Search results

  1. Emanuel Didas

    BAVICHA Ifukuze waasi wote - Ben Saanane

    Msaliti yeyote hatakiwi ndani ya Chama..ila 2wemakini na janja za wingine (CCM)
  2. Emanuel Didas

    Waislam: Hoja ni hijabu si kupigwa kwa DC Igunga.

    Chochote kingeweza kutokea, kwa sababu iliwaumma kuona wakihujumiwa. Tuelewe kwamba mtu akikasirika anaweza kufanya vituko. Binafsi naomba waislam wasamehe, halafu washiriki kwenye harakati za kupambana na ufisadi na tusikubali kuchelewesha hizo juhudi kwa tofauti zetu za dini.
  3. Emanuel Didas

    Kwa hili; serikali ifikirie kwa mapana zaidi

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia idara yake muhimu ya kukusanya mapato (TRA) ilihamua kuboresha mfumo wake kukusanya mapato kwa kutumia kifaa cha kielectronic ambacho pindi mfanyabiashara aingizapo bidhaa aliyouza ripoti yake hufika moja kwa moja makao makuu. Katika mfumo huu...
Back
Top Bottom