Search results

  1. josewatano

    msaada: ana degree ya BAED anataka kufanya masters ya Sociology

    Habari zenu wadau, mdau ana degree ya kwanza ya Bachelor of art with Education, specilized in linguistics and kiswahili, kaishafanya kazi mwaka wa tano huu sasa anataka kwenda kufanya masters ya sociology, je atakuwa kachanganya mafile au hakuna tatizo kitaluma Karibuni kwa ushauri.
  2. josewatano

    Naomba msaada wa kisheria nataka anzisha kampuni

    wadau nataka kuanzisha kampuni ya udadali wa kuuza na kununua bahatai mbaya miye siyo mwana sheria nilikuwa naomba msaada wa kimawazo ya kisheria nianzie wapi ili kampuni ya ngu isije kutana na wajanja wajanja ikapotelea pasipo julikana
  3. josewatano

    Wapi naweza ishitaki helsb

    wadau kwakua bodi ya mkopo ya elimu ya juu tz inanigia mkataba na miye wakunpatipa pesa za chakula na maradhi nk kwa muda huhafaka je nauliza ni wapi naweza ishitaki hii bodi kipindi inapochelewa kunipa huo mkopo wangu kwa wakati
  4. josewatano

    Viwanja vinaunzwa mwanza mjini

    viwanja vinne vyinavyolusu makazi ya kawaida vimepimwa kabisa na vipo karibu na miundo mbinu maji barabara umeme vipo mwanza mjini eneo la buhongwa bei kuanzia mil 8 mpaka 10 anayeitaji ani PM miye si dalali
  5. josewatano

    Hatua za kufuata ili pombe yangu ikubaliwe na serikali

    wadau nailikuwa nauliza hatua zipi inapaswa kupitia ili pombe nayotaka itengeneza ikubaliwe na serikali kuwa si haramu nataka tengeneza pombe aina ya spirit iwe katika mfumo wa viroba
  6. josewatano

    wanafunzi vyuo kikuu waombwa kuungana kudai mikopo ya mitaji wamalizapo masomo

    tetezi za chini ya kapet zinasema kutokana na ajira kuwa kikwazo na kuendelea kuongezeka kwa wahitimu wa elimu ya juu mitaani na taluma zao na kutaka jiajiri ila hawana mitaji pia kila siku serikali pitia watendaji wake imekuwa ikiwataka wahitimu hawa wajiajiri basi wanachuo kikuu wanataka...
  7. josewatano

    kwa wale waliopata mkopo

    vijana fungueni m pesa tigo pesa na air tell money boom is nothing so jipange
  8. josewatano

    Baed vs bed

    kuuliza si ujinga eti wadau hivi mtu mwenye shahada ya BAED anatofauti gani na yule mwenye shahada ya BED kwani naona wote wamesomea tLUUM moja msada pls
  9. josewatano

    Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

    Mada ni hivi kweli upo uwezekano wa malaya anayejiuza akawa mke mwema zaidi ya yule mwanamke ambaye hajawahi fanya hiyo biashara
  10. josewatano

    Mtu aliyesoma shahada ya sanaa na elimu je? Anaweza kufanya kazi gani nje ya ualimu

    Jamani nauliza hivi mtu aliyesoma shahada ya sanaa na elimu je? anaweza kufanya kazi gani nje ya kufundisha
Back
Top Bottom