Search results

  1. tembaisdor

    Upasuaji wa haraka: Mtoto ameviringisha kitovu shingoni

    Dada ana miaka 35, ni mimba ya mtoto wa pili, mtoto anacheza, utra sound kapiga hapo hapo kairuki
  2. tembaisdor

    Upasuaji wa haraka: Mtoto ameviringisha kitovu shingoni

    Msaada: Dada yangu ni mjamzito miezi tisa sasa, juzi kafanya utra sound wanasema mtoto amevingirisha kitovu shingoni kwa hiyo uwezekano wa kujifungua kawaida haupo ila kwa operation mapema bila hivyo mtoto atatoka amekufa. Leo kaambiwa operation ifanyike kesho au Jumamosi hapo kwa Kairuki...
  3. tembaisdor

    Mama yangu kapata stroke mke hataki kumhudumia

    Nakubaliana na mkeo kabisa ungeumwa wewe akakataa kukuhudumia kweli lkn mama yako, uguza mama yako wewe suala la kuuguza si mchezo mdogo, namtetea huenda mna ndugu wengi lkn mnataka kumtwika yy msalaba wote wa kuuguza, je ingekuwa na mama yake anaumwa ungemuuguza wewe? Wanawaketunapitia ktk...
  4. tembaisdor

    Natafuta line ya uwakala wa mpesa

    Natafuta line ya uwakala wa mpesa, 0754274070
  5. tembaisdor

    Nauza asali

    Jaman asali ya nyuki wakubwa, wadogo jumla na rejareja bado ipo, inapatikana pia supermarket ya thanks god sinza madukani, tandale uzuri darajan kona ya barabara ya kuelekea sayansi, karibuni sana sana
  6. tembaisdor

    Hawara huyu

    Kanijia rafiki yangu asubuh hii na mapema nimshauri kwa yaliyomkuta usiku wa jana, wana jamvini kabla sijamshauri naomben mawazo yenu, yy ni hawara wa mume wa mtu sasa jana kulikuwa na harusi ambayo jamaa alipaswa kwenda na mkewe, wakati akimpa updates za yanayojiri harusin kupitia mtandao kwa...
  7. tembaisdor

    Angalia soma chukua hatua

    Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng’ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao. Akanenepa!! Penzi letu likawa huru alipoanza maisha yake mwenyewe. Sikuwa najua lolote kuhusu mapenzi. Alinifundisha...
  8. tembaisdor

    Bei ya asali nyuki wa kubwa?

    Ninayo bwana Willy Sony, nyuki wakubwa rejareja lita elfu kumi, jumla lita ishirin laki na thelathin napatikana Maliasili na utalii makao makuu, 0715274070
  9. tembaisdor

    Nauza asali

    Timtim nauza kwa reja reja lita moja shilingi elfu kumi contacts 0715 274070, asante na karibuni
  10. tembaisdor

    Nauza asali

    Ninayo ya nyuki wakubwa Nsuri
  11. tembaisdor

    Nauza asali

    Nauza asali, ya nyuki wakubwa kutoka Kigoma na Tabora, napatikana Maliasili na Utalii Mpingo House, karibuni
  12. tembaisdor

    Ushauri wa haraka please

    Nina rafiki yangu anaolewa jumamosi, na baada ya harusi wanakwenda honeymoon, tatizo linalofanya kuomba ushauri ni kuwa anatarajia kuanza MP jumamosi hiyo hiyo, wasiwasi wake je ni namna gani atafurahia honeymoon yake huku yupo MP? je kuna dawa anaweza kunywa ili kuahirisha period kwa muda...
  13. tembaisdor

    Takukuru watawachunguza mawaziri watuhumiwa! Walikuwa wapi hadi mambo yanafika hapa?

    Takukuru maneno tu hawana jipya hawana meno wamebaki kula rushwa tu!
  14. tembaisdor

    Nafasi za kazi jumuiya ya afrika mashariki

    Hiyo si Wizara ni Jumuiya ya Afrika Mashariki makao makuu Arusha,
  15. tembaisdor

    Nafasi za kazi jumuiya ya afrika mashariki

    Jamani kwa yeyote anaejua kinachoendelea kuhusu kazi zilizotangazwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki zimeishia wapi, Please inform us kinachoendelea,
  16. tembaisdor

    Maliasili na utalii Kuna nini?

    mkuu omba nawe nafasi ya uwaziri tuone utendaji wako. maliasili ndio kila kitu
  17. tembaisdor

    Kesi ya Lulu inaendeleaje?

    hee leo kavaaa nguo ndefu, si alisema anawashwa akivaa nguo ndefu, poleee Lulu umewashwaje leo
  18. tembaisdor

    ununuzi wa magari online... tusaidiane hapa

    autorec ndio kila kitu kwakweli! kuhusu msaada wa kodi kwa civil servant unatakiwa kuwa scale kuanzia tgs d, procedures nenda mtandao huo hapo juu wa gariyangu.com
  19. tembaisdor

    Wingu Zito leo tena

    mkuu unakaa mabondeni nn mbona unakuwa na uoga kiasi hicho? mabwepande hukwenda?
  20. tembaisdor

    Mponda agoma kujiuzulu

    kweli Dr. anauliza hajasikia kuwa anatakiwa kujiuzuru? ni kusikia au nikuguswa? OMG!
Back
Top Bottom