Search results

  1. Fya-fyafya

    Ona hapa aina mbili mpya za wizi wa pikipiki ulioshamiri mijini

    Hapa Nchini kumekuwepo na wimbi kubwa la wizi wa pikipiki hasa pikipiki aina ya Boxer. Tena baada ya uzuka kwa ugonjwa wa Kirona, ndo hali imekuwa mbaya. Watu (bodaboda) wengi wamekuwa wakilizwa mara kwa mara. Kwa nini pikipiki aina za boxer ndo zimekuwa zikishambuliwa sana kuibiwa? Wengi...
  2. Fya-fyafya

    Moshi kuna nini hasa mpaka kuwe na mvutano na Tundu Lissu kiasi hiki?

    Binafsi sikai Moshi au niseme sikai mkoani Kilimanjaro kunakodaiwa kuwa kitovu cha upinzani hasa CHADEMA. Hata hivyo natamani sana kufika pande hizo hata kwa kukanyaga nyayo zangu tu ndani ya ardhi hiyo ili nitimize ndoto yangu. Mara nasikia Moshi ni mji mzuri sana na wenye maendeleo. Nasikia...
  3. Fya-fyafya

    Hadi saa 12 na nusu jioni; Mgombea wa Urais wa CHADEMA anasubiriwa kwenye Mkutano Moshi Mjini

    Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa kumi na mbili na nusu jioni. Inasemekana msafara wake toka Rombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.
  4. Fya-fyafya

    Sipendi hii hali baada ya kula Mzigo. Je, na kwa upande wenu Ndivyo ilivyo?

    Habari wadau. Maada yenyewe leo nashare na ninyi adha fulani niiptayo kabla ya Kudo. (Angalizo hii imekuwa ikijitokeza kwa kila mwanamke naekutana nae toka nianze kubarehe) a) Kubaki na Harufu/ Shombo ya K kwa takribani siku nzima. Wadau, mimi kila nimalizapo kudu na mwanamke yeyote Shombo...
  5. Fya-fyafya

    Wenzangu na mimi tulioaminishwa na kutabiri kifo cha CHADEMA na kuinuliwa kwa NCCR na ACT, mpo?

    Ndugu, Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA. Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanywa na CCM ndani ya muda mfupi, hama hama ya madiwani na wabunge, kukosa wawakilishi wenyeviti wa vijiji...
  6. Fya-fyafya

    Uchaguzi 2020 Wenzangu na mimi tulioaminishwa na kutabiri kifo cha CHADEMA na kuinuliwa kwa NCCR na ACT, mpo?

    Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA. Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanya na CCM ndani ya muda mfupi, hama hama ya madiwani na wabunge, kukosa wawakilishi wenyeviti wa vijiji na mitaa...
  7. Fya-fyafya

    Natafuta movie ya Rambo inaitwa "First Blood 1 ya mwaka 1982

    Kuna Movie nzuri ya kivita alicheza John Rambo inaitwa "First Blood 1 ya mwaka 1982. Movie hii inaanza Rambo akitembea akitokea mbali na kufika kijiji fulani na kuanza mazungumzo na Mama fulani aliyemwambia kuwa rafiki yake kipenzi alikufa kwa Cancer. Rambo anatoka hapo kunyongwa sana na...
  8. Fya-fyafya

    Barakoa 😷 Kujilinda na COVID-19 zauzwa Tshs. 2000 na Bila kuivaa huingii lango la Hospitali kwenda kupata matibabu

    Ugonjwa wa Corona Virus au Covid-19 unazidi kuleta madhara na kusababisha vifo mbali mbali duniani na hapa nchini. Bila shaka nchi yetu ndo miongoni mwao nchi chache barani Afrika ambazo zimechukua tahadhari kadhaa bila kufungia wananchi wake ndani (Lockdown) na kuacha wananchi waendelee...
  9. Fya-fyafya

    Ndugu wadau, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HELBS (board)?

    Habari ndugu, Najikita moja kwa moja kwenye swali, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HESLB (board)?
  10. Fya-fyafya

    Dhana ya kujiepusha Mikusanyiko dhidi ya Coronavirus na Mashindano ya Draft Kitaifa yanayofanyika Moshi Mjini Majengo Mississippi

    Serikali kupitia kwa viongozi wa juu akiwemo Mheshimiwa.Raisi, Waziri mkuu na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto wamekuwa wakituhadharisha na kutupa Elimu ya namna gani ya kujilinda na kujiepusha na Huu ugonjwa Hatari wa Korona ambao umeangamiza maelfu na maelfu nduniani...
  11. Fya-fyafya

    Jeshi la Polisi, Process nzima ya Kulipia LOSS RIPORT kupitia mfumo wenu mtandaoni ni Zigo kubwa kiuchumi kwa Watanzania wanyonge

    Jeshi la Polisi nchini kupitia kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), kwa kushirikiana na Government e-Payment Gateway (GePG), limeanzisha mfumo wa upatikanaji wa fomu ya upotevu (Police Loss Report), kupitia mtandao wa https://Lormis.tpf.go.tz na kufanya malipo kwa njia ya...
  12. Fya-fyafya

    Mchezo wa Kibati, Mchezo hatari na chanzo cha madeni Kwenye jamii pale ambapo usipokuwa makini

    Mchezo wa kibati ni mchezo wa waaminifu ambao watu wawili au zaidi hucheza kwa kupeana hela/ fedha kwa zamu. Zamu hizo hufanyika kwa mzunguko wa siku fulani kutokana na makubaliano ya wachezaji wenyewe. Hapa nchini, katika makundi tofauti ya jamii, mchezo huu umekuwa maarufu sana kwa kuchezwa...
  13. Fya-fyafya

    Tazama hapa jinsi gani mchezo wa Kibati ulivyo chanzo cha madeni kwa taswira nyingine

    Mchezo wa kibati ni mchezo wa waaminifu ambao watu wawili au zaidi hucheza kwa kupeana hela/ fedha kwa zamu. Zamu hizo hufanyika kwa mzunguko wa siku fulani kutokana na makubaliano ya wachezaji wenyewe. Hapa nchini, katika makundi tofauti ya jamii, mchezo huu umekuwa maarufu sana kwa kuchezwa...
  14. Fya-fyafya

    Ona Mchezo wa Kibati ulivyo Madeni pasua kichwa kwa taswira nyingine.

    Mchezo wa Kibati ni mchezo wa waminifu ambao watu wawili au zaidi hucheza kwa kupeana hela/ fedha kwa zamu. Zamu hizo hufanyika kwa mzunguko wa siku fulani kutokana na makubariano ya wachezaji wenyewe. Hapa nchini, katika makundi tofauti ya jamii, nchezo huu umekuwa maarufu sana kwa kuchezwa...
  15. Fya-fyafya

    The next big person is you!, Stop thinking that whites are superior to Us

    - The richest person in the history of the earth was Mansa Musa of Mali (Black) - The greatest Pop musician was Michael Jackson (Black) -The greatest jazz singer "The famous Aretha Franklin. (Black) - The greatest footballer was Peel (Black) - The biggest boxer was Muhammed Ali (Black) - The...
  16. Fya-fyafya

    Afya: NHIF kuondoa dawa nyingi kwenye Bima ya Afya, dawa muhimu kwa jamii ya kitanzania. Kulikoni?

    Bima ya Afya ni mfumo wa kumwahidi kumrejeshea mwanachama hali ya Afya bira malipo pindi anapopata shida ya kiafya kwa kuuugua au kulazwa hospitalini hasa pale tu anapokuwa amelipia michango ya marejesho (premiums) kila mwezi au kwa mwaka....
  17. Fya-fyafya

    Huezi amini, Hizi ndo Adha na Kalaa kuu wakati wa Tendo la Ndoa kwa Mwanaume na Mwanamke!

    Tendo la ndoa ni kitendo cha kujamiana kati ya Mwanaume na Mwanamke . Aidha , Wataalamu kadhaa wamegundua kuwa tendo la ndoa aka kugegedana ni Raha nambari moja na kuu kuliko zote kwa bianadamu. Kuna style moja tu ambayo huaminiwa kuwa ya Maadiri na ilobarikiwa na Mwenyezi Mungu nayo ni ile ya...
  18. Fya-fyafya

    Dah!Diamond na verse yake;'' ..Mambo ya kuzima taa si mahaba ni kuwanga washa japo ka mshumaa mumeo aone shanga.. Hajui Kalaa wakati wa Tendo la ndoa!

    Tendo la ndoa ni kitendo cha kujamiana kati ya Mwanaume na Mwanamke Aidha , Wataalamu kadhaa wamegundua kuwa tendo la ndoa aka kugegedana ni Raha nambari moja na kuu kuliko zote kwa bianadamu kwa Binadamu. Na kuna style moja tu ambayo huaminiwa kuwa ya Maadiri na ilobarikiwa na Mwenyezi Mungu...
Back
Top Bottom