Search results

  1. W

    Madhira yaliyonikuta BMax Lounge

    Habali wakuu, Wale wazee wakuponda kila kitu muipotezee tuu hii threads jana bana nikaamua kwenda bmax lounge nikiwa na staff wenzangu watano wa ofisini Sasa bana maisha haya sometimes tukiwa mitungi kupitiliza shit happen tuna play around. Kuna binti mmoja niliwahi kuruka nae one night stand...
  2. W

    Story nyepesi nyepesi tunapoanza weekend na Corona hii

    Habari zenu wakuu Tunaanza weekend sio mbaya nikija story nyepesi nyepesi mimi ninatokea kanda maalumu kwa asili ila nimezaliwa DSM na niko hapa maisha yangu yote sasa tokea tuko wadogo tulikuwa tunaenda likizo baba alikuwa anatupeleka hiyo tabia ninayo mpaka leo nikiwaga likizo naendaga kwetu...
  3. W

    Heri ya siku ya kuzaliwa kwangu 18/03/198...

    Namshukuru Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine nashukuru kwa kuendelea kuwa na afya njema na nguvu na wengine humu ambao tuna kumbukizi za siku ya kuzaliwa muwe na maisha marefu. ni kijana niliezaliwa katikati ya mwaka 1984 to 1987 najua kuna baba, mama, dada, kaka na wadogo zangu humu...
  4. W

    Karibuni tulewe maisha ndio haya haya

    Wakuu habali zenu Nasomeka gambeni muda huu nina serengeti lite 10,kwa mwana ambae yuko around mitaa hii niko pub yangu ya kitaanii Gold j pub hapa sinza madukani karibu na jengo la emirate. ila kama unajijua wewe ni chawa usisogee karibuni sana . Kiroho safi tufurahie holiday jamanii
  5. W

    Salary out Dec 2019

    Habali Kwa wale watumishi watiifu mshahara wenu umetoka mzee baba kawawaishia tarehe 5jan 2020 mtakuwa mmechoka hatarii.Muwe waangalifu happy holiday.
  6. W

    Nilivyowekwa kwenye difenda kimasihara

    Habali wakuu Tunakoelekea mwisho wa mwaka ngoja niwape story nyepesi nyepesi kama ukufanya malengo mwaka huu usikate tamaa mwakani unayo nafasi ya kufanya makubwa. Back to the point wiki iliopita week days kama juma tano nilikuwa nafanya kazi zangu out of office ilivyofika saa sita mchana...
  7. W

    Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

    Habari wakuu Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na mapumziko ya wiki. Ijumaa hii iliyopita wakati natoka kazini nilipitia Magomeni kwa dhumuni la kwenda fundi wa redio ya kitorori changu ninachokitumia kwa mizunguko yangu hapa town. Sasa baada ya kumaliza shughuli yakuweka mziki kwa ride...
  8. W

    KWA WALE WA MORO TUKUTANE FRONT VIEW TUCHEK MPIRA

    Wakuu kama uko moro town tujumuike tucheki game ya stars hapa front view kama uko around show up nitakuelekeza nilipo
  9. W

    Yeyote alie karibu Samaki spot Moro

    Nko maeneo samaki spot moro any one around show up
  10. W

    Siku ya kwanza niliojutia

    Habali wana jamvi mimi nimsomaji wa jukwaaa hili for quit sometime Nakumbuka back in 2010 nilipokuwa chuo flani eldoret kenya unajua ule ujana usela mnaita tulikuwa tunaenda club wenyewe mnaita kula bata sasa ijumaa moja niko club mama akanipigia simu ikabidi nitoke nje ya club akaniambia...
Back
Top Bottom