Search results

  1. N

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    hata kufikilia tu kwamba lowasa anaweza kuwa rais ni dhambi,no wonder kuwa na askofu wauza madawa ya kulevya kama huyu anayebwatukia wezi kuongoza nchi,anatanguliza njaa zake ili apate posho ya halambee kutoka monduli,
  2. N

    Hivi Hazina wanamuogopa DG wa PPF?

    BUBE- mimi sii muhusika, nimemjibu kama mdau wa utumishi katika mifuko ya hifadhi, hapa kwenye social media ni mahala pa kufunzana, ni mahala ambapo mtu anapata shule au darasa la bure na wakati mwingine wengi wetu tumefaulu hata usaili wa kazi sababu ya mafundisho ya hapa jf, sii kazi tu, hata...
  3. N

    Hivi Hazina wanamuogopa DG wa PPF?

    Nimeyasoma maandishi ya ndugu yangu,nimejiridhisha kwamba mwandishi ni sawa na fungu la kukosa,amewasilisha kilio cha malalamiko kupata huruma asiyostahili,akijazilisha hoja zake kwa maneno mengi yasiyokuwa na chembe ya ukweli,mimi ntamjibu hoja kwa hoja,nikitumia uzoefu wangu katika uhudumu wa...
Back
Top Bottom