Search results

  1. SALOK

    Tunawalaumu Simba bure tu, Kosa lao liko wapi?

    Nimetafakari sana kuhusu matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa Afrika, na kile kinachoendelea kuhusu Simba kulingana na matokeo ya mechi yao! Kwa dhati kabisa ukiangalia chati ya mechi hizo na matokeo yake ni dhahiri Simba tunaionea tu, aliyechafua ubao ni Al-ahly na wala sio Simba, hebu...
  2. SALOK

    Kila la heri Simba sc leo, Ninaimani zaidi na Yanga kesho inshaallah!

    Leo Mnyama Simba a.k.a watukutu wa Kariakoo wanarusha kete yao ya kwanza dhidi ya Club ghali, bora zaidi Afrika Al-ahly ya Misri, ktk mashindano ya klabu bingwa Afrika, ikiwa ni ktk hatua ya robo fainali mzunguko wa kwanza. Wanaume hao wanatoana jasho leo ktk dimba la Mkapa lililopo Temeke Dar...
  3. SALOK

    Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

    Kipekee niwapongeze Azam fc, mlidhamiria hatimaye mmepata cha kusema, kumfunga bingwa si haba... Feisal Salum hatimaye umepooza maumivu, hongera pia! Mwisho kabisa niwaonye Makolo, kihere here chenu kitawaponza. Jiandaeni kwa tano zingine...!! Shuhuli sio yenu, mnatembea na ndizi, shen...zzyy...
  4. SALOK

    Nipeni takwimu, rekodi hii ya Yanga SC ndani ya miezi takriban 6, imewahi kufikiwa na timu yeyote duniani?

    Timu ya Dar es salaam Young Africans Sports Club, au Yanga sc aka Wakimataifa ama wananchi kama wanavyotambulika kwa sasa. Ktk msimu huu wa 2023/2024 wamekuwa ktk ubora usiopimika wala kumithirika. Yanga hii ya Gamond imekuwa timu tishio kiasi cha kuogopwa uwanjani na timu pinzani kila...
  5. SALOK

    Mahakama ya Mafisadi imeishia wapi?

    Mara baada ya Rais John Pombe Magufuri kuapishwa, Kashi kashi na mbwe mbwe za kiutawala zikaanza... Tumbua tumbua, ziara za kushtukiza, kugawa mabunda ya Fedha hadharani kwa watu binafsi na taasisi za umma zenye uhitaji ni baadhi ya mambo tuliyoyashudia ktk utawala wake Marehemu JPM. Kama...
  6. SALOK

    Kwetu Yanga 'head to head' ni akiba tu, tunaenda robo fainali tukiwa vinara wa kundi

    Naam, hakuchi, hakuchi kumekucha.. Siku nyingine tena tumeamka tukiwa na furaha, baada ya mbugi kali baina yetu sisi mabingwa wa kutandaza soka la kisasa na la viwango hapa TZ na waarabu wa Aljeria kisha kuibuka na ushindi mnono uliotuhakikishia kuingia robo fainali ya kombe la klabu bingwa...
  7. SALOK

    Niseme ukweli, yanga sc mmeniudhi sana leo..!!!

    Hello Mashabiki wa Yanga, popote pale mulipo, kunjeni ngumi, pigeni kifuani kisha hewani huku mkitamka 'Wananchiiiiii...!!!' Ahsante sana, mmeliheshimisha Taifa. Yap.. kwa kila mwanayanga leo ni siku kubwa mno, siku ya kufurahi.. Aliyekutenda, na wewe mtende! Yanga kamtenda zaidi CR...
  8. SALOK

    Poleni Rivers, ila hongereni pia! Mmekufa kiume kama Madunguka fc

    RIVERS FC, "Mwana kuli-find, mwanakuli-get". Hatimaye tumemalizana. Mlitutoa, tumewatoa, tunasonga mbele... WE ARE YOUNG AFRICAN..!! Kisasi kimeisha... Kwa hili poleni sana, ndivyo Mpira ulivyo. RIVERS FC, Hongereni sana, leo hamkufungwa! ila mmepata suluhu ugenini.. Si jambo dogo hilo. Kwa hii...
  9. SALOK

    Kila la heri Simba SC. Tanzania kwanza

    Leo Simba SC, wahuni wa pale mitaa ya kati katika mitaa ya Msimbazi, watajaribu tena bahati yao kuwania nafasi ya kushiriki hatua ya Robo Fainali katika Ligi ya Club Bingwa Afrika. Leo watakipiga katika dimba la nyumbani Uwanja wa Benjamini Mkapa, wakiwakaribisha vibonde wenzao katika kundi...
  10. SALOK

    IGP Wambura ameshindwa kudhibiti ajali barabarani, asaidiwe!

    Katika kipindi kifupi cha Uhudumu wa huyu IGP mpya, pengine changamoto kubwa aliyokumbana nayo katika utendaji wake ni kukithiri kwa matukio ya ajali za barabarani. Matukio haya yamekwenda sambamba na upotevu wa roho za watanzania, nguvu kazi ya Taifa. Inasikitisha sana. Licha ya ajali...
  11. SALOK

    Simba wamekuwa wapole, na adabu juu!

    Asubuhi ya leo, Feb 19, 2023 Mashabiki wa Simba, mashabiki wa hovyo kuwahi kutokea Duniani, mashabiki jeuri, wajivuni! Mashabiki wanaojua kuvimba kwa sifa wasizokuwa nazo pale litimu lao bovu linapobahatisha kushinda uwanja wa nyumbani kiuchawi uchawi. Ghafla wamekuwa wapooole! wenye nidhamu...
  12. SALOK

    Kwani mlitakaje? Makolo bwana

    Baada ya Ihefu kubahatisha na wakabahatika kibahati bahati, imekuwa nongwa!! Kabla ya kuvunjiwa heshima na hawa madogo wa kuitwa Ihefu, Mabingwa wa kihistoria, mabingwa wa muda wote, wazee wa unbeaten, WANANCHI tulipewa kila aina ya lawama na tuhuma! "Ooh, wanahonga marefa! Ooh, wanapendelewa...
  13. SALOK

    KISIASA; Tanzania tunachama kimoja tu, CCM!!

    Inasikitisha, Inahuzunisha ila uhalisia unabaki hivyo.... Nchi ya Tanzania kama yalivyo mataifa mengine Duniani inatamaduni zake na mifumo yake ya kiutawala! Democracy ndio mfumo unaotumika ktk kuendesha Nchi hususani mfumo wa vyama vingi vya siasa! Tanzania kuna vyama vingi vya siasa vikubwa...
  14. SALOK

    Harmonize, very talented musician ever...

    Even some haters shall still complaining against him, but the truth is no one the best like him at this moment...
  15. SALOK

    Safi sana Harmonize kwa wimbo mpya wa Wapo

    Wimbo mpya wa kufungia mwaka, uliosheeni mashairi mazuri, maudhui ikipambwa na ladha tamu ya sauti iliyoendana vyema na ghunna!! Harmonize wa enzi zile ndiye huyu sasa! Ni aache tu mitifuano mipasho pasho na kundi lile lake la zamani.
  16. SALOK

    Jeshi la polisi Tanzania, Makonda anapaswa kuhojiwa!!

    Kufuatia kauli hizi za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Paul Makonda Jeshi la Polisi linapaswa kumuita na kumhoji ni kwa namna gani yeye raia wa kawaida awe na uwezo zaidi kuliko vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi kuweza kumlinda Rais. Ambapo akaliomba Jeshi la polisi kutosita...
  17. SALOK

    Jicho langu linaona kisichokuwepo!!

    Wakuu natanguliza shukrani! Ninatatizo ambalo limeibuka takribani wiki moja ilopita na bado linaendelea, mwanzo niliona kama kitu cha kawaida nikapuuzia ila sasa imekuwa kero sana. Ni hivi, jicho langu la kushoto linaona mstari uliojikunja kunja hivi, vitu kama vidoti doti vimejipanga. Katikati...
  18. SALOK

    Naomba Like yako Tafadhali.

    Tumsaidie huyu dada nimekuta ombi lake whatsapp. Tafadhali click link hii hapa chini itakupeleka kwenye Insta yake na utalike hiyo picha. Ambayo inashiriki mashindano fulani hivi utaona. Cha muhimu ni Like yako. Tafadhali tumsaidie jamani.
  19. SALOK

    Ngano za Babu..

    Mjukuu wangu, unapokuwa na nguvu, mamlaka ya kiutawala, unachomiliki kwa wakati huo kwa watu wako ni uwezo wa kuamua nini kifanyike/kisifanyike kwa ajili ya wote. Kuwa na nguvu au mamlaka ya kiutawala hakukufanyi uwe mmiliki wa maisha ama nafsi za watu. Kwamba unauwezo wa kuamua nani aishi, na...
  20. SALOK

    Diamond, The one!!

    "Mmh.....Nioneshe ninachotaka kuona!!"_________ "Alichokupa mama!!" Lugha za huyu mtoto ni janga kwa watoto!!
Back
Top Bottom