Search results

  1. Harrykany

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Sadio mane mwenyewe sikumuelewa alivo sema games zinapoteza muda
  2. Harrykany

    Hivi presha kwa mama mjamzito inatakiwa iwe ngapi?

    Ujauzito ni wa kwanza, Kipimo cha Mara ya kwanza kilipimwa Mara moja tu, kipimo cha Jana nacho kimepimwa Mara moja tu, dawa alizo pewa, zinaitwa AGOFER, Afu kuhusu malalamiko hana hata shida yoyote yupo vizuri kabisa, ila alivo pewa izo dawa za kutafuna ndo akajiskia vibaya hadi kutapika,
  3. Harrykany

    Hivi presha kwa mama mjamzito inatakiwa iwe ngapi?

    Maana ananiambia Mara ya mwisho kwenda alipima presha ilikua 114/98 Leo kaenda eti ipo 93/58 Wamempa tu vidonge vya kutafuna, vipi iyo hali sio hatari kwa afya ya mama na mtoto?
  4. Harrykany

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    💰💰💰
  5. Harrykany

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    1xbet ndo kampuni pekee ya kula pesa kama huna mataa,
  6. Harrykany

    Inakuwaje unakubali kupigwa picha za uchi?

    Yatakukuta na ww? Ilo swala omba sana Mungu akuepushie nalo, usikukatae kuwa uwezi
  7. Harrykany

    Kudate na mwanamke wa JamiiForums inahitaji moyo

    Mtasema zotee, wenyewe
  8. Harrykany

    Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

    Me natafuta mega mixer ambayo ntakuta ngoma zile kali za kuchezeka Kama badest na mabantu hasa hitsong za bongo Hamna unakutana na za kina hamo na mond na rayvan Hao wengine adimu
  9. Harrykany

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Si wataniletea, yule bwana wa michezo
  10. Harrykany

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada wa kupata wakala wa kuweka hela 1xbet,
  11. Harrykany

    Tunao bet, kama ulisha wai cheza hii option naomba maelezo nimeipenda,

    Hii option tamu kwa okra na feitoto
  12. Harrykany

    Tunao bet, kama ulisha wai cheza hii option naomba maelezo nimeipenda,

    Nataka nichezee nife hata. Na mchezaji mmoja, Sasa kizungu changamoto hapo sijaelewa Ili mkeka uende inatakiwa mchezaji achezeje huo mpira, apige short golini au mradi kapiga tu shot!? Msaada
  13. Harrykany

    Kumbe show ya Mr. Right ni uongo

    ile sawa na mieleka tu,
  14. Harrykany

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sijui lini ntakula pesa ya huyu jamaa,
  15. Harrykany

    Copy ya kitambulisho cha NIDS

    Njoo PM me unapata copy chap
  16. Harrykany

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nina miaka 2_ sijawai kula pesa ya muhindi hata nibet mechi moja,,, sijui nakwama wap?
Back
Top Bottom