Search results

  1. K

    Watumishi waafya mnatakiwa kuripoti kabla ya june 24

    utake usitake list ya majina ipo tayari, kitambo sana wametoka morogoro. lolote laweza kutokea kutokana na vimemo katika ofisi ya katibu mkuu kutoka..... OMBA MUNGU LISIJELIKANYOFOLEWA LA KWAKO LIKAWEKWA LA NANII. ha! ha! natania tu hakuna list yoyote we subiri wizara wa post.
  2. K

    Jamani waalimu wenzangu, nafikiri hili litatufaa zaidi

    polee sana, wenzio tupo nusu fainali!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. K

    Fatou Bensouda confirmed to head ICC after Ocampo

    Roboti haiendi bila rimoti!!! yule ni roboti wanamburuza tuuu!!
  4. K

    Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar

    nahisi anaumwa ugonjwa wa kuwashwa ubongo, labda ile glass yenye kimiminika x alichokuwa anakunywa ndio kilimzidishia ugonjwa.
  5. K

    Kibonde aiponda tuzo ya Mo Ibrahimu

    nahisi ni mwoga wa kufikiri ila jasiri wa kula, ALIWAHI KUWASIHI WAANDISHI WA HABARI KUACHA KUANDIKA HABARI ZA UPELELEZI ETI WASIJE WAKAUAWA. ila wajikite kwenye umbea na kusifia watu.
Back
Top Bottom