Search results

  1. segere

    Kuna kijana nimemuonya mara mbili aache kuhatarisha mahusiano yangu hasikii, nimfanye nini?

    .mie naona mfanyie vyote tu katika hivyo unavyoweza.
  2. segere

    Ukitaka kujua kama unapendwa kweli ugua

    .mwanamke ni mwanamke, wanachotofautiana ni ile pointi ya kuanza kwa uchoyo na unafiki, kuna wale uchoyo umekaa peupe na kuna wale uchoyo umejificha ndani kidogo..
  3. segere

    Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

    Sawa watoto ndo mmeboresha hali ya nyumbani, lakini huo umiliki wa mali za hapo nyumbani upo kwa Mama au mligawana watoto baada ya Mzee kufariki?, manake bi mkubwa asije pelekewa moto mpaka akajikuta anahamisha umiliki wa mali kwenda kwa Mzee mvamizi, binafsi hilo jambo la mvamizi kuingia boma...
  4. segere

    Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

    .mke sio ndugu yako na pia shemejio sio ndugu yako, kwa sasa wajibu wako ni kuhakikisha watoto waliopo wanaendelea kuwa na afya tele wakikua na kuongezeka maarifa,miaka mitano si mingi mpaka kaka yako atoke, jitahidi kumtendea vyema yeye ambaye ndo ndugu yako haswaaaaa!!!!!..pili kama mkeo...
  5. segere

    Am I wrong if I process divorce?

    Ngoja ufe ndo utajua unatokaje, ninyi ndo yale makundi ya watu mnaamini kuteseka na kutaabika ni mipango ya Mungu, hata hivyo pamoja na elimu na maarifa mengi uliyonayo kuna kitu kimepungua kwako ni kwamba "WEWE HUJIPENDI" na hujawahi jikubali.
  6. segere

    Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

    .siku akikujibu unipe taarifa Mkuu manake mpaka naandika hapa huyu ndugu yetu hakuwa ametoa majibu ya maswali yako ambayo ni yetu pia, kuna swali moja hapo umemuuliza akijibu tu ntakuja kutapika maushauri yangu..
  7. segere

    Ukitaka furaha ya kupendwa, uwe na hela, toka na vitoto vya miaka 20-23

    Sababu ni ndogo tu, wapo wengi kuliko makundi mengine.
  8. segere

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Hamna kitu hapo Mkuu, huko ni kujazana upepo tu, ndoa imara na yenye upendo hujengwa na uwepo wa pesa tu. Hayo mengine ni ujinga mnaojazana huko kwenye mafundisho yenu, tafuteni pesa kwanza.
  9. segere

    Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

    Wakati mwingine uwe unaficha ujinga wako mkuu, ni nzuri kwa afya ya ubongo wako.
  10. segere

    Demokrasia ni vyama vya Upinzani tu kushinda?

    Sio nchi za Africa tu ni Dunia nzima..
  11. segere

    Coronavirus found in men's semen

    Eti eeh " atafute wa kumlaumu" huenda akapata ahueni Sent using Jamii Forums mobile app
  12. segere

    Ukifanya haya, you’ll hurt her so bad

    Sio wanaume wengi ni "WANAUME WOTE" hatuliwezi, jambo hilo wanawake tu ndo huweza. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. segere

    Nimezaa nae lakini namuogopa! niko njiapanda

    Ni mchaga? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. segere

    Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

    Very true, nyongeza ndogo hapo sio kwenye kuoa tu pia hata kwenye kuishi jitahidi uwe na mtu wa ndoto zako. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. segere

    Natamani kulipa Mahari kwa huyu mwanamke ila hali yangu ya uchumi mbaya sana

    Naona shida ipo hapo kwenye kazi yako unamtumikia sana mrumi kiasi hupati mda wa kufanya mambo yako, kung'ara kimaisha kunahitaji nguvu kubwa toka ndani, nidhamu na kujali mda, anzisha mradi hata kama ni mdogo ili mzunguko wa huo mradi pesa yake iende kwenye mahari uko, kuna wakati maamuzi...
  16. segere

    Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha

    Naunga mkono hoja, kanuni rahisi ya kuishi kwa furaha na hawa viumbe wanaitwa wanawake, ni kuwapa hela tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. segere

    My Dear Ex Girlfriend

    Kuachana ni mojawapo ya kanuni ya kimaisha, hakuna anayeaanza mahusiano mapya kwa kuburuzwa na kunyanyasika hivi vyote huja mbele ya safari, mbona hujatueleza kwamba ulimwacha ex wako kwasababu ulipata chombo kizuri zaidi?. Ndivyo itakavyokuwa ukiamua kumwacha huyu wa sasa utapata mzuri zaidi...
  18. segere

    Ladies: Kuwa na mwanaume anayekupenda na si unayempenda wewe

    Ukweli ni kwamba hali uliyonayo (kile ulichokielezea) huwatokea wengi hasa pale kufikiri kwa mtu kunapofikia ukomo. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom