Search results

  1. JZHOELO

    Kioo kujishusha

    Mafuta yanauzwa kuanzia shilingi elfu tano 5,000 tsh. Au juu jidogo inategemea na unaponunulia.. Hapana, huna haja ya kufungua milango, pulizia kwenye reli ya plastiki kioo kinapopita ili kupanda au kushuka. Puliza kwenye vioo vyote utaona mabadiliko makubwa sana. Na pia itaokoa motor zako za...
  2. JZHOELO

    Kioo kujishusha

    Nadhani vioo vya gari vyako ni All auto AU cha dereva ndio auto. Vioo vya auto huna haja ya kushikilia switch ili kipande mpaka juu. Vinakuwa na ngazi mbili, ya kupandisha kawaida na kupandisha automatically. Sasa hivi vioo vilitengenezwa hivyo ili kuepuka kubana vidole, mkono au chochote...
  3. JZHOELO

    Nimeotesha Kiwano Melon na Mwakani nitafanya Market testing

    Mkuu tunaomba zaidi maelezo juu ya hili melon. Lina sukari (ni tamu), muda wa ukomaaji baada ya upandaji. Changamto zake ni zipi au kwasababu ni ya kusini mwa jangwa na uhalisia wa miiba kupelekea kuwa vumilivu.
  4. JZHOELO

    Hizi hapa aina za Embe na Sifa zake

    Mkuu huna haja ya kujibu comments kama hizi kabisa. Maana ni wazi hayupo hapa kuelimika au kujibu hoja kwa hoja yenye mantiki. Kurudi kwenye matunda, nipo Dodoma nina miti ya matunda zaidi ya ina 19 tofauti. Ila mwaka juzi nilipanda mti wa apple ila umekua kwa kusuasua saana. Kwasababu ya hali...
  5. JZHOELO

    Mnaoondoa mabampa ya Plastiki kwenye gari na kuweka ya Chuma au Ngao mnajitafutia kifo cha kujitakia!

    Uko sahihi sana mkuu.. naongezae na kingine juu ya hoja yako.. UZITO WA GARI.. gari unapoongeza uzito unazidi kupunguza efficiency yake. Unaongeza chuma karibu kilo 50 hadi 60 na bado hujabeba abiria.. kwakweli ni ukosefu wa habari na hawa manufacturers/watengenezaji wanajua wanachokifanya 100%...
  6. JZHOELO

    Nini kinasababisha taa ya blue kuchelewa kuzimika?

    Aaaah.. kaka Jitu mara nyingi nikiwaeleza rafiki zangu umuhimu wa thermostat huwa ni mzozo.. wanakwambia "Tanzania kuna joto kali saaana inabidi utoe" .. hii argument huwa siipendi maana ambient outside temperature mpaka ije iipe gari effect ya joto au baridi ni kwa EXTREME environments tuu kama...
  7. JZHOELO

    Nini kinasababisha taa ya blue kuchelewa kuzimika?

    Kwa experience binafsi kwenye gari ndogo. Nilipoitoa thermostat gari ilikiwa inaweza tumia dakika hata 8 kuzima ila nilipoirudishia tu, taa inazima ndani ya muda mfupi saana
  8. JZHOELO

    Tofauti ya Compressor ya AC ya gari ya pump na ya umeme

    Maelezo sahihi na yaliyonyooka saana. Naunga mkono hoja.
  9. JZHOELO

    Msaada Passo Racy kukosa nguvu

    Pole mkuu.. ila kwa haraka haraka akili ya jioni binafsi nadhani ni fuel pump imezeeka.. kama umebadilisha injini na gearbox umeifanyia service bila shaka utakuwa umeweka spark plugs mpya na coil zako zikiwa zimetazamwa vyema na kupimwa basi shida itakuwa kwenye mfumo wa mafuta. Inawezekana...
  10. JZHOELO

    Tatizo la engine kumisi ukikanyaga accelerator kwenye baadhi ya gari za Toyota

    Mkuu umemuokoa jamaa yangu saana.... ulichokielezea ndio exactly kilichokuwa kinaendelea kwene IST ya jamaa yangu. Nilochofanya ni nilichukua coil spark za kwenye gari yangu nikahamishia kwenye yake na hapo hapo hili tatizo kwenye gari yake likaisha Kesho anaamkia kwa wachinjaji wa spea za...
  11. JZHOELO

    Kwa nini haya magari used yanauzwa bei ndogo sana?

    1NZ ni 1,490cc sawa na 1,500 cc 2NZ ni 1,290cc sawa na 1,300 cc Ulichanganya kidogo mkuu...
  12. JZHOELO

    Ongeza accelaration ya gari lako

    41 more horsepower bila kufanya modifications zozote. Just out of the plug in device. Sikuiti muongo maana sijashuhudia ila my brother I highly doubt it. HIGHLY
  13. JZHOELO

    Mercedes Benz C200 Compressor

    Simaanishi vibaya lakini kila nikiona tittle ya hii thread akili yangu inanituma kuwa mleta mada anatafuta AC compressor ya Mercedes Benz C200. Sijui kwanini ila akili inagotea kwenye tope zito la AC tuu.
  14. JZHOELO

    Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

    Bwaaaana bwana uko na ratiba safi sana inayolingana na yangu (kasoro hapo kwa wife,mabachela tunahaha) Napendelea night trips hasa ndefu ila kidogo nianze saa nne kuepuka kukutana na mabasi (kasoro njia ya kuanzia singida ,katesh kutoka babati hadi magugu kuelekea arusha huko ni maarufu kwa...
  15. JZHOELO

    Engine Oil Flush na Fuel Cleaner Injector

    The ending was perfect my fellow lunatic [emoji2957] hahahahaaa. Wakati mwingine naulizaga watu humu jukwaani “why soo serious” changanya mawazo na utani kidefuse tension kidogo Dont take it from me though.... Am a lunatic [emoji2957][emoji2957]
  16. JZHOELO

    Gari yako ukiweka lita nane (mafuta ya 20,000) inatembea KM ngapi?

    Binafsi bila AC napata average ya 120km. Nikiwa highway na AC on below 120KmpH napata 130km kwa lita nane Towntrips average kawaida ni 15km per liter Kwa bei ya mafuta ya sasa huku mwanza ni 2577 tsh kwa liter inamanisha napata 7.7 liters Kwahiyo nimeshuka mpaka 116 Km kwa elfu 20. Aina...
  17. JZHOELO

    Gari yangu inaoverheat ikiwa kwenye foleni au low speed

    Nahisi hauko sahihi katika kutoa thermostat. Sio sahihi kwa injini kufanya kazi chini ya kiwango cha joto stahiki. Geji ya joto ikiwa chini inamaanisha injini inafanya kazi chini ya kiwango cha joto kinachotakiwa. Na katika sheria za kifizikia maji au coolant yakipita muda woto huwa...
  18. JZHOELO

    AC ya gari yangu nikiiwasha inaleta upepo wamoto

    Very well said. Hujambishia ila umejaribu kumuelewesha. Hekima imetumika hapa.
Back
Top Bottom