Jamani mi nadhani hii post iko straight forward, Hanga ameuawa kwa mikono ya wanasiasa ,viongozi wetu walioaminiwa kuwa wanasimamia haki!
aliuawa kwa hisia au njozi zao tu za hofu juu ya marehemu,we kama una hamu ya kuwatukana binamu zangu wazenji watukane lakini ukweli utabaki palepale hakufa...
Wanapinga udhamini ambapo maana yake ni promosheni ya pombe ktk maeneo yake ambapo ita sababisha kuwa na walevi wengi ktk jamii ya watu wachache na kusababishwa kudhoofika kwa nguvu kazi ,kurutubisha umaskini na utovu wote wa maisha mabovu ndani ya jamii.
Na kutoa msaada si promosheni -my views
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.