Search results

  1. SALOK

    Ally Kamwe amjibu Ahmed Ally

    Kuliko yule anayeongea kwa mashauzi na kubinuka binuka?
  2. SALOK

    Tunawalaumu Simba bure tu, Kosa lao liko wapi?

    Michezo ni furaha, ukiwa serious sana utakaribisha sonona bure..
  3. SALOK

    Tunawalaumu Simba bure tu, Kosa lao liko wapi?

    Yaani anataka watu wasishabikie mchezo waupendao? Halafu nani kamwambia ukishabikia sana Simba na Yanga huna future?
  4. SALOK

    Tunawalaumu Simba bure tu, Kosa lao liko wapi?

    Nimetafakari sana kuhusu matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa Afrika, na kile kinachoendelea kuhusu Simba kulingana na matokeo ya mechi yao! Kwa dhati kabisa ukiangalia chati ya mechi hizo na matokeo yake ni dhahiri Simba tunaionea tu, aliyechafua ubao ni Al-ahly na wala sio Simba, hebu...
  5. SALOK

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Maneno kama haya mwaka jana sikukununulia sikukuu, unarudia tena sio eeh?
  6. SALOK

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    mbona comment hazitembei? Makolo wanalazimisha kushikilia uzi..
  7. SALOK

    Kila la heri Simba sc leo, Ninaimani zaidi na Yanga kesho inshaallah!

    Naitunza hii, halafu kesho tutajua nani hamnazo!!
  8. SALOK

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Msijisahaulishe, mbona nyie mmeshachukua kombe lenu tayari la Mwakarobo? mechi haina umuhimu hii kwenu, relax...
  9. SALOK

    Kila la heri Simba sc leo, Ninaimani zaidi na Yanga kesho inshaallah!

    Leo Mnyama Simba a.k.a watukutu wa Kariakoo wanarusha kete yao ya kwanza dhidi ya Club ghali, bora zaidi Afrika Al-ahly ya Misri, ktk mashindano ya klabu bingwa Afrika, ikiwa ni ktk hatua ya robo fainali mzunguko wa kwanza. Wanaume hao wanatoana jasho leo ktk dimba la Mkapa lililopo Temeke Dar...
  10. SALOK

    Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

    Kiburi chenu ndo kinawaponzaga, twawashauri kwa mapenzi yetu tu kwenu...
  11. SALOK

    Nacheka lakini Naogopa, Azam ilikuwa ishinde mabao 8 leo dhidi ya Yanga

    Wenyewe Azam hawaamini matokeo...
  12. SALOK

    Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

    Kuna watu watalipa haya maumivu, na uzuri tunawaweza sana!!
  13. SALOK

    Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

    Kipekee niwapongeze Azam fc, mlidhamiria hatimaye mmepata cha kusema, kumfunga bingwa si haba... Feisal Salum hatimaye umepooza maumivu, hongera pia! Mwisho kabisa niwaonye Makolo, kihere here chenu kitawaponza. Jiandaeni kwa tano zingine...!! Shuhuli sio yenu, mnatembea na ndizi, shen...zzyy...
  14. SALOK

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Daah... ila ndio mchezo! siku ngumu nazo hupita!
  15. SALOK

    Nipeni takwimu, rekodi hii ya Yanga SC ndani ya miezi takriban 6, imewahi kufikiwa na timu yeyote duniani?

    Tano tano zimetuponza... Ndo wakaamua kutupanga na Mamelod!!?
  16. SALOK

    Nipeni takwimu, rekodi hii ya Yanga SC ndani ya miezi takriban 6, imewahi kufikiwa na timu yeyote duniani?

    Timu ya Dar es salaam Young Africans Sports Club, au Yanga sc aka Wakimataifa ama wananchi kama wanavyotambulika kwa sasa. Ktk msimu huu wa 2023/2024 wamekuwa ktk ubora usiopimika wala kumithirika. Yanga hii ya Gamond imekuwa timu tishio kiasi cha kuogopwa uwanjani na timu pinzani kila...
Back
Top Bottom