Search results

  1. Randy orton

    Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

    Huyo mtu atakayekula hii mixer lengo lake ni kuhara.
  2. Randy orton

    Hizi ndio Album 20 za bongo fleva toka muziki uanze

    Watu mmeambiwa album za kuimba mmekomaa kutaja album za rap. Ndio nyie mkifeli mnasema mmelogwa
  3. Randy orton

    Kasuku kanionesha tabia halisi ya huyu Jamaa. Kumbe mnafiki sana

    Mwanaume unamind vitu vidogo namna hiyo. Inaonekana umekulia maisha ambayo hujajutana na changamoto za msingi mpaka vitu vidogo vikusumbue
  4. Randy orton

    Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

    There are so many languages but you have decided to speak facts.
  5. Randy orton

    Tuna safari ndefu mno Watanzania, hatujali muda kabisa.

    Sio watanzania. Hata wamarekani weusi sifa yao ni hiyo. Nadhani as a race huwa hatuna haraka na tunawahi kuridhika.
  6. Randy orton

    Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

    1. Nunua mali kama nyumba hapa Tz ukishafika uiuze kwa faida
  7. Randy orton

    Nilikutana na mzungu asiye na hela kwenye "Dating app"

    Plot twist. Alifanya hivyo kugundua kama wewe ni mdangaji.
  8. Randy orton

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Wahudumu wa kibongo wanakatisha tamaa maana kabla ya tip ashaongeza bei kwenye vinywaji na chakula.
  9. Randy orton

    Mungu anaweza kuwepo, lakini mpaka sasa hatuna sababu ya kuamini hilo

    Tupe ushahidi ulionao wa kisayansi kuhusu asili /chanzo cha mwanadamu na viumbe vyote pamoja na sayari yetu. Narudia tena, ushahidi wa kisanyansi .
  10. Randy orton

    Waislam hizi sheria mbona hamzifuati tena, au kuna agano jipya?

    Ungeweka aya ili uhalali wa madai yako utambulike. Tofauti na hapo zitaonekana ni story za vijiweni tu.
  11. Randy orton

    Kwenye maisha yako ya utafutaji usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    Uliposema Moshi hakuna Resources ndio nikagundua kuwa kichwa chako ni Store ya uharisho.
  12. Randy orton

    Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

    Picha haiongei. Huwezi kusema nimesikia fulani amesema hivi tukikuuliza uthibitishe utuletee picha! Hakuna ulichothibitisha.
  13. Randy orton

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Kwahiyo unamlinganisha Issa na Ibilisi! Unajua Issa anaitwa roho ya Allah au hujui ?
  14. Randy orton

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Unaona sasa unapokosea. Sasa nikuulize haya maswali. 1. Kama Nabii Isa alikufa ( kama ulivyojitungia) , atakaporudi mara ya pili atakufa tena ( kwa mujibu wa Quran) ?
  15. Randy orton

    Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

    Tuwekee audio hapa . Ama sivyo tutahukumu bila ushahidi.
Back
Top Bottom