekula wakina Mkapa!! wapishi wakuu... Hivi JK haonji!?
  3. G

    Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

    Jamani hizo hela si za kwendea internet cafe...au nimeelewa vibaya!!
  4. G

    Chenge, StarTV na Utaalam wa kisasa

    Kweli...Lakini isivumishwe sana!! haina maana!! Ila ONYO kwa Chenge...angalia usiendeshwe sana na hao wano kuendesha!! Ni upumbavu!!!....Kama ni akili basi fanya haraka tuone!!
  5. G

    Kuna tofauti kati ya Bongo Flava na Hip Hop

    mmmmh! MR II hakubuni!!!...MRII alionyesha uwezekano wa kughani kwa maana tena kwa kiswahili...nilipo anza niliona ni rahisi kughani kwa English kuliko kiswahili...na haikua na maana kwa waliokua wanasikiliza!! Lakini MRII alionyesha ni jinsi gani Bongoflava anaipenda!!... hata maneno yake...
  6. G

    Kuna tofauti kati ya Bongo Flava na Hip Hop

    OK...Kuna tofauti kubwa kati ya Bongo flaver, na Hip hop, kwasahabu Hip hop (neno na maana)ilikuwepo tangu awali!! Kumbuka hii ni www!! Huwezi Ukaniambia Matonya anaimba R&B!! nika kuelewa!!.... au Inpetor haroon anaimba hip hop !?? Lakini wapo wanao fanya hip hop ya kiswahili...tatizo...
  7. G

    Kuna tofauti kati ya Bongo Flava na Hip Hop

    Kama maswali ulio uliza majibu unayo!!...kwanini usiwaeleze wafuasi wako!! Kila ulicho uliza nimeshakujibu!!....ila nilicho gundua kutoka kwako..ni hujui nini unataka kujua..na unajua zaidi ya wafuasi wako tu!!
  8. G

    Kuna tofauti kati ya Bongo Flava na Hip Hop

    Mimi ndio nilio kwambia....!! sasa nashaa unavyo react!!.... wewe ni mmoja kati ya hao wanao kimbia hiyo haibu!! nafikiri bado hujui nini unataka kujua!!
  9. G

    Kuna tofauti kati ya Bongo Flava na Hip Hop

    ......Sorry...what!! I dont get You!! unacho bisha ni nini....?
  10. G

    Kuna tofauti kati ya Bongo Flava na Hip Hop

    Hakuna kitu...Bado sijaona anabishana na mimi kitu gani... what we need is massage and meaning!!!
  11. G

    US Election Coverage 2008

    Bora Yuyu Nyani Ngabu afungiwe..ili Gigo atoke..
  12. G

    US Election Coverage 2008

    Uatasubiri sana!!.... Time...time...Vipi -? Time...Vipi Nyani?
  13. G

    Kuna tofauti kati ya Bongo Flava na Hip Hop

    Inaonekana Wewe ni mshabiki tu... Hii kazi tuachie!! lakini sio mbaya niki ku elimisha kidiogo... Nilianza Hip hop 1988!! nikiwa mdogo sana!! Baadae nika ona tofauti!! kubwa kati ya vijana waliopo Dar na wale waliopo Mikoani!! Dar Kulikua na FM stations nyingi zaidi kuliko sehemu...
  14. G

    Mke Wangu Hataki Kuendesha Gari Linalotumia Mfumo Wa Manual

    Ingiza Gia taratibu Mama Usiruke ruke..tulia...alafu sikilizia...
  15. G

    * Anatafutwa kuisaidia Tanzania *

    Mikandamizo ya Gigo bado inaendelea, Japo shida anaendelea kuzi vumilia, kamwe hatuwezi kuendelea, bila nia.. Bila kudhamilia, Ufisadi upo kwenye familia, Huko tunakotokea, sipo hapo walipo fikia, Ni toka kwa wazazi walipo zaliwa, nita watukana hata wakini fungia, kamwe sipendi hoja za...
  16. G

    Kashfa nzito toka UK

    Labda kwasababu ya Shairi Langu!?
  17. G

    Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

    we Muulizeni Chenge ilimchukua miaka mingapi...kurudi kwao Lugulu?
  18. G

    The next US President

    Wow!! Hata msikiti ukileta za kisenge unautema tu!!
  19. G

    Mke Wangu Hataki Kuendesha Gari Linalotumia Mfumo Wa Manual

    Ukiendelea kushindwa kabisa niletee nimfundishe...jinsi ya kukalia gea vizuri.. akirudi Nyumbai analia nafikili atakua ameshaelewa nini unataka kumsaidia!! we mlete tu husi hofu!! we nikabidhi kazi zote nitamfundisha!!-
  20. G

    Kuna tofauti kati ya Bongo Flava na Hip Hop

    hakuana kitu mnacho jadili hapa kwani hata mwisho wake mtakosa jibu.. Hiyo bongo flava ni impact ya FM station in Africa -result is that!!!...pili wanao jaribu kusema hip hop ni wale wanao kimbia haibu!! -Kweli kuna tofauti... bongoflava ni matokeo ya effect ya radio communication kwa...
Back
Top Bottom